20PROFF
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 8,217
- 7,261
Ts nt wonderful.....ni real ishu inayotokea upo haunted.Kinachonishangaza sana ni kuota ndoto moja zaidi ya mara 50.... So wonderful.
.mambo mengi ya kiroho huweza onekana ndotoni
Ts nt wonderful.....ni real ishu inayotokea upo haunted.Kinachonishangaza sana ni kuota ndoto moja zaidi ya mara 50.... So wonderful.
AmenNdugu yangu pole sana, wewe unahitaji msaada mkubwa sana tena wa haraka, nipe namba zako ya watsap nikutumie somo la ndoto na namna ya kuombea ndoto mbaya namna kumuomba Mungu akupe tafsiri ya ndoto na ujumbe uliyobebwa na hiyo ndoto. Nina uhakika ukisoma na kuzingatia tatizo lako nitaisha haraka
Sipo Dar jamaniKama upo Dar njoo tukufanyie maombi, yupo Mungu anayerehemu na anayefungua watu.
Shetani ataweza kukutesa ambapo wewe mwenyewe ukakubali uteseke. Njoo kwa Yesu naye atakuweka huru.
Mkuu muombe Mungu akuvushe inawezekana kuna hatua mbele yako ya muhimu inahitaji ujiandae. Sasa kujua ujiandae vipi hapo ni Mungu pekee anajua muombe akuongoze.Kuna ndoto naota sana, imejiturudia mara nying ni kwamba naota mitihani imekaribia like kama kesho halaf sijajiandaa kabisa na wenzangu wamejiandaa vizur sana kwa jinsi wanavyoonekana kuelewa mambo, kinachonishangaza ni kuwa mm toka nimeachana na kusoma na mambo ya mitihani ni mwaka wa nane huu
Nimesoma kwa utulivu sana hii PDF, asante sana mkuu umenifungua macho.Pole ila Mungu ni mwaminifu sana. Nna hii pdf ya somo la ndoto uipitie utapata pa kuanzia.
Amen...!Mkuu muombe Mungu akuvushe inawezekana kuna hatua mbele yako ya muhimu inahitaji ujiandae. Sasa kujua ujiandae vipi hapo ni Mungu pekee anajua muombe akuongoze.
AmenNdoto ni milango ya ulimwengu wa Kiroho.Kwa ndoto unaweza kukutana na ulimwengu wa giza au nuru.Ulimwengu wa kiroho unaweza kumiliki maisha yako kupitia ndoto.Samahani nitatumia biblia kufafanua,Mfano katika biblia malaika wa Bwana alimtokea Yusufu ktk ndoto kumpa warning amuondoe Yesu bethlehem ssb herode alitaka kumuua.Mathayo 2:13.Ndoto ni channel ya Mungu kuwasiliana na wanadamu.Hivyo hivyo shetani hutumia milango hiyo hiyo kukutana na binadamu.Kwa maelezo ya ndoto yako ulimwengu wa giza unakutesa kupitia ndoto.Ushauri wangu tumia damu ya Yesu,Damu ya Yesu itakuokoa kwenye hili tatizo,haijalishi una imani ipi biblia inasema ukimkiri Yesu kwa kinywa kuwa ni Bwana na kwamba Yeye ni mwana wa Mungu utaokoka.Warumi 10:9 Mkiri Yesu na umpokee moyoni mwako ili akupiganie hii vita hutaweza peke yako.Ukishakiri Yesu ataokoa nafsi yako then anza kufanya maombi na kujifunika kwa damu ya Yesu.Tafuta watumishi wanaoweza kukuombea mpaka upokee deliverance.Pia kama unaweza kupata Lion of Judah oil ya Prophet Shepherd Bushiri au TB Joshua apply kabla hujalala.
Sexual dreams demons can destroy your life completely,kama hujaoa unaweza usioe na hakuna relationship inawork,na kila ukitazama hutaelewa umekosea wapi sbb sio wewe ni mapepo yanafight kuuwa destiny yako.Na hata kama umeoa mahusiano yanakuwa magumu mno hakuna furaha na ukitafuta sababu hamzioni,kuachana ndio inakuwa solution.These are the worst demons on earth,Yesu tu ndio anaweza kukusaidia.
Mungu akutangulie. Utashinda kuwa na imani.Nimesoma kwa utulivu sana hii PDF, asante sana mkuu umenifungua macho.
Ukipita Facebook kuna page ya mwakasege/mana ministry utapata masomo zaidi yatakusaidia.Nimesoma kwa utulivu sana hii PDF, asante sana mkuu umenifungua macho.
Sasa mkuu sasa toa ushauri wako nini kifanyike au mdau afanye!?Mkuu;
Hapo ndio umenimaliza kabisa. Kwanza; Kujifunika kwa damu ya Yesu. Hivi, ile damu ya Yesu iliyomwagika pale msalabani ilimwagwa kutuosha dhambi zetu au ni kwa ajili ya kuwa blanketi letu la kujifunikia??
Pili; Hao watumishi wa bwana; Bushiri na Tb Josjua, watakaa milele au? Yaani wakifa leo (Mungu apishe mbali) ndo uhuru wa mapepo kuuonea ulimwengu??
Tatu; Hayo mafuta ni bure au yana gharama?? Niliwahi kusoma mahali flani kwenye hiyo hiyo biblia yako kuw; Mlipewa bure, toeni bure. Leo iweje Mungu ampe utajiri mkuu Bushiri ati Lion of Judah oil, ya kutoa mapepo. Aje awauzie wenye shida ka huyu mtu. Kweli huyo Mungu ni mwenye haki??
