Ndoto mbaya zinazoleta usumbufu ndotoni

Ndoto mbaya zinazoleta usumbufu ndotoni

Hivi maisha yako yakoje? Maana kwahizo ndoto unazoota lazima Una pitia hard life Fulani hivi, ndoto Kama hizo hazijawahi kumuacha mtu salama. Mjue sana Mungu ili uwe na amani ila hizo video zitakusaidia ila utafute kanisa la kiroho uende udini weka pembeni.
 
pole sana AISEE uwe unalala mchanA ucku unafanya kaz zako sasa
 
Mkuu;
Hapo ndio umenimaliza kabisa. Kwanza; Kujifunika kwa damu ya Yesu. Hivi, ile damu ya Yesu iliyomwagika pale msalabani ilimwagwa kutuosha dhambi zetu au ni kwa ajili ya kuwa blanketi letu la kujifunikia??
Pili; Hao watumishi wa bwana; Bushiri na Tb Josjua, watakaa milele au? Yaani wakifa leo (Mungu apishe mbali) ndo uhuru wa mapepo kuuonea ulimwengu??
Tatu; Hayo mafuta ni bure au yana gharama?? Niliwahi kusoma mahali flani kwenye hiyo hiyo biblia yako kuw; Mlipewa bure, toeni bure. Leo iweje Mungu ampe utajiri mkuu Bushiri ati Lion of Judah oil, ya kutoa mapepo. Aje awauzie wenye shida ka huyu mtu. Kweli huyo Mungu ni mwenye haki??
Jamani, poteeni wenyewe msiwatafute wenye shida mkawaongezea mizigo zaidi.
Nadiriki kusema; Nitawaamini watumishi wengi sana lakini sio hawa Mitume wenu na Manabii wenu wa kuchongwa. Yesu alijua tutakutana na haya magumu hivyo angelituachia mafuta hayo na maji hayo in plenty.
Endeleeni kuwanadi hawa wenye dhiki lakini mjue Mungu anawaona.
Mtoa mada, sijui weye ni dini gani lakini usimfuate huyu JOANNA. Ni mwana wa upotevu huyu haswaaaa

Nianze na damu kuwa blanket,Ndio Damu ya Yesu ni blanket letu ndio maana aliondoka kuja duniani kutufia msalabani.Wana waisrael waliambiwa waweke damu mlangoni ili Malaika atakapo piga wazaliwa wa kwanza wapate protection.Tunafanya hivyo hivyo leo hii ila sisi hatuchinji ndama tunatumia damu ya Yesu.Ukisoma Ufunuo12:11 Nao wakamshinda kwa damu ya Mwanakondoo na kwa neno la ushuhuda wao.Tunamshinda shetani kwa damu ya Yesu.Hivi unajua hata unapoomba huwezi kuingia patakatifu bila Damu yes that's how serious the blood is.Waebrania10:19.Unapookoka nafsi yako inapatanishwa na Mungu kupitia damu.Damu ya Yesu inakuhesabia wewe haki si kwa sababu unaomba sana hapana ni kwa neema tu.Efeso 2:16.Damu ya Yesu ni kila kitu.

Swali la pili kuhusu manabii,,Yesu alitumia matope na mate kumponya kipofu siku ya sabato,mafarisayo walipambana naye sana sababu hawakujali kipofu ameona ila waliona ametenda dhambi kuponya siku ya sabato.Napenda sana Kipofu alivyojibu akawaambia kwamba "Kwamba yeye ni mwenye dhambi sijui,najua neno moja,kuwa mimi nalikuwa kipofu na sasa naona".Unapowahukumu hawa watumishi ukae ukielewa milions na milions ya watu wamepokea uponyaji wa mambo magumu ambayo hayawezi kuelezeka kwa sayansi yoyote duniani na wamepata break through kutumia hizo anointing materials.Walikuwa vipofu ila sasa wanaona.Walikuwa wamefungwa ila sasa wamefunguliwa.Hakuna mtu atakaye mfundisha Mungu namna ya kuwadeliver watu wake,anaweza kutumia matope,anointing oil or anything.

Don't be too quick to judge,jipe nafasi kuelewa hii huduma ya manabii kwanza.Manabii wanapingwa sana kwasababu Mungu amefungua macho yao wanaona past na future na hilo ni tatizo kwa watu wengi. Mungu anatumia vinywa vyao,na hawakujichagua Mungu amewachagua kwa neema sio kwa matendo yao.If there is false prophets there must be true Prophets somewhere.Unawajuaje?Yesu alipoondoka alituachia msaidizi right?Muulize msaidizi akuoneshe na ukimuuliza hakikisha umetubu juu ya hukumu na chuki iliyoko moyoni mwako juu ya manabii wake ili uweze kumsikia otherwise utajisikia mwenyewe ukiendelea kuwahukumu.

