Bro you're in deep shit...i can feel ya pains.
Mwanamke akishakwambia sikutaki/nataka talaka they always mean it...maana huwa inatoka moyoni.
Kitu kimoja wanawake wanakosea, huwa wanaweza kabisa kuingia katika ndoa/mahusiano na mtu asiyempenda wakidhani watajifunza kupenda wakiwa ndani...
Sasa huenda mkeo ni kati ya wanawake wenye mtazamo huo, alianzisha mahusiano nawe akiwa hana uhakika kama anakupenda na akiamini atajifunza kukupenda...
We all know, mtu ajifunzaye ijapofika wakati wa mitihani huweza kufaulu ama kufeli, na katika situation yenu mtihani ulikuwa huo umbali. Mkeo kafeli na rangi zake sasa umeziona.
So brother, all you can do now is to just let her be, get your kids na uondoke nao wala asijue ulioenda nao...
Mtu asiye na upendo na mumewe/mkewe na akisema anawapenda watoto huyo ni mnafiki. Huwezi kulipenda boga ukachukia uale...
.