Ndoto za kufanya mapenzi zananitesa mwenzenu

Kama bango linavyo jieleza..

Mwenzenu mie mara kwa mara sana naota nafanya mapenzi wanawake ninao wafahamu na hata nisio wafahamu Muda mwingine nakua najitambua kabisa kwamba hapa nafanya kitendo hiki nikiamka Asubuhi wazungu haoo Nimelowa kwa wiki naweza kuota mara 3 au 4..

Nauliza tu wadau Je hili ni tatizo au ni mabadiliko tu ya kimwili?

Halafu ulivo muhuni ukijua unaota unakaza hutaki kuamka ukishapenga kamasi ndio unajifanya unastuka,unajua mkuu mapepo huwa hayana jinsia maalumu leo jike kesho dume sasa wewe furahiaga tu kugegeda Kuna siku yanageuka yanakuwa ya kiume yalikupa papuchi yakiwa ya kike sasa yakiwa ya kiume yatataka marinda.ukianza ota unagegeda we jiamkie tu ukiendelea unayaendekeza
 
Kwanza nikupe pole. Wataongea meng kuwa unabalehe, wazungu wanazidi nk. Hata sisi tulibalehe na wazungu walizidi. Ila ukweli was mambo ni huu. Una jini mahaba na ulishaoa ktk ulimwengu was kiroho bila kujua. Hii hali usipoiwahi mapema kwa njia ya maombi itakugharimu. Yafuatayo baadhi yanaweza kukutokea au yalishaanza. Moja hayaruhusu use na mwanamke mwingine. Mbili ukiwa nae nikuvurugana tu na mara nyingine hamvutiani, wala kutamaniana hakupo saaana. Na unaweza kumchukia bila sababu ya maana. Kuoa kwako kunaweza kuwa ndoto na ukioa hamtakaa kwa amani na iwapo mtapata mtoto anaweza aside na maendeleo mazuri km watoto wengine na hata kifo chaweza kumkumba. Usiichukulie kirahisirahisi. Pia njia zako za uchumi zitavurugika na utaishi maisha ya kuhangaika na kukosa ama i
 
Pia iwapo mtakutana na mpenzi wako kimwili atapata maumivu makali sana na pengine harufu MBAya wakati was ngono hutokea
 
Ndugu. Hili ni suala la kiroho.. Una demon ambaye is your spiritual wife. Sasa kuiondoa hiyo nenda kwenye kanisa linalofanya huduma za maombezi ili huyo jini mahaba akutoke. Otherwise kuna athari nyingine nyingi ambazo atakusababishia. Mpinge mapema kwa maombi na kufunga.
Acha imani za kishirikina, kwa kijana wa 20yars asiekuwa na mpenzi, ni kawaida mno kupata ndoto nyevu!

Jambo la muhimu ni aachane kuangalia video za ngono, afanye mazoez,

Akianza kufanya mapenzi hatoota hizo ndoto
 
Kama bango linavyo jieleza..

Mwenzenu mie mara kwa mara sana naota nafanya mapenzi wanawake ninao wafahamu na hata nisio wafahamu Muda mwingine nakua najitambua kabisa kwamba hapa nafanya kitendo hiki nikiamka Asubuhi wazungu haoo Nimelowa kwa wiki naweza kuota mara 3 au 4..

Nauliza tu wadau Je hili ni tatizo au ni mabadiliko tu ya kimwili?
Utakuwa ndo umebalehe kijana hafu punguza kuwaza mambo ya ngono wakati wa mchana na pendelea kufanya mazoezi haswa kucheza mpira ndoto zitaisha
 
Ndugu. Hili ni suala la kiroho.. Una demon ambaye is your spiritual wife. Sasa kuiondoa hiyo nenda kwenye kanisa linalofanya huduma za maombezi ili huyo jini mahaba akutoke. Otherwise kuna athari nyingine nyingi ambazo atakusababishia. Mpinge mapema kwa maombi na kufunga.
Hakuna jini mahaba hapo yeye anawaza sana mambo ya ngono au anakaa muda mwingi na wasichana na kucheza nao, afanye mazoezi haswa kucheza mpira na aache kuwaza ngono awaze masomo
 
Kwanza nikupe pole. Wataongea meng kuwa unabalehe, wazungu wanazidi nk. Hata sisi tulibalehe na wazungu walizidi. Ila ukweli was mambo ni huu. Una jini mahaba na ulishaoa ktk ulimwengu was kiroho bila kujua. Hii hali usipoiwahi mapema kwa njia ya maombi itakugharimu. Yafuatayo baadhi yanaweza kukutokea au yalishaanza. Moja hayaruhusu use na mwanamke mwingine. Mbili ukiwa nae nikuvurugana tu na mara nyingine hamvutiani, wala kutamaniana hakupo saaana. Na unaweza kumchukia bila sababu ya maana. Kuoa kwako kunaweza kuwa ndoto na ukioa hamtakaa kwa amani na iwapo mtapata mtoto anaweza aside na maendeleo mazuri km watoto wengine na hata kifo chaweza kumkumba. Usiichukulie kirahisirahisi. Pia njia zako za uchumi zitavurugika na utaishi maisha ya kuhangaika na kukosa ama i
Acheni imani za kishirikina ni balehe hiyo na aache kukaa sana na wasichana
 
Km ni imani za kishirina haina shida ila alieomba ushauri anapaswa kupima aamue vipi. Yeue ndio muadhirika. Na halazimishwi kufuata ushauri was mtu yeyote kwa ila ana uhuru wakuchagua.
 
Back
Top Bottom