Kuhusu anointing oil kuuzwa niambie unatengenezaje anointing mamilioni,anointing oil nyingi inatokana na mmea wa olive due to prophetic meaning behind olives,Na kwa wanaojua olive oil is very expensive oil,huwezi hata kuafford kutumia kwa matumizi ya kila siku.Na ni nchi chache zinalima olive okay then fikiria gharama ya production,processing ,packaging bado hujafikiria logistics and distribution at the same time you don't want them to be rich ili wafanye wenyewe or reveal to you how to be rich yourself.Hebu fikiria mwenyewe na injili lazima isonge mbele kufuatana na ratiba ya Mungu haiwezi kusubiri.Just think about it.
 
Popote ulipo MÚNGU akubariki sana kwa kujibu swali uliyoulizwa, hapo akikataa kusikia au kuelewa Luka 10;16 inamuhusu
 
Wasalaam,
Mwenyezi Mungu ametuamsha salama kabisa wakuu.

Nina changamoto ya ndoto zinazonisumbua sana, zipo za aina tofauti 5 isipokuja hii itakuja hii. Zipo hivi:

Naota nafanya mapenzi na jitu nisiloifahamu. Hapa linaweza nibadilisha niwe mwanaume lenyewe linakuwa la kike au linakuwa la kiume linaniingilia.

Naota nakimbizwa na N'gombe mkuubwa mweusi mwenye pembe Kali sana.. Huwa nakimbia sana na linaponikosa ghafla hubadilika na kuwa binadamu na kuanza kunirushia mishale mingi kwa haraka ila mungu mwema halijawahi kunichoma na mshale.

Naota nataka kung'atwa na nyuki...! Lakini pia naota kuna majoka yananikimbiza ila moja ya majoka haya hujificha sehemu/ kama kujibanza ili lisionekane.

Naota nimetekwa..hii ndio niliyoiota hata leo! Hapa huwa nakuwa na wakati mgumu sana wa kukabiliana na mtekaji.. Nimekimbia sana nimeomba wapita njia msaada lakini Mzee mmoja alisema nastahili kutekwa, .. Nilijaribu kumkimbia mtekaji na pikipiki ila kabla sijapanda pikipiki nae alichukua yake akaanza kumfukuza bodaboda niliyemkodi.. Tumesumbuana sana ila mwisho kuna wanaume nilikutana nao na mmoja wao akanishika mkono yule mtekaji akakubali kushindwa.

Wakuu hii ni hali y kawaida au ni mini... Hiizi ndoto zimekuwa na muda mrefu kama miaka minne .. Ila miaka ya hivi karibuni linakuwa sugu.

Je wewe unaota ndoto za aina moja tu? Nakaribisha maoni na ushauri nifanyeje ili nisiote tena?
Ndugu yangu pole sana, wewe unahitaji msaada mkubwa sana tena wa haraka, nipe namba zako ya watsap nikutumie somo la ndoto na namna ya kuombea ndoto mbaya namna kumuomba Mungu akupe tafsiri ya ndoto na ujumbe uliyobebwa na hiyo ndoto. Nina uhakika ukisoma na kuzingatia tatizo lako nitaisha haraka
 
so kama inakurudia mara 50.... so ushaingiliwa 50 x......huna dini wewe..... zungumza na Mungu alie hai....
 
Kuna ndoto naota sana, imejiturudia mara nying ni kwamba naota mitihani imekaribia like kama kesho halaf sijajiandaa kabisa na wenzangu wamejiandaa vizur sana kwa jinsi wanavyoonekana kuelewa mambo, kinachonishangaza ni kuwa mm toka nimeachana na kusoma na mambo ya mitihani ni mwaka wa nane huu
 
Ukisoma Ufunuo12:11 Nao wakamshinda kwa damu ya Mwanakondoo na kwa neno la ushuhuda wao.Tunamshinda shetani kwa damu ya Yesu.Hivi unajua hata unapoomba huwezi kuingia patakatifu bila Damu yes that's how serious the blood is.Waebrania10:19.Unapookoka nafsi yako inapatanishwa na Mungu kupitia damu.Damu ya Yesu inakuhesabia wewe haki si kwa sababu unaomba sana hapana ni kwa neema tu.Efeso 2:16.Damu ya Yesu ni kila kitu.

Mkuu; Niliposoma nimeona pameandikwa kuwa; Wakamshinda Shetwani kwa kujifunika damu ya Yesu. Pia Agano la kale waliambiwa waende kunyunyuzia zile damu kwenye mablanketi yao. Pia hiyo waebrania inasema, unapookoka Yesu anakufunika na hiyo damu.
Imani potofu ndivyo inavyo anzaga. Ukweli kidoogo mafunuo mengi. Zamani niliendaga kwa mganga. Akanipa dawa yaani mafuta ya simba. Nikaambiwa nikijipaka watu wataniogopa na wakiniona watakimbia. Leo nikachukue mafuta hayo ya simba wa kabila la Yuda Kwa Bushiri, nikajipake ili laana na mashetwani yanikimbie.
Na ulaaniwe wewe unayetaka kuturudisha kuleee kule kwa zamani. Hayo mafuta ya lion of Judah ulimchemsha au ulimkaanga ukamtoa hayo mafuta?? Natamani uende ukawafundishe hao wavivu wa kusoma neno la Mungu. Uwape vipande spesho hivyo.
Huwezi kumpata mwenye ufahamu. Luka akasema; Yesu akamshinda Shetwani kwa maandiko. Hakumshinda kwa kusomewa maandiko na watu wengine. Soma neno la Mungu nalo litakufungua.
 
