Sawa kabisa. Binafsi nimekuelewa😅Kabisa boss. Umeingia kwenye ndoa haijawork toka endelea na maisha sio uanzishe kampeni za kijinga jinga.
pia kama upo kwenye ndoa usisumbue wengine na maamuzi yako.
unaandika kwa hisia😂
Wa kwangu hajawahi kuwa adui sema mboga moja inakinai sana mkuu, papa moja inachosha sanaaa🤣Hata wenye pesa zao na wanatoka out kila siku wanayo matatizo mengi ya kutosha.
Yaani watu mkishaoana tu mnaanza kuwa maadui sijui tatizo nini.
Hahaha. Ukiiba hakikisha hukamatwi la si vyo ukidakwa ikavunjika angalia tu usipate tatizo la afya ya akili ukaanza mahubiri ya KATAA NDOA.Wa kwangu hajawahi kuwa adui sema mboga moja inakinai sana mkuu, papa moja inachosha sanaaa🤣
Tuishi tu kwa akili mkuu🤣🤣Hahaha. Ukiiba hakikisha hukamatwi la si vyo ukidakwa ikavunjika angalia tu usipate tatizo la afya ya akili ukaanza mahubiri ya KATAA NDOA.
Nakuombea kipenziNiombee
Hapana mkuu jamaa amekutwa na niniMkuu umeona ya will smith yaliiomkuta?
Ha haaa poleWa kwangu hajawahi kuwa adui sema mboga moja inakinai sana mkuu, papa moja inachosha sanaaa🤣
Kijani,nyeusi,blue or.....Jana usiku niliona rangi halisi ya mke wangu
Rangi ya hatariKijani,nyeusi,blue or.....
Pole mkuuRangi ya hatari
Namshukuru Mungu nilikaa kimya huenda muda huu ningekua mahabusuPole mkuu
Umeonaa sasa...pamoja na yoteee....sometimes tunahitaji Jambo jipyaa😂😂😂Inakuwa inachosha kwa sababu ya kukosa ubunifu mkuu, kama kweli unataka kuifurahia ndoa kuna namna nyingi za kufanya. Pesa iwepo ili ndoa isiwe karaha, mazingira yabadilishwe ili kuleta ladha mpya nk.
Japo kweli kuna kila haja ya kula wali nyama, then pilau na kuna wakati makande ni matamu kwa hamu.🤣🤣
Achaa tuuuu...ndioo maana ili ndoa idumuu mnapitiaa Mambo mengi mnoooo...ups na downs za kutoshaaa...inafika mahali mnaishi kwa mazoea tuuNdoa ni jela ya kujitakia tuliyoiunda sisi wenyewe.
Daah mkuu umeongea ukweli asee, hakuna watu wanaokwaza kama wanaosema hiyo kauli eti kumbe mwenzangu una mambo yako moyoni huyasemi, mara sijui una gubu na visiraniNa wanaharamu watakuwa wengi sana kwa kufunika...siku wakijaa hao utalipuka Sana ...maajabu sasa unageuziwa kibao kwamba "kumbe mwenzangu Una Mambo moyoni husemi, sipendi kama unaumia si uniambie Mimi ni binadamu nakosea" kumbe anajua afanyalo...huu ndo utapeli wa hisia, bwana dronedrake kaliona hili
Tafuta mtu anajielewa kidogo amalize mambo kimyakimya🤣🤣Umeonaa sasa...pamoja na yoteee....sometimes tunahitaji Jambo jipyaa😂😂😂
😂😂😂😂Kaka nimekuelewaa...kikubwaa nizingatiee neno"kimyakimya"..😂😂...huyu mwanaumee atanikata masikioTafuta mtu anajielewa kidogo amalize mambo kimyakimya🤣🤣
Halafu hilo group ndio linalo pendwa na linaongoza kwa kutengeneza single mother.Ni kweli shida ni bwana harusi ambaye bado hajajitambua na hajielewi. We unamuona yuko sawa na timamu kiakili huyo?! Huoni kama binti kaolewa na Zwazwa?! 😀😀😀
Chagueni kwa makini, sio kila mwanaume ni chovyachovya... wachaneni na hawa vijana wa mjini wafuga ndevu na wachora tattoo... majority hawajielewi!
Ewaa zuzu lenye akili 😂Bila kusahau kujifanya hamnazo Ili mambo yaende 😂😂😂
Ushauri wa kuleteana UKIMWI na ma UTINdoa Bora ni pale Mwanamke ni Kipofu na Mwanaume ni Kiziwi.