Ndugai: Watu wanamnunia Shonza

Ndugai: Watu wanamnunia Shonza

Spika wetu na nani? Talk of your own
Ndugai ndio mkuu wetu wa mhimili uliobeba uwakilishi wa nchi nzima regardless of our political affiliation,gender, tribal bases, religious background etc, ni aibu na fedheha km ukipingana na ukweli huu.
 
Shonja na mwenzie Mwampamba, majembe bora kabisa yaliyozaliwa Chadema......ila Chadema wakashindwa kuwakuza na kuwalea sababu ya kumlinda Mbowe.

Hongera Shonza ila jitahidi kujirekebisha kwenye lugha mama....
inakuathiri sana kwenye baadhi ya matamshi ya kiswahili fasaha.
Siasa za nchi hii ni njaa tu penye msosi watu ndio wanapokamatiwa
 
Mbona nasikia vikao vya bunge vinahaririwa kabla ya kurushwa au wana wahariri wapinzani tu
Akili za kuambiwa...Mbona TBC1 wanaonesha mubashara? Nani kakuvunga? Saa tatu kamili asubuhi TBC1 mubashara.
 
Shonja na mwenzie Mwampamba, majembe bora kabisa yaliyozaliwa Chadema......ila Chadema wakashindwa kuwakuza na kuwalea sababu ya kumlinda Mbowe.

Hongera Shonza ila jitahidi kujirekebisha kwenye lugha mama....
inakuathiri sana kwenye baadhi ya matamshi ya kiswahili fasaha.
Umeshawahi kuona maandishi yake yatafute humu anaandika kama Steve Nyerere
 
Ndugai kakataa hoja za msingi kabisa za wafanyakazi wa nchi hii yeye anakazi ya kusifia maupuuzi.

Sisi tunalo tatizo kimsingi kwa kuwa na watu kama huyo jamaa
Lipi? Mi najua tatizo lenu ni kukumbatia mafisadi wanaotemwa na chama Duke.
 
Shonja na mwenzie Mwampamba, majembe bora kabisa yaliyozaliwa Chadema......ila Chadema wakashindwa kuwakuza na kuwalea sababu ya kumlinda Mbowe.

Hongera Shonza ila jitahidi kujirekebisha kwenye lugha mama....
inakuathiri sana kwenye baadhi ya matamshi ya kiswahili fasaha.
Kwa hiyo chadema umekubaliana nayo kuwa kuna majembe tosha ,LUMUMBA WEWE go back to school Dude

Swissme
 
Ndugai kwl ni mtu wa dodoma au ni mtu wa pwani?mbn ana uzee yusuph kwa ndani?
 
Kwa hiyo ile marufuku ya bunge live iliondolewa na nani
Sijui ila mimi nikiwa home huwa naangalia.Saa tatu kamili asubuhi.Leo nilimsikia Premier akijibu yale maswali ya papo kwa papo.Siyapendi maswali haya!
 
Leo November 16 2017 ilikua ni mara ya kwanza kwa Juliana Shonza kusimama Bungeni na kujibu maswali ya Wabunge tangu kuteuliwa na Rais kuwa Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo. Spika Ndugai alionesha kukubaliana na uwezo wake wa kujibu maswali huku akishangiliwa kisha akasema “Aaah! Rafiki zangu kushoto wamenunaaa!!”

Ni juha tu ndio anaweza ona huyu msichana Ni kiongozi..Tz tmekuwa taifa la majuha mtu Kama huyu kwenye jamii makini hana sifa, uwezo na haiba ya kuwa hata mtendaji wa kata!!!

Na huyu dada ni mjanja kweli, anajua kulinda kaugali kake alikokapata. Ametumia muda wa kutosha kumsifia mkuu maana hiyo ndiyo njia pekee ya kukuhakikishia kudumu.
 
Back
Top Bottom