Kuna mchawi au mshirikina anafanya vita na wewe, ukianza kuomba utaona mabadiliko
 
Hii ndoto huwa inanisumbua sana na mimi. Nimepumzika kusoma miaka mitatu sasa imepita lakini bado naota mitihani tu.
 
Huwa naota kunatokea kama shambulio la kigaidi au vita, nimeshaota si chini ya mara tatu ila huwa naamini ni mawazo yangu tu sababu huwa nawaza kukitokea machafuko na mwanangu alivyo mdogo basi nitakufa nae, na nyingine ninayootaga miaka na miaka ni ndoto ya kuchomwa kisu au kupigwa risasi lakin sifi, mimi ni muoga sana wa silaha. Hata mtu akishika kisu huwa nahisi ananichoma nacho.
Wajuzi nisaidieni na mimi tafsiri ya hizo ndoto.
Sorry mleta mada kuingilia uzi wako
 
Kama upo Dar njoo tukufanyie maombi, yupo Mungu anayerehemu na anayefungua watu.

Shetani ataweza kukutesa ambapo wewe mwenyewe ukakubali uteseke. Njoo kwa Yesu naye atakuweka huru.
 
Sawa
Cha ajabu tunaota pamoja na shemeji yako ndoto mbaya kila siku. Bila kusali ilikuwa ni shida. Ok
Back to the story

Basi tupo barabarani tunapiga story, kumbuka haya ni mazingira ya kijijini. Tukapita karibu na nyumba mmoja ya nyasi, kulikuwa na watu nje wazee wanaongea. Basi tukawasalimia. Kulikuwepo na mtoto mdogo umri km miaka 11 wa kiume nikamuomba maji ya kunywa. Basi akaingia ndani akatoka na jagi na kikombe. Akanimimia maji kweny kikombe, napokea naweka kikombe mdomo, naangalia jagi naona lina mavi ya binadamu mabichi, nikatema pyuuuu, kuangalia kweny kikombe kina mavi.....
Hapo hapo nikamwambia rafiki yangu twende.
Tumeondoka hatujazungumza chochote. Tumeenda kwa mbele kulikuwa na nyumba ya nyasi. Nikamwambia rafiki yangu tupite hapo niombe maji kwa sabb nina kiu na pia nataka ninawe uso.
Tumefika tukawasalimia. Nikaomba maji. Hapo nje kulikuwa na madumu, na kulikuwa na mtoto wa kiume yupo kifua wazi halafu kavaa kaptula ya blue lkn imeshaisha isha.
Hii nyumba ilikuwa na mawe madogo kwa nje. Siyo yakuwekwa hapana . Basi nikachukua dumu nikazunguka nyuma kwenye mawe, na huyu dogo alikuwepo.
Ile namimina hivi mavi.., yakamwagika kweny mikono yangu mabichi, nilikaliachia dumu, mavi yakawa yanamwagika (ni yale ambayo mtu katoka kujisaidia muda si mrefu). Cha ajabu kipind nabeba dumu sikusikia harufu yyte. Kinyaaa mpaka nikaanza kutapika, nilipomtazama huyu mtoto alikuwa amekaa chini, kaptula yake ilikuwa imejaa mavi yaliyoanza kukaukiana. Nikapiga kelele nikamwambia rafiki yangu tuondoke. Nikashituka toka usinginzini ila kinyaaaa. Tangia hapo siwezi kulala bila kusali. Cha ajabu ndoto hiz za ajabu zilikuwa kila siku km haujasali. Ukisali unalala vizuri, usingiz mtamu. Niliamka asubuhi nahis kinyaaa
Pole mkuu
 
Nenda kacheki malaria mkuu uenda una wenge la malaria
 
Hivi maisha yako yakoje? Maana kwahizo ndoto unazoota lazima Una pitia hard life Fulani hivi, ndoto Kama hizo hazijawahi kumuacha mtu salama. Mjue sana Mungu ili uwe na amani ila hizo video zitakusaidia ila utafute kanisa la kiroho uende udini weka pembeni.
Naishi kwa neema ya Mungu aliye juu mbinguni. Nila yeye ningeshakufa.. Pia sala nilizokuwa nasali nikiwa binti mdogo, zinanisaidia hadi Leo naamini kila kitu kinapita hata hili suala linapita
 
Kuna nyumba moja niliwahi kukaa miaka 17 iliyopita kuna Dada mmoja wa huko ambaye sasa ni marehemu nilikuwa namuota sana tunafanya mapenzi na ndoto hiyo nimeiota miaka yote hiyo na kwenye nyumba hiyohiyo japo nimehama kuanzia mwaka 2000 ila nashukuru mwaka huu sijamuota tena
 
Back
Top Bottom