Ndondocha na utajiri

Ndondocha na utajiri

Kumbe!!!!! Mbona kama hivyo watakuwa washaondoka na nyota yangu jamani!!!
Na ndo lengo lao ukiwa husali obviously unakua hauna flame inayo waka kichwani ndo wanakufata. Ila wale waombaji huwa hawawasogelei wanakua wamezungukwa na moto. Ukiwa na hurumq ukiwapa jiandae kwa mabalaa na mikosi
 
Wataisoma number kuanzia leo Karume day
 
9227030c8fa6ec578697b23b723374a2.jpg

Kwanza niseme wazi kabisa kwamba hili nimeshindwa kulipatia majibu ya kutosha hata baada ya kujipa muda wa kutosha kulitafit.

Binafsi nilishawahi kumuona walau ndondocha mmoja mwenye asili ya kiasia pale buguruni kwa tajiri mmoja wa magari ya kusafirisha mizigo..huyo ndondocha alikuwa mama mzazi wa huyo tajiri na alikuwa kawekewa wafanyakazi wawili wa kumwangalia kwa kila kitu...alikuwa anafungiwa chumbani muda wote na alikuja kufariki mwaka 2004 na jamaa kufilisika kabisa mwaka 2005.

Hizi habari za ndondocha zinahusishwa pia na wakinga na watani zangu wachaga japo kwa kiasi kidogo na wabondei na makabila mengine kwa uchache.
Nimeshindwa kupata jibu la hakika inakuwaje kumfanya mtu ndondocha kisha wewe upate utajiri...!!!yani mwingine ateseke aishi kifungoni huku wewe kupitia yeye uishi maisha ya ufahari sifa mafanikio heshima na umaarufu???

Utajiri wa ndondocha hauna tofauti na utajiri wa kuua lazima uishi kwenye maagano na viapo na masharti mengi..! Unapenda utajiri sawa unapenda mafanikio sahihi kabisa..! Lakini angalia unapata utajiri wa aina gani ili mwisho wa siku tusikuone unafilisika ghafla na kuwa na mikosi kibao.

Utajiri wa ndondocha unatesa wengi sana kwakuwa huyu akifa inabidi fasta uandae mwingine wa ku take cover na kumbuka wote lazima wawe ndugu wa karibu

Mimi najua kila kitu kuhusu huo utajiri, ila umenishangaza Sana mkuu kusema kuwa hujui, maana najua una uelewa mkubwa Sana na mambo ya ulimwengu wa roho, hili nitaliwekea topic yake maalumu maana Inanipasa kueleza Kwa kina zaidi.
 
Nitashukuru kwa topic ila maana yangu ilikuwa ni uhawilisho wa utajiri na kiumbe kilicholemaa akili
 
Pata darsa la ndondocha kutoka darsa la FaizaFoxy wa JF:

Ni very simple, ndondocha anakuwa ni permanent "kiti" cha majinni waovu.

Una swali zaidi usione haya kuuliza.
uhusiano wa mtu kufanywa ndondocha na kupata utajiri ni upi?
 
Zamani nilikua nawaonea huruma na kuwapa hela ila kuna siku mchawi mkubwa aliokoka na kutoa ushuhuda jinsi watu wanavoingizwa kwenye maagano na kuzimu mikosi kisa kujifanya una huruma. Wengi waweza waona walemavu kumbe ni wazima wameenda kuvaa mavazi ya ukichaa na ulemavu. Kumpa hela omba omba ni hatari sana
ss yupi ambae ukimpa hela ni hatari kati ya omba omba na kichaa??

embu hapa funguka kidogo utufungue wengi
 
Mimi najua kila kitu kuhusu huo utajiri, ila umenishangaza Sana mkuu kusema kuwa hujui, maana najua una uelewa mkubwa Sana na mambo ya ulimwengu wa roho, hili nitaliwekea topic yake maalumu maana Inanipasa kueleza Kwa kina zaidi.
unitag hiyo mada mkuu cipro
 
