Ndoa yangu imezaa tunda la nne

Ndoa yangu imezaa tunda la nne

kwani wewe ni fashionista wa mataifa mengine?
Labda tumuuulize Ruttashobolwa
shost anadeal na watu wa mataifa mengine tu mhhh

Watanzania Cheka tu lakini sio kufanya nao biashara ni watu wanaroho mbaya.maendeleo ya mtu ni kilio cha mtu.wameharibia maisha ya watu haswa wa USA hapa.I don't fool around with them at all.siendagi Kwao na siwataki Kwangu .wazushi wambea ,nakaa Kwenye neighborhood they can't afford even the town .ni marakumi wabongo walio Tanzania wametulia.so my blog ni ya fashion yes nauza designer clothes and shoes .kwenye pesa si deal na wabongo .yaani nilikuwa nauzaga zamani simu tanzania ah watu wakaanza kukopa mwisho wa mwezi ukifika hawaleti.well I was done with them
 
Last edited by a moderator:
Hongera naona awamu hii mmeo atakununulia sayari..mpe hi mtoto na babaake
 
Wewe ni mwongo.

Baba yako umesema ni Mmarekani mweupe, lakini English yako ni virtually zero.

Halafu usianze kabisa kutaja Kipolish au Kifaransa, maana ni ushahidi zaidi kwamba upo confused na background ya mzazi wako wa kiume, na inawezekana kabisa umezaliwa na malaya tu na baba yako "Mzungu" hujui katoka wapi.

Kitu ambacho ni wazi, ni kwamba unazungumza lugha moja tu, ambayo ni Kiswahili, tena cha level ya darasa la 3 au 4 shule ya msingi.
Your jelousy of rich people .kabebe ndoa ya maji .baba angu mmarekani yes alikuwa na mzazi wengi Egypt baba angu professor my mom alikuwa mwanafunzi chuoni hapo wakapendana na nikazaliwa binti mzuriiiiiii Natalia .napendwaje na mume wangu na ninampendaje .Niko nabahