RGforever
JF-Expert Member
- Apr 3, 2011
- 6,877
- 5,444
Mi kuna m2 aliniambia na Ni Tajiri Kweli kwamba yy atafanya Chochote kile Ili mradi tu masharti yasiseme Kuwa aue Ndugu au Mtu wake wa karibu..Kuna watu ni aggressive kwenye hili wanachojali ni kupata utajiri wa haraka bila kujali utapatikanaje na madhara yake ya baadae