Ndoa yangu ipo ICU !dah

Toxic relation is always addictive. Dopamine ikiwa imezid kupita kiasi ndio ile unajikuta una unalia kwa ajili ya mwanamke wkt yeye hajali chochote.

Nilishawahi kupitia toxic relation. Baada ya kuchomoka huko niliapa haitokaa nimshikilie mwanamke tena .. akitaka kuondoka powa tu, asipotaka powa.
JAMAA HATAKI KUAMINI KUWA MKEWE AMEMUUMIZA!
so ANATAFUTA JUSTIFICATIONS!
ili ajipe amani
-kuwa well, hata hivyo uhusiano wetu ulianza akiwa ametoka kwenye break up
-well, nilimuoa akiwa mdogo so anafidia ujana
-well, hafanyi kwa ajili ya pesa anajimudu kipato
-well, nampenda na nahisi ana sababu ya kufanya hayo!

KUUUUUUMBAFFF!
mtu wa hivi hata thread ifike pages 100!
HACHOMOKI KWENYE HAYO MAHUSIANO MNAYOFIKIRI NI TOXIC KWAKE!
 
unakoelekea huo mke atakuja kukuua mkuu.naamini kabisa akipata fursa ya kukua atakuua tuu.maana ni hatari mke anaye furahia usafiri ili apate time ya kuchepuka.

kashakuwa mke pori huyo.fanya maamuzi ya kumuacha ili utilize kichwa chako ufanye mambo ya maana.utapata uchizi au atakuloga au atakiwekea sumu ufe .maana unavyo sound ilni kama unaonekana umekuwa kero kwake
 
Mkuu kama unao uhakika wa kutosha kwamba mkeo mzinzi muache...hata biblia inaruhusu uchape lapa...ukiendelea kujipa moyo kwamba ipo siku ata change ni sawa na kusubiri meli airport....muache aende usije danja kwa presha, hujazaliwa nae huyo
 
Pole mkuu, ila kusingekuwa na Ukimwi, Kaswende, Kisonono, Hepatitis A, B na C (zaidi B), Genital Herpes, Chancroid, Chlamydia, Bacterial Vaginosis, scabies, genital lice, lymphogranuloma inguinale nk nk. Basi ingekuwa vyepesi kuendelea na kujifanya kama hujui kilichotokea vile , pole tena, ila ukiendekeza mapenzi asije akakuondoa mkaacha watoto yatima. Kama amekuchoka basi kila mtu achukue hamsini zake muachane wazima. Kama ameacha kuchepuka, mkapime upya kabla ya kuendelea kama hapo awali.
 
Kosa lilianza pale ulipoamua kumfata Moro.
Pole sana nadhan yafikishe kwa wazazi asipobadilika mpe talaka mkuu itauma lakin kuwa ngangari overtime utapona na utaweza hudumia wanao.
Au la usije ua au kuua au uletewe ukimwi ndan.
 
Hivi na hawa analikuwa anatabia kama za wanawake wa asa hivi mana ndoa asa hivi ni shida sana. Wewe mruhusu afanye anacho penda beba wanao ila ipo siku atakukumbuka tu lazima
 
Sio sahihi kutoa hukumu kwa kusikiliza maelezo ya upande mmoja tu bila kusikia na maelezo ya mkeo. Ila kwa maelezo yako ni wazi mke wako hana furaha na wewe na kuna mtu mwingine anaempenda. Jikague tabia zako pengine una wivu sana, Au umridhishi chumbani, Au unamnyima haki yake ya Ndoa - Mara 15 kwa mwaka lazima achepuke huyo. Ushauri wangu ni wewe kujirekebisha kero zote anazokulalamikia au Piga chini huyo mke uangalie ustaarabu mwingine.
 
Hv wanaume wa hv bado wapo? Pole sana usilazimishe kupendwa utaja jutia siku moja au unaweza fanyiwa vitu vya ajabu.
Itisha kikao cha wazazi pande zote mbili waambie nia yako na baada ya hapo muache aendelee na maisha yake. Huyo Tamaa imeshamuingia na ukiendelea kusubr utaletewa Magonjwa na watoto bado wadogo.
Wanaume wa hivi wala hawajawahi kuwepo, huyu ni wa kipekee Kama anayosema yote ni kweli. Huyu mwanamke kamchelewesha sana kumnyoosha. Sasa hivi inabidi asepe tu maana akilazimisha atamvunja tu.
 
Usiwe kigang'anizi. Wanawake (mkeo) mapenzi yao ni all about feelings. Zikikata hata umfanyeje hawezi kuinjoi.

We achana naye mwache aishi maisha yake. Kwanini uwe kikwazo kwa maisha ya mwenzio eti kisa ndoa?;?!
Kakukimbia Dar, ukamfata Moro, why this?

Watoto wappo na utawakuta.


Ukiendelea kugang'ania utayiliwa sumu ufe umpishee.

Kusema kweli, we ni bonge la boya. Mkeo analetwa na gari 15mins unawachungulia tu?;?! Tena usiku? Wamelewa? Na wewe mkeo alijua haupo?
Kwani vioo vya gari bei gani?!?!!

Zuzu saaana.

Mkeo eti anakwambia usiwe unachunguza vitu vyake nawe unasema samahani, kenge kweli. Vittu vyake vyenu??

Yaani nna hasira utadhani me ndo babako.

Kulialia ni ujingaa.

BAADA YA KUSOMA POST HII. MPIGIE/MWAMBIE HUYO MWANAMKE KUANZIA LEO SIO MKEO, NI MZAZI MWENZIO.

NAJUA UNAOGOPA KISA ULIMZOEA, ULIVOZOEA KUWA NAYE, NDIVYO UTAKAVYOZOEA UPWEKE.

NB: BAADA YA KUACHANA NAE, USIKURUPUKE KUJIINGIZA KWENYE MAHUSIANO MAPYA WALA KUNYWA POMBE, KOMAAA NA MAUMIVU MPAKA UHISI KUFA, HUO NDO UANAUME
Jamaa ana uboya wa kiwango cha SGR!
 
Pole sana mkuu, ila hiyo ishakuwa ndoano jitahidi uchomoke japo ni ngumu kwa haraka kwa mtu uliyemzoea kutengana ila maamuzi magumu yanatakiwa
 
KWANINI UNAJIHISI UNA HATIA ?
tuanzie hapa kwanza?
KWANINI UNAMTETEA SANA?

ndani YAKO UNAAMINI ULISTAHILI KUMUOA HUYU MWANAMKE?
Anamtetea huyo mwanamke kwa sabb iko hiv "usijaribu kumuudhi mwanamke kwa sabab yeye ndo binadamu pekee aliyeonana na shetani na huwezi jua waliongea nini mbali na lile tunda"
 
Back
Top Bottom