Ndugai atangazwe adui wa Taifa?

There's no need for that. Let's just ask the almight God to act in His own style and at the time He finds suitable for the action basi
 
Hoja yako ni muflisi .
Chadema inatakiwa ijinusuru yenyewe kutokana na kuendelea kutekeleza Sera ya Kukumbatia na kutetea Ufisadi. Jana mjini Moshi katika Msiba wa Dokta Ndesa Pesa (R.I.P) Lowasa amesema na kutangaza yeye ni mgombea Urais 2020. Kama Chama kimemuuzia Mwanachama nafasi ya Kugombea Urais, sasa hawa vijana wanaouruka sarakasi za kutaka Urasi nadhani wataitwa Maadui wa Chadema.
 
Tunahitaji ile katiba aliyepwndekeza jani Watkins tu

OvA
 
Mm naona atakangazwe kama tulivyotangaza ukoma
 
Historia ina nguvu kuzidi upuuzi wote tunaofanya, si ajabu hawa jamaa wanategemea kuwa mtu fulani ndiye anaweza kukutangaza adui au rafiki ikakubalika. Wanachosahau ni kuwa hakuna taasisi yoyote iliyomtangaza Hitler, Iddi Amin, Kony Joseph na wengineo kuwa kama walivyo bali ni historia imefanya hivyo!
Ukipewa madaraka jiangalie sana!
 
Naunga mkono hoja Mkuu.

 
Atangazwe na nani, maana taifa si la Chadema peke yenu!
 
Wabunge Wote Ni Wapumbavu huwa sioni hata faida ya kuwa na wabunge watatofautiana kwa vitu vingine ila yakiguswa maslahi yao wanakuwa kitu kimoja tofauti pembeni narudia tena wote wapumbavu
 
Nonsense kwani nyie dodoma mlichofanya ni nini? Wewe shughulika na vyeti vya noniino na rambirambi tu. Hayo waachie wenyewe
 
Haijawahi kutokea mtu individual akatangazwa kuwa adui wa Taifa, mimi ninachokijua miongoni mwa maadui wa Taifa ni ufisadi ambao sasa hivi Chadema wanaukumbatia na kuutetea kama Sera ya Chama. Yaani kwa slogan hii " MAFISADI KWANZA, UTAIFA BAADAE".
Hivi yule alieahidi kuwaundia mahakama maamlum mafisadi amekwamia wapi vile.
 
Alikuwa anatangaza suala la amani bungeni akiwa naibu spika.

Sasa, alipomtungua mwanaccmu mwenzie Kwa rungu na mateke na manguni niliona jamaa ni adui wa amani wa kwanza nchini.

Kama anatangaza kisha anafanya kinyume na anachokisema hafai kabisa.

Any way, that's African politics , it's pathetic one.
 
Mlipiga kelele saaana Tulia Ackson anawaonea wakati Ndugai yupo nje kwa matibabu mkamlilia sana arudi na aliporudi mkampelekea mashtaka yenu leo kawa mbaya!!?
Au uzuri akisimamia upande wenu tu?
Akisimamia ukweli upande mwingine imekuwa nongwa?
 
Hahahaa You never cease to amaze me!
 
Mlipiga kelele saaana Tulia Ackson anawaonea wakati Ndugai yupo nje kwa matibabu mkamlilia sana arudi na aliporudi mkampelekea mashtaka yenu leo kawa mbaya!!?
Au uzuri akisimamia upande wenu tu?
Akisimamia ukweli upande mwingine imekuwa nongwa?
Tulifanya makosa makubwa sana .
 
Ndugu mambo ya msingi yanayosemwa na magwandakhaki yanapingwa na kupotoshwa na kijanikibichi. Wabaya wa WaTz ni kijanikibichi. Wingi wao bungeni ndio umetufikisha hapa leo tunagombea mchanga. Wingi wao uliishapoteza maana kwa maendeleo ya nchi hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…