Mazoea yana tabu sana,Haswa za kizazi hiki.
Usaliti umekuwa kitu cha kawaida, magomvi kama yote, wengi wanafeki furaha ila ndani kunafurukuta. Matukio ya kutisha, najiuliza walewale waliokuwa wanacheza romantic songs sijui blues kwa hisia na upendo ndo hawahawa leo wanakimbizana na mapanga?
Wamechafukwa hawatamani kuonana tena, ndo hawa kila mmoja kamchoka mwenzake? Wanapigana wengine wanauana.
Ndoa imekuwa kifungo cha maumivu, nimeshuhudia wengi wakiteseka kihisia, kimwili, kiroho nk
Ndoa sio salama tena imekuwa njia ya kujipatia magonjwa ya kila aina, ukitaka magonjwa yote ingia kwenye ndoa na malaya asiejua kuridhika wala kutulia. Ndoa zimegeuka tanzi na mtego.
Hata ukiweka vigezo 100 lakini ukweli watu hubadilika kutokana ma situations zinazotokea maishani. Mpaka baba mchungaji anachepuka. Ukiyumba kiuchumi kidogo tu mwenzio kakukimbia. Ukipata hata ajali ukilala tu kitandani mwenzio anaomba talaka ama anahamia kwa mwingine.
UKITAKA KUINGIA KWENYE NDOA JIPANGE NA UWE NA ROHO NGUMU!
It hurts mtu mmeanza wote leo anakuona gunia la taka then anachokipata anaspend na anawaona wazuri..hii hatua hapanaTatizo wanaume wa sikuhizi ni wabishi sana.
unaanza na mtu 0 mwenzio akipata anawaza mademu hapo ndo tunachoka hata kujaribu
Khaaaaaπ€π€π€Tukikupa mtihani kuanzia January hadi December ule ugali na dagaa utaweza?
Muhimu tuzidi kuombeana heri na kuchukuliana, hakuna aliye Mkamilifu
Kwamba mke wako ananuka? DuhMazoea yana tabu sana,
Fanyeni usafi kama kabla ya ndoa Mbona mlikua Smart sana no smell sasa ivi ni nini imetokea?
Koh koh koh .............π π πππKhaaaaaπ€π€π€
yaani kablaa hajaolewa sijui alikua ana weka nn ilikua inanukia marashi ya pwani saivi inanukia konyagi dahKwamba mke wako ananuka? Duh
Mwambie sasa unataka nani amwambie
Sijawapotosha mkuu..ila naongelea matukio yake nnayoshuhudiaNdoa ni tamu sana, acha kupotosha vijana wadogo waziogope.
Kwakweli !Utafiti wangu umegundua wanawake wengi ambao hamjaolewa mna mtazamo hasi kuhusu ndoa.
Mwambie inawezekana anaumwa. Kushindwa kumwambia ni udhaifu na humtendei haki.yaani kablaa hajaolewa sijui alikua ana weka nn ilikua inanukia marashi ya pwani saivi inanukia konyagi dah
Mwanaume kichwa sa inakuwaje usiwe na sauti jmn?Naunga mkono hoja,bila utemi utaona kila rangi ya mwanamke
You said well bro. Humo humo tunaishi na tutafika,No wayNdoa ni kama kifo na kuishi
Huwezi kuogopa kifo kama unaishi
na kinyume chake ni sahihi.
Tutaendelea kuishi humohumo mwisho tutafika. Kiufupi maisha sahivi yanachangamoto sana.
Uaminifu katika mambo mengi iwe ni kwenye pesa ni changamoto pia.
Wavumilivu watakula mema ya Nchi
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23] Ndoa ni kutia mkono gizani asikuambie mtu
Yaani mimi nikila ulabu nakuwa boya....nikiwa na akili timamu ndyo tunacharauna vizuriNi kulewa tu akija namjibu ki alcoholic mwenyewe atachoka π€£π€£π€£
Me nikilewa ndio tunapata suluhu πππYaani mimi nikila ulabu nakuwa boya....nikiwa na akili timamu ndyo tunacharauna vizuri
ukiiangalia tu, unaona kabisa ukiigusa tu lazma utibue hali ya hewa na kua nzito mithili ya dalili ya korona,Mwambie inawezekana anaumwa. Kushindwa kumwambia ni udhaifu na humtendei haki.
Miezi miwili zinavunjika.inafikirishaNdoa kwa sasa ni changamoto Sana mkuu
Achane hizo kwani una wake wangapi wewe? Anayenuka ni huyo wa kwako...ukiiangalia tu, unaona kabisa ukiigusa tu lazma utibue hali ya hewa na kua nzito mithili ya dalili ya korona,
acheni hizo bana,
Lips zimeshine ile mbaya, zinang'aa kama malaika,
akuhemee sasa akiwa karibu yako heeeheeeee......
naona aibu kusema.....
sitaki kusema kuzidi ya hapo, haya ni baadhi ya matukio muhimu yanayopatikana kwenye manyumba mengi ya watu na wanateseka nayo taratibu....
Mbayaaeee.......
ππππ€£π€£π€£π€£ Na kwenye gari kuna lipstick nyekundu iliyotumika
Sasa natokaje na wife kwa maswala ya kazi mkuu, yeye yupo home nikienda nakuta chakula safi kaniandalia, naamua nianzie wapi na weekend hiiπ€£π€£. Haya single na upweke wake anaona bora ale chips na pepsi yake siku iende, single anaona bora aende beach akakae peke yake huko kupunguza stress, guys ndoa pamoja na mapungufu yake yote ni tam, tena tamuuuMkeo kabaki mpweke now ππ
sasa si mngetoka wote? Nyie si mwili mmoja?