Nkulu wa nchito
JF-Expert Member
- Dec 13, 2019
- 2,047
- 2,712
Kuna jambo unaficha kuwa wazi kuna tumahusiano umetuanzisha tutakukostiHabari wakuu
Mimi na mke wangu tunafanya kazi mikoa tofauti ila siyo mbali ni masaa matano anatumia njiani akiwa anakuja kwangu mara nyingi huwa anakuja ijumaa na jumatatu anaondoka.Mimi nina ishi na mtoto na mfanyakazi na huyo mfanyakazi anamlipa yeye.Kusudi la kukaa na mtoto na beki tatu huko anakofanya kazi mazingira hayako poa so tukaona wabaki na mimi.Changamoto inayojitokeza sasa mke wangu amekua akifanya mambo bila kunishirikisha kwa mfano wiki tatu zilizopita aliniambia anaenda kwenye semina kanisani alivyorud hakusema chochote ghafla nikaona mwenzangu ana harakati za biashara ya mtandaoni biashara yenyewe ni ile ambayo kampuni wanakuuzia madawa halafu ww utafute wateja uwauzie ndiyo urudishe hela zako ulizonunulia.Sasa kinachonitatiza zaidi kafungua akaunti mitandao ya kijamii kaweka no yake ya simu,email na location kabisa yeye anapoishi.Mara nyingi nikimkataza jambo fulani hanielewi kuna kipindi kuna tatizo lilijitokeza nikafikisha taarifa kwa mama ake lkn naona bado mwenzangu mambo ni vile vile sasa nawauliza nyie ambao mmewaacha wake zenu na kuoa wengine vipi hali ikoje huko nataka nimuache huyu mi dharau sipendi
Unamtaftia sabab tuHabari wakuu

Kuweka no yake ya simu public tena facebookMke wako kafanya kosa gani? Sijakuelewa mkuu. Biashara ya mtandao, kuwa na acc mitandao ya kijamii au kumlipa mfanyakazi wenu?
Kuweka no yake publicWapi kosa?
Sawawivu usiuendekeze utakutoa roho na pia usiwe kama zeze kwenye nyumba yako
Pole mkombe. Awe chio chatala nkaniHabari wakuu
Mimi na mke wangu tunafanya kazi mikoa tofauti ila siyo mbali ni masaa matano anatumia njiani akiwa anakuja kwangu mara nyingi huwa anakuja ijumaa na jumatatu anaondoka.Mimi nina ishi na mtoto na mfanyakazi na huyo mfanyakazi anamlipa yeye.Kusudi la kukaa na mtoto na beki tatu huko anakofanya kazi mazingira hayako poa so tukaona wabaki na mimi.Changamoto inayojitokeza sasa mke wangu amekua akifanya mambo bila kunishirikisha kwa mfano wiki tatu zilizopita aliniambia anaenda kwenye semina kanisani alivyorud hakusema chochote ghafla nikaona mwenzangu ana harakati za biashara ya mtandaoni biashara yenyewe ni ile ambayo kampuni wanakuuzia madawa halafu ww utafute wateja uwauzie ndiyo urudishe hela zako ulizonunulia.Sasa kinachonitatiza zaidi kafungua akaunti mitandao ya kijamii kaweka no yake ya simu,email na location kabisa yeye anapoishi.Mara nyingi nikimkataza jambo fulani hanielewi kuna kipindi kuna tatizo lilijitokeza nikafikisha taarifa kwa mama ake lkn naona bado mwenzangu mambo ni vile vile sasa nawauliza nyie ambao mmewaacha wake zenu na kuoa wengine vipi hali ikoje huko nataka nimuache huyu mi dharau sipendi
wivu usiuendekeze utakutoa roho na pia usiwe kama zeze kwenye nyumba yako
Kwani akipata ela kwenye haso zake anakushirikisha? Au ni kimya kimya tu? Kwa stori yako sijaona shida bado
Hamna simtafutii sababu kiukweli napenda sana kuwa na familia yangu na hata kumuoa yeye nilisema kabisa mwanamke atakaebeba ujauzito ndyo yeye nitamuoa na nimefunga nae ndoaUnamtaftia sabab tu
Hii lugha inanishindaPole mkombe. Awe chio chatala nkani
HahahaKweli wewe Mkuu wa kaya
Hapana mkuu zinaa ni mbaya sana nina muda mrefu sijachepukaKuna jambo unaficha kuwa wazi kuna tumahusiano umetuanzisha tutakukosti
NishauriSawasawa