Ndoa zina matukio jamani

Ndoa zina matukio jamani

Yan bwana wangu afu hajui lini naingia period? Huyo hawezi kuwa bwana angu mimi ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Raha kuifata
Unafika kila kitu ONโ€ฆ

Sasa nyie, mkikasirikiana kdg hampeani? Mara unapewa huku amekasirika?
Mara unamvizia unadumbukiza
Woi
Hivi unajua "makeup sex" ilivyotamu? Weee hapo ukigombana na bf wako mnafanyaje makeup sex, wakati huo mimi nikimkwaza baby wangu natafuta namna ya kusuluhisha then paaap inaishia na kazi heavy๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Kuna kesi nilikumbana nayo, mwanamke ana watotu watatu.

Ikajul8kana huyo mwanamke anatembea na mdogo wake mumewe, yaani shemeji yake. Akaitwa na wakwe zake akanywe.

Wakaanza kumwelezea walichomuitia, akawaambia "kweli, natembea na shemeji, hatujaanza leo, hawa watoto wote watatu ni wake. Muulizeni mwanenu sababu ni nini".

Kesi ikaishia hapo hapo.
Aisee...
 
Nakuwa agent wa TBL ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Bora ulewe tu hivhiv hutoboi unawezapishana na mumeo kariakoo akirudi akasema alikuwa Mbezi kama hujalewa huwez kuelewa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Kuna kesi nilikumbana nayo, mwanamke ana watotu watatu.

Ikajul8kana huyo mwanamke anatembea na mdogo wake mumewe, yaani shemeji yake. Akaitwa na wakwe zake akanywe.

Wakaanza kumwelezea walichomuitia, akawaambia "kweli, natembea na shemeji, hatujaanza leo, hawa watoto wote watatu ni wake. Muulizeni mwanenu sababu ni nini".

Kesi ikaishia hapo hapo.
Kuna ile unaenda kwa kiongozi wa dini aliewafungisha ndoa awasuluhishe kumbe huyo msuluhishaji ndo mbaya wenu ye na mwenzie wanakuzoom tu

Unaenda kwa dada akusaidie kakae haeleweki anakupa maneno ya kukupoza kumbe ye ndo adui kuwadi wa malaya kwa kakake
Vitu kama hivi vinaweza kupa mawazo ya kuua
 
Siyo kuwadi tu, dunia ya leo, wengi sana huanzia nyumbani na kaka na baba zao.

Nimeshakumbana na kesi hizo.
 
Hawa jamaa wanalazimisha furaha yao iwe furaha ya kila mtu. Binadamu hatuko sawa. Mimi binafsi maisha ya kukaa naulizwa ulizwa uko wapi?,unarudi saa ngapi?,mbona hujaniambia utachelewa kurudi?,mbona Jana tulikuwekea chakula hujala!?, weekend hii tukamuone dada yangu kajifungua, mtoto wa shangazi anapata komunio jumapili tushinde huko... n.k,n.k.. SIYAWEZI HAYA MAISHA Kwa herufi kubwa. Mimi siwezi kuishi kwa kanuni maalum, nikiamua nakaa ndani weekend nzima, nikiamua naondoka ijumaa jioni narudi jumapili, tena naweza kujikuta nimeliamsha nipo Moro, Dodoma, Tanga au Arusha. Ndo maana hata ajira zilinishinda nimejiajiri. Kwa ufupi sipendi ku complicate maisha. Mnaoweza kuishi kwa masharti sawa. Na tulioamua kuishi ki single by 100% mtuache. Furaha yetu hamuwezi kuielewa. Hakuna kitu kizuri kama kuwa huru, na mnaosema "hakuna kitu kizuri kama ndoa",nawaheshimu pia ndo furaha yenu, ila tusipangiane kila mtu aishi anavyoona anapata furaha.
Ndoa ni kitu chema.lakini uwe tayari kusacrifice uhuru wako
 
Haswa za kizazi hiki.

Usaliti umekuwa kitu cha kawaida, magomvi kama yote, wengi wanafeki furaha ila ndani kunafurukuta. Matukio ya kutisha, najiuliza walewale waliokuwa wanacheza romantic songs sijui blues kwa hisia na upendo ndo hawahawa leo wanakimbizana na mapanga?

Wamechafukwa hawatamani kuonana tena, ndo hawa kila mmoja kamchoka mwenzake? Wanapigana wengine wanauana.

Ndoa imekuwa kifungo cha maumivu, nimeshuhudia wengi wakiteseka kihisia, kimwili, kiroho nk

Ndoa sio salama tena imekuwa njia ya kujipatia magonjwa ya kila aina, ukitaka magonjwa yote ingia kwenye ndoa na malaya asiejua kuridhika wala kutulia. Ndoa zimegeuka tanzi na mtego.

Hata ukiweka vigezo 100 lakini ukweli watu hubadilika kutokana ma situations zinazotokea maishani. Mpaka baba mchungaji anachepuka. Ukiyumba kiuchumi kidogo tu mwenzio kakukimbia. Ukipata hata ajali ukilala tu kitandani mwenzio anaomba talaka ama anahamia kwa mwingine.

UKITAKA KUINGIA KWENYE NDOA JIPANGE NA UWE NA ROHO NGUMU!
Ukitaka kuweza ndoa vizuri kabisa

Jifunze forex

Utaifurahia sana ndoa yako
 
Ifike wakati kuchana kwenye ndoa iwe ni tukio maalumu kama kufunga ndoa
 
Back
Top Bottom