Ndugai: Watu wanamnunia Shonza

Ndugai: Watu wanamnunia Shonza

Kasinja jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2017
Posts
1,038
Reaction score
1,844
Leo November 16 2017 ilikua ni mara ya kwanza kwa Juliana Shonza kusimama Bungeni na kujibu maswali ya Wabunge tangu kuteuliwa na Rais kuwa Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo. Spika Ndugai alionesha kukubaliana na uwezo wake wa kujibu maswali huku akishangiliwa kisha akasema “Aaah! Rafiki zangu kushoto wamenunaaa!!”

Shonja na mwenzie Mwampamba, majembe bora kabisa yaliyozaliwa Chadema......ila Chadema wakashindwa kuwakuza na kuwalea sababu ya kumlinda Mbowe.

Hongera Shonza ila jitahidi kujirekebisha kwenye lugha mama....
inakuathiri sana kwenye baadhi ya matamshi ya kiswahili fasaha.
 
Mbona nasikia vikao vya bunge vinahaririwa kabla ya kurushwa au wana wahariri wapinzani tu
 
Shonja na mwenzie Mwampamba, majembe bora kabisa yaliyozaliwa Chadema......ila Chadema wakashindwa kuwakuza na kuwalea sababu ya kumlinda Mbowe.

Hongera Shonza ila jitahidi kujirekebisha kwenye lugha mama....
inakuathiri sana kwenye baadhi ya matamshi ya kiswahili fasaha.
Kama ni majembe yatakua ya kuchimbia kaburi
 
Shonja na mwenzie Mwampamba, majembe bora kabisa yaliyozaliwa Chadema......ila Chadema wakashindwa kuwakuza na kuwalea sababu ya kumlinda Mbowe.

Hongera Shonza ila jitahidi kujirekebisha kwenye lugha mama....
inakuathiri sana kwenye baadhi ya matamshi ya kiswahili fasaha.
Chadema inapenda ikikukuza ulipe garama zao unachopata uwape
Wanapenda matajiritajiri hivi sasa
 
Shonja na mwenzie Mwampamba, majembe bora kabisa yaliyozaliwa Chadema......ila Chadema wakashindwa kuwakuza na kuwalea sababu ya kumlinda Mbowe.

Hongera Shonza ila jitahidi kujirekebisha kwenye lugha mama....
inakuathiri sana kwenye baadhi ya matamshi ya kiswahili fasaha.
masalia ya slaa mna shida sana,eti shonza ni jembe
yani mtu awe ccm halafu ufikirie ana nia njema na watanzania!!!!!
 
Kwa hiyo kwa upuuzi wako unaamini Chadema ndio kwenye majembe yenye nia nzuri na watanzania...

Chadema na ccm hakuna tofauti.... tofauti yake ni kwamba mwingine ameshika madaraka mwingi anatafuta madaraka...

CCM na Chadema kwa sasa wanazidiana tu idadi ya mafisadi ila kote wapo.!
 
Spika wetu anatakiwa ajiepushe na mizaha isiyokuwa na ulazima.
 
Back
Top Bottom