Ni mtu anakuwa yupo yupo tu kama punguani si punguani, hana maamuzi binafsi hawezi fanya lolote ni kama kalemaa akili ndo maana wengi huwekewa wasaidizi karibu muda woteNingependa kupata definition ya 'ndondocha'. Yaani ndondocha ni mtunwa au mtu aliyezubaa,au nini. Ningependa kupata definition ili nijue kama inafanana na kitu chochote ambacho nimewahi kusoma.
Kweli kabisa wanakuacha uteseke,kuteseka kwako ndo kufanikiwa kwao.Na ukitaka kujua wamemtengeneza kamwe hawampekeki hospital
Mimi pia hili ni moja kati ya maswali mengi ambayo sijayapatiaga majibu![]()
Kwanza niseme wazi kabisa kwamba hili nimeshindwa kulipatia majibu ya kutosha hata baada ya kujipa muda wa kutosha kulitafit.
Binafsi nilishawahi kumuona walau ndondocha mmoja mwenye asili ya kiasia pale buguruni kwa tajiri mmoja wa magari ya kusafirisha mizigo..huyo ndondocha alikuwa mama mzazi wa huyo tajiri na alikuwa kawekewa wafanyakazi wawili wa kumwangalia kwa kila kitu...alikuwa anafungiwa chumbani muda wote na alikuja kufariki mwaka 2004 na jamaa kufilisika kabisa mwaka 2005.
Hizi habari za ndondocha zinahusishwa pia na wakinga na watani zangu wachaga japo kwa kiasi kidogo na wabondei na makabila mengine kwa uchache.
Nimeshindwa kupata jibu la hakika inakuwaje kumfanya mtu ndondocha kisha wewe upate utajiri...!!!yani mwingine ateseke aishi kifungoni huku wewe kupitia yeye uishi maisha ya ufahari sifa mafanikio heshima na umaarufu???
Utajiri wa ndondocha hauna tofauti na utajiri wa kuua lazima uishi kwenye maagano na viapo na masharti mengi..! Unapenda utajiri sawa unapenda mafanikio sahihi kabisa..! Lakini angalia unapata utajiri wa aina gani ili mwisho wa siku tusikuone unafilisika ghafla na kuwa na mikosi kibao.
Utajiri wa ndondocha unatesa wengi sana kwakuwa huyu akifa inabidi fasta uandae mwingine wa ku take cover na kumbuka wote lazima wawe ndugu wa karibu
Si kama Zile za Kuchukua Nyota ya mtu kweliSizijui hata chembe
Bora Nikalime xx... Ila Kuna mambo Mengi sanaaa Behind mpk mtu anaamua kwenda Kwa mganga Kuchukua Utajiri wa namna HiyoHakuna utajiri unaokosa masharti tatizo yasiwe mabaya....
Masharti ya nidhamu na kujali muda na kila sent sio mabaya
Tena awe yule unaempendaNahisi lazima awe ndugu tu,
Kuna watu ni aggressive kwenye hili wanachojali ni kupata utajiri wa haraka bila kujali utapatikanaje na madhara yake ya baadaeBora Nikalime xx... Ila Kuna mambo Mengi sanaaa Behind mpk mtu anaamua kwenda Kwa mganga Kuchukua Utajiri wa namna Hiyo
Hata anamfanya nduguye kuwa ndondocha nae pia ni ndondocha...unaharibu akili ya mtu afu unapasua kichwa jinsi ya kupata pesa! Haribu afu ukae tuu bila shuguli ukiamka uwe unakuta mlundo wa pesa mchagoni![]()
Kwanza niseme wazi kabisa kwamba hili nimeshindwa kulipatia majibu ya kutosha hata baada ya kujipa muda wa kutosha kulitafit.
Binafsi nilishawahi kumuona walau ndondocha mmoja mwenye asili ya kiasia pale buguruni kwa tajiri mmoja wa magari ya kusafirisha mizigo..huyo ndondocha alikuwa mama mzazi wa huyo tajiri na alikuwa kawekewa wafanyakazi wawili wa kumwangalia kwa kila kitu...alikuwa anafungiwa chumbani muda wote na alikuja kufariki mwaka 2004 na jamaa kufilisika kabisa mwaka 2005.
Hizi habari za ndondocha zinahusishwa pia na wakinga na watani zangu wachaga japo kwa kiasi kidogo na wabondei na makabila mengine kwa uchache.
Nimeshindwa kupata jibu la hakika inakuwaje kumfanya mtu ndondocha kisha wewe upate utajiri...!!!yani mwingine ateseke aishi kifungoni huku wewe kupitia yeye uishi maisha ya ufahari sifa mafanikio heshima na umaarufu???
Utajiri wa ndondocha hauna tofauti na utajiri wa kuua lazima uishi kwenye maagano na viapo na masharti mengi..! Unapenda utajiri sawa unapenda mafanikio sahihi kabisa..! Lakini angalia unapata utajiri wa aina gani ili mwisho wa siku tusikuone unafilisika ghafla na kuwa na mikosi kibao.
Utajiri wa ndondocha unatesa wengi sana kwakuwa huyu akifa inabidi fasta uandae mwingine wa ku take cover na kumbuka wote lazima wawe ndugu wa karibu
wewe kazi yako ni kula bata hadi kuku washangaeeeKaka Kuna ufafanunuzi mwingine dada kautoa hapo juu Kuna ukweli juu ya Hilo kaka?Kuna watu ni aggressive kwenye hili wanachojali ni kupata utajiri wa haraka bila kujali utapatikanaje na madhara yake ya baadae
Subir kaka aje akuulize maswali maana kasema Hana uelewa wa kutosha juu ya ndondocha kumbe we unajua hivyoo!!!!! Kaka mshana njoo huku fastaPata darsa la ndondocha kutoka darsa la FaizaFoxy wa JF:
Ni very simple, ndondocha anakuwa ni permanent "kiti" cha majinni waovu.
Una swali zaidi usione haya kuuliza.
Nje ya masharti uko tayari kuwatoa mkuu?mi kama ndugu wa kuwatoa wapo wengi tu ila siutaki utajiri wa masharti
Hapa umenijibu Mshana Jr swali ambalo nililokuwa najiuliza, tofauti ya ndondocha na msukule. Ila mkuu Kama unaweza fafanua zaidi tafadhari, Mshana Jr.Huyo ni msukule sio ndondocha, kwakuwa ndondocha hahitajiki kufa na hufanywa ndondocha na ndugu yake wakati msukule ni mambo ya wachawi wanaweza kumchukua yeyote