Jamani, poteeni wenyewe msiwatafute wenye shida mkawaongezea mizigo zaidi.
Nadiriki kusema; Nitawaamini watumishi wengi sana lakini sio hawa Mitume wenu na Manabii wenu wa kuchongwa. Yesu alijua tutakutana na haya magumu hivyo angelituachia mafuta hayo na maji hayo in plenty.
Endeleeni kuwanadi hawa wenye dhiki lakini mjue Mungu anawaona.
Mtoa mada, sijui weye ni dini gani lakini usimfuate huyu JOANNA. Ni mwana wa upotevu huyu haswaaaa
Mkuu katika ulimwengu wa roho damu iliyomwagwa anapouwawa myama au mwanadamu uendelea kuwa hai na husema\hulia kwa hiyo damu ya Yesu ambayo no damu ilyomwagika kwa ajili ya haki hunena yaliyo mema kwa wale wanaoimini na kuitumia na INA uwezo wa kumzuia mwaribu asiharibu asiingie kwenye boma/nafsi yako, ndo maana unapoenda kwa mganga unatumwa kuku nae huchinjwa I'll damu take inene kwa niaba yako ktk ulimwengu wa Giza.Mkuu;
Hapo ndio umenimaliza kabisa. Kwanza; Kujifunika kwa damu ya Yesu. Hivi, ile damu ya Yesu iliyomwagika pale msalabani ilimwagwa kutuosha dhambi zetu au ni kwa ajili ya kuwa blanketi letu la kujifunikia??
Pili; Hao watumishi wa bwana; Bushiri na Tb Josjua, watakaa milele au? Yaani wakifa leo (Mungu apishe mbali) ndo uhuru wa mapepo kuuonea ulimwengu??
Tatu; Hayo mafuta ni bure au yana gharama?? Niliwahi kusoma mahali flani kwenye hiyo hiyo biblia yako kuw; Mlipewa bure, toeni bure. Leo iweje Mungu ampe utajiri mkuu Bushiri ati Lion of Judah oil, ya kutoa mapepo. Aje awauzie wenye shida ka huyu mtu. Kweli huyo Mungu ni mwenye haki??
Jamani, poteeni wenyewe msiwatafute wenye shida mkawaongezea mizigo zaidi.
Nadiriki kusema; Nitawaamini watumishi wengi sana lakini sio hawa Mitume wenu na Manabii wenu wa kuchongwa. Yesu alijua tutakutana na haya magumu hivyo angelituachia mafuta hayo na maji hayo in plenty.
Endeleeni kuwanadi hawa wenye dhiki lakini mjue Mungu anawaona.
Mtoa mada, sijui weye ni dini gani lakini usimfuate huyu JOANNA. Ni mwana wa upotevu huyu haswaaaa
Mk
Mkuu katika ulimwengu wa roho damu iliyomwagwa anapouwawa myama au mwanadamu uendelea kuwa hai na husema\hulia kwa hiyo damu ya Yesu ambayo no damu ilyomwagika kwa ajili ya haki hunena yaliyo mema kwa wale wanaoimini na kuitumia na INA uwezo wa kumzuia mwaribu asiharibu asiingie kwenye boma/nafsi yako, ndo maana unapoenda kwa mganga unatumwa kuku nae huchinjwa I'll damu take inene kwa niaba yako ktk ulimwengu wa Giza.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji102]Hzo ndoto kama wachawi wanakunyemelea vile
Cc Mshana jr
[emoji15] [emoji15] [emoji15] mshana umepotea au ni mimi tu sikuoni[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji102]
Umeokoka?Ni jibu hili halafu nikupe maelekezoWasalaam,
Mwenyezi Mungu ametuamsha salama kabisa wakuu.
Nina changamoto ya ndoto zinazonisumbua sana, zipo za aina tofauti 5 isipokuja hii itakuja hii. Zipo hivi:
Naota nafanya mapenzi na jitu nisiloifahamu. Hapa linaweza nibadilisha niwe mwanaume lenyewe linakuwa la kike au linakuwa la kiume linaniingilia.
Naota nakimbizwa na N'gombe mkuubwa mweusi mwenye pembe Kali sana.. Huwa nakimbia sana na linaponikosa ghafla hubadilika na kuwa binadamu na kuanza kunirushia mishale mingi kwa haraka ila mungu mwema halijawahi kunichoma na mshale.
Naota nataka kung'atwa na nyuki...! Lakini pia naota kuna majoka yananikimbiza ila moja ya majoka haya hujificha sehemu/ kama kujibanza ili lisionekane.
Naota nimetekwa..hii ndio niliyoiota hata leo! Hapa huwa nakuwa na wakati mgumu sana wa kukabiliana na mtekaji.. Nimekimbia sana nimeomba wapita njia msaada lakini Mzee mmoja alisema nastahili kutekwa, .. Nilijaribu kumkimbia mtekaji na pikipiki ila kabla sijapanda pikipiki nae alichukua yake akaanza kumfukuza bodaboda niliyemkodi.. Tumesumbuana sana ila mwisho kuna wanaume nilikutana nao na mmoja wao akanishika mkono yule mtekaji akakubali kushindwa.
Wakuu hii ni hali y kawaida au ni mini... Hiizi ndoto zimekuwa na muda mrefu kama miaka minne .. Ila miaka ya hivi karibuni linakuwa sugu.
Je wewe unaota ndoto za aina moja tu? Nakaribisha maoni na ushauri nifanyeje ili nisiote tena?
Ndio nimeokokaUmeokoka?Ni jibu hili halafu nikupe maelekezo