Mkongwe Mzoefu
JF-Expert Member
- Aug 10, 2018
- 842
- 2,467
Upumbavu ndio sifa kuu kuwa mwanaccm, hilo ni soko la chama au la umma?mleta hoja si mkazi wa dodoma bali mkazi wa UFIPA,
na nyinyi jengeni makao makuu yenu myape jina mnalopenda.
sio mnashindwa kutimiza wajibu wenu mnabaki kukaa pembeni za television zenu kuwafuatilia wanaume wakijenga nchi.
???Upumbavu ndio sifa kuu kuwa mwanaccm, hilo ni soko la chama au la umma?
mleta hoja si mkazi wa dodoma bali mkazi wa UFIPA,
na nyinyi jengeni makao makuu yenu myape jina mnalopenda.
sio mnashindwa kutimiza wajibu wenu mnabaki kukaa pembeni za television zenu kuwafuatilia wanaume wakijenga nchi.
🤣🤣🤣 Mzee MekoKwakifupi hilo soko limepewa jina la Ndugai kwasababu Ndugai ameshiriki vema kuling'oa meno bunge kama alivyoelekezwa na Meko.
shida ana nunuliwa Magufuli anaona mbaliMmoja ya vitu ambavyo sisi wakazi wa Jiji la Dodoma hatujatendewa haki ni AMRI ya soko kuu la hapa makao makuu ya nchi kupewa heshima ya jina la Ndugai mbunge wa Kongwa asiye na mafanikio yeyote kwa kila jambo.
Ndugai ni mfano mbaya hapo Kongwa kwani hakuna alichofanya kuweza kukumbukwa na yeyote na amekuwa akipita uchaguzi kwa mabavu ya CCM tuu.
Katika nafasi ya Uspika kila mmoja anajuwa jinsi ambavyo ameuharibu na kuufedhehesha muhimili huo kuliko ilivyopata kutokea tokea liundwe. Jee sifa ya kutunukiwa soko hilo kaitoa wapi?
Rais aache kuingilia madaraka ya vyombo vingine mfano halmashauri ya jiji yenye mamlaka ya kutoa majina kulingana na historia sio kutokana na mtu aliyefanya mambo ya hovyo ili kumridhisha Rais. Itakuwa jambo baya hapo baadae Magufuli akitoka madarakani Soko likibadilishwa jina kuwa Soko kuu la Mazengo au Lusinde.View attachment 1269687
shida ana nunuliwa Magufuli anaona mbali
Lusinde amesha staafu lakini ana historia ya utendaji tofauti na hilo boya lisilo jitambua kuwa ni spika anayeongoza mhimili ambao ndio sauti ya wananchi.Naona mwisho umerudi palepale, kutoa pendekezo lipewe jina la Lusinde as if yeye hakuwa na madhaifu! Kuna watu wajinga kupitiliza ndani ya hii jamii.
kwahiyo ulitaka lipewe ina gani au mkongwe mzoefu?Mmoja ya vitu ambavyo sisi wakazi wa Jiji la Dodoma hatujatendewa haki ni AMRI ya soko kuu la hapa makao makuu ya nchi kupewa heshima ya jina la Ndugai mbunge wa Kongwa asiye na mafanikio yeyote kwa kila jambo.
Ndugai ni mfano mbaya hapo Kongwa kwani hakuna alichofanya kuweza kukumbukwa na yeyote na amekuwa akipita uchaguzi kwa mabavu ya CCM tuu.
Katika nafasi ya Uspika kila mmoja anajuwa jinsi ambavyo ameuharibu na kuufedhehesha muhimili huo kuliko ilivyopata kutokea tokea liundwe. Jee sifa ya kutunukiwa soko hilo kaitoa wapi?
Rais aache kuingilia madaraka ya vyombo vingine mfano halmashauri ya jiji yenye mamlaka ya kutoa majina kulingana na historia sio kutokana na mtu aliyefanya mambo ya hovyo ili kumridhisha Rais. Itakuwa jambo baya hapo baadae Magufuli akitoka madarakani Soko likibadilishwa jina kuwa Soko kuu la Mazengo au Lusinde.View attachment 1269687
Mheshimiwa huna washauri???. Ndugai ni nani katika nchi hii??? Yaani unatuaibisha raisi tunajisikia vibaya tunapotukanwa "You have a president who does not think" Hili ni tusi kubwa kwa kiingerezaMmoja ya vitu ambavyo sisi wakazi wa Jiji la Dodoma hatujatendewa haki ni AMRI ya soko kuu la hapa makao makuu ya nchi kupewa heshima ya jina la Ndugai mbunge wa Kongwa asiye na mafanikio yeyote kwa kila jambo.
Ndugai ni mfano mbaya hapo Kongwa kwani hakuna alichofanya kuweza kukumbukwa na yeyote na amekuwa akipita uchaguzi kwa mabavu ya CCM tuu.
Katika nafasi ya Uspika kila mmoja anajuwa jinsi ambavyo ameuharibu na kuufedhehesha muhimili huo kuliko ilivyopata kutokea tokea liundwe. Jee sifa ya kutunukiwa soko hilo kaitoa wapi?
Rais aache kuingilia madaraka ya vyombo vingine mfano halmashauri ya jiji yenye mamlaka ya kutoa majina kulingana na historia sio kutokana na mtu aliyefanya mambo ya hovyo ili kumridhisha Rais. Itakuwa jambo baya hapo baadae Magufuli akitoka madarakani Soko likibadilishwa jina kuwa Soko kuu la Mazengo au Lusinde.View attachment 1269687
Tunaomba uweke sifa kwa mujibu wa sheria na kanuani zinazolekeza mtu kupewa heshima hiyo na sio vitu abstract.Mmoja ya vitu ambavyo sisi wakazi wa Jiji la Dodoma hatujatendewa haki ni AMRI ya soko kuu la hapa makao makuu ya nchi kupewa heshima ya jina la Ndugai mbunge wa Kongwa asiye na mafanikio yeyote kwa kila jambo.
Ndugai ni mfano mbaya hapo Kongwa kwani hakuna alichofanya kuweza kukumbukwa na yeyote na amekuwa akipita uchaguzi kwa mabavu ya CCM tuu.
Katika nafasi ya Uspika kila mmoja anajuwa jinsi ambavyo ameuharibu na kuufedhehesha muhimili huo kuliko ilivyopata kutokea tokea liundwe. Jee sifa ya kutunukiwa soko hilo kaitoa wapi?
Rais aache kuingilia madaraka ya vyombo vingine mfano halmashauri ya jiji yenye mamlaka ya kutoa majina kulingana na historia sio kutokana na mtu aliyefanya mambo ya hovyo ili kumridhisha Rais. Itakuwa jambo baya hapo baadae Magufuli akitoka madarakani Soko likibadilishwa jina kuwa Soko kuu la Mazengo au Lusinde.View attachment 1269687
Mama yangu!!!!!Kwakifupi hilo soko limepewa jina la Ndugai kwasababu Ndugai ameshiriki vema kuling'oa meno bunge kama alivyoelekezwa na Meko.