Halafu Maagano mengi ya waganga na hayo mashetani/majini machafu ni kwa ajili tu ya kufanya jambo litakalo muudhi muumba, yani hawa waganga wanashirikiana na mashetani/majini machafu kumpotosha mwanaadamu na kufanya yale ambayo Mungu anachukizwa nayo, na jinsi unavyozidi kufanya yale ndio unapandishwa cheo uchawini au unazidi kufanikiwa, kuna wengine huaambiwa walale na mama zao au mabinti zao, yani jinsi anavyhozidi kumgegeda mama yake au binti yake, basi mali zinazidi, HAKUNA HATA TAJIRI MMOJA, ANAEAGIZWA NA MGANGA KWAMBA KILA IJUMAA AU JUMAPILI KUSANYA WATOTO YATIMA LISHA, AU PELEKA VYAKULA KWA WAGONJWA NA UTAZIDI KUWA TAJIRI, HAYA MAMBO HAMNA KWA MASHETANI NA WAGANGA, Kwahiyo wewe mwenyewe jiulize mtu anapofanywa ndondocha yule shetani anafaidika nini? mfano mtu kuua mtoto au mzazi wake ok tunadanganywa wanakunywa damu, vipi huyu anaeagizwa atembee bila ya viatu au asivae vizuri, au asichane nywele, au alalae na mama yake au mwanae???
 
Adui wa mtu ni wa karibu sana; ingawa watu wengi huwa wana usema huu msemo ila hawachukulii maanani. Mtu wa karibu anaweza kukufanyia chochote ili yeye afaidike; na anaweza akawa mwema kwako na hata ucweze mfikiria kama anaweza kukutendea kitendo kibaya. Mungu atupatie macho ya rohoni; na Mungu hawez kukupa macho ya rohoni kama ukiwa na chuki au kutomsamehe huyo mtu na kumuacha Mungu alipize kisas kwa ajili yako. Hata hao wanao watoa wenzao ni watu wa karibu kabisaa

Nimekupenda bure.
This is some solid fact. Thank You !!!
 
Kuna mengine ni kupakaziana tuu lakini unajiuliza inakuwaje mtu anakaa na mgonjwa wa akili ndani ya nyumba na hata siku moja hajaribu kumpeleka kwenye tiba wakati uwezo anao?

This is very TRUE.
Na je mshana heb nikuulize. Ivi ma ndondocha si wapo wa aina nyingi ??

Kuna mzee mmoja namfaham ni tajiri kweli lakn hasaidii familia yake kujikwamua ki uchumi ilihali wameshakua watu wazima na akili zao na shule wamepiga fresh tu....mtu unapesa nyingi but unabania wanao wasipige hatua. Is this some sort of a similar thing ??

Its very strange, bora wangekua watoto ila ni watu wazima kabsa.
 
Ni masharti kwa sehemu kubwa kwakuwa utajiri huo hautokani na elimu na maarifa bali ushirikina
 
Ni masharti kwa sehemu kubwa kwakuwa utajiri huo hautokani na elimu na maarifa bali ushirikina

Its a very strange world. Mwingine anapiga hela nyingi ila hajui kabisa kuishi vizuri, kula vizuri (in a healthy way), hajui kutembea sehem nzuri na kupata kitu nafsi inapenda mara moja moja na sio kwamba ni ufujaji au anasa ila basi kuna mijitu ya ajabu sanaa. Hela inaingia kibao ila yako ki ajabu ajabu tu.

Kuna mzee mwingine wa kichagga mjini hapa ana biashara yake moja hivi ni maarufu sana Dar hapa ( 65% ya vijana humu watakua wanaifaham ) mzee hela ipo ila yeye kutwa all day everyday ni kuvaa mishati meupe tu. Hahaha hela hizi daah.
 
Haya mambo yapo sana kilimanjaro Rombo.
Kule Rombo , kwakawaida watu hufuga mbuzi yani kila familia nilazima utakuta kuna mbuzi....lakini kwasiku hizi duu!

Kuna watu wame fanya watu kuwa mbuzi kuna mifano mingi mno yawatu kufanywa hivi...mshana jr. Kama una taka kufanya utafiti basi wewe nenda Rombo hasa mashati na useri. Yani popote utapo enda uka uliza "kuna familia yenye ndondocha tahira katika eneo hili"?.niraisi sana watu kukuonesha pale kwa fulani "

Kule una kuta mtu ka maliza darasa lasaba , Alafu aka ajiriwa Dar kwa mjomba wake . Kufanya kazi ya kuuza duka lamda kwamiaka miwili...ana uza duka kwa muda wa miaka miwili Akimaliza ana anza kujitegemea lamda kwamwaka mmoja .

Akiona maisha magumu ana anza kumchuria ndugu yake , Hapo ndipo utasikia ndugu ya mtu fulani kawa ndondocha...nahuyo mtu alie kuwa Dar , kwa mjomba kufanya kazi yakuza duka. Anakuja ana mihelakibao , chakwanza (1)mikafara yambuzi ina anza.chapili (2)bila shaka nikutengeneza booonge lamjengo.

Ajabu nikwamba kwawingi wao nilio washudia.hao wanao tuhumiwa kuwafanya ndiguzao ndondocha huwa hawaishi kwenye mijengo yao mikubwa wanayo ijenga.

Haya mambo yapo kilimanjaro lakini sio utamaduni wakilimanjaro.bali niutamaduni wa sehemu zingine za nchi.

Ndio maana huwezi kumkuta mtu alie ishi kilimanjaro kwamuda wote akiyafanya haya mbo.

Maranyingi mtu anae wageza nduguze ndondocha huwa.Ame ishisana Dar au Mbeya.

Waganga wakutibu hili tatizo nawenyewe hawapatikani kilimanjaro.bali sehemunyingine zanchi.

Ukweli nikwamba pamoja naku shuhudia tu! Watu walio fanywa ndondocha pia yasha mkuta dada yangu....ila hakuwa ndondocha bali kama chizi fulani hivi.ila kwasasa kesha pona .
 
Kwaharakahaka nime waku mbuka watu tano.niliokuwa nina wajua tangu wakiwa wazima nakwasasa wana tokwa udenda huku waki hesabu majani ya mikahawa na mabox.wakisema ndio pesa.

Jr mshana: mbali na utajiri wa kumfanya mtu ndondocha.nina amini utakuwa ukiujua utajiri wakutoa vichanga mimba tumboni kwa mama yake nahuu pia huwa ni ndugukwandugu tena kesinyingi huwa niza mtu na mume wake.

Kuna utajiri mwingine pia waku mfanya mtu kuwa chizi au kichaa nani tofauti kabisa na ndondocha. Kwani huu huenda paka kwa watu wasio na udugu wowote na anaefanya haya mambo.

Kuna mifano yawatu walio kwenda kufanyakazi kwawatu kama kazi zandani au kuuza duka nayakawakuta.

Bilashaka utakua unajua habari zaku angamiza kabisa hizi habari pia kule rombo sio ngeni sana mtu anakufa . Mjengo wamaana una tengezwa ,gari nalenyewe lina nunuliwa uki angalia anae nunua haeleweki.ana majumba magari lakini maisha yake yakijima balaa! Ubahili wakuchupa mipaka mtu ana pesa nguo anazo faa nihatari, kiatu namaisha yake kwajumla nibora hata angekuwa fukara.
 
Nimekupata sana kwenye post zote mbili
 
Halafu Maagano mengi ya waganga na hayo mashetani/majini machafu ni kwa ajili tu ya kufanya jambo litakalo muudhi muumba, yani hawa waganga wanashirikiana na mashetani/majini machafu kumpotosha mwanaadamu na kufanya yale ambayo Mungu anachukizwa nayo, na jinsi unavyozidi kufanya yale ndio unapandishwa cheo uchawini au unazidi kufanikiwa, kuna wengine huaambiwa walale na mama zao au mabinti zao, yani jinsi anavyhozidi kumgegeda mama yake au binti yake, basi mali zinazidi, HAKUNA HATA TAJIRI MMOJA, ANAEAGIZWA NA MGANGA KWAMBA KILA IJUMAA AU JUMAPILI KUSANYA WATOTO YATIMA LISHA, AU PELEKA VYAKULA KWA WAGONJWA NA UTAZIDI KUWA TAJIRI, HAYA MAMBO HAMNA KWA MASHETANI NA WAGANGA, Kwahiyo wewe mwenyewe jiulize mtu anapofanywa ndondocha yule shetani anafaidika nini? mfano mtu kuua mtoto au mzazi wake ok tunadanganywa wanakunywa damu, vipi huyu anaeagizwa atembee bila ya viatu au asivae vizuri, au asichane nywele, au alalae na mama yake au mwanae???
nimekuelewa sana mkuu,,kumbe misheni nzima ni ya shetani kukusanya wafuasi wa kumkosea Mungu

Ila ss hizo process zao za kufanya wenzao ndondocha, kuwatoa watu kafara na kufanya mambo mengi ya ajabu ndo zinanichosha na kunishangaza asee
 
Back
Top Bottom