Ndugai: Watu wanamnunia Shonza

Bahati nzuri Sskofu kule Zanzibar kesha sema kuwa jamaa ni kama Mugabe alirushiwa kijembe jamaa akadhani ni kiki
 
Eeeeeeh
Nifundishe kiswahili mpinzani ujuaye swahili. naona siku si nyingi mtanijoin kwenye kushangilia lori.
21917505384b0a6c01a02d85db34eac2.jpg
 
Kwa hiyo kwa upuuzi wako unaamini Chadema ndio kwenye majembe yenye nia nzuri na watanzania...

Chadema na ccm hakuna tofauti.... tofauti yake ni kwamba mwingine ameshika madaraka mwingi anatafuta madaraka...

CCM na Chadema kwa sasa wanazidiana tu idadi ya mafisadi ila kote wapo.!
kuna mahakama ya mafisadi kwa nini rais wako hawafikishi kule hasa hao wa cdm unaowasema sababu sio wa chama chake!!! huna jibu la hili swali,kwa hiyo acha kuropoka
 
Shonja na mwenzie Mwampamba, majembe bora kabisa yaliyozaliwa Chadema......ila Chadema wakashindwa kuwakuza na kuwalea sababu ya kumlinda Mbowe.

Hongera Shonza ila jitahidi kujirekebisha kwenye lugha mama....
inakuathiri sana kwenye baadhi ya matamshi ya kiswahili fasaha.
Walishindwa?? Ssa mtu Kma shonza ni kiongozi BAVICHA Ila anakosoa chama kwenye media badala ya kupeleka kwenye uongozi wa chama ulitaka chadema wafanyeje??

Nlimdharau Cku ile anaita waandishi wa habari kuhoji Kwanni Dr slaa ana kadi ya ccm mpka Leo??
 
Shonja na mwenzie Mwampamba, majembe bora kabisa yaliyozaliwa Chadema......ila Chadema wakashindwa kuwakuza na kuwalea sababu ya kumlinda Mbowe.

Hongera Shonza ila jitahidi kujirekebisha kwenye lugha mama....
inakuathiri sana kwenye baadhi ya matamshi ya kiswahili fasaha.
Kama huyu ndiye jembe, basi
 
Back
Top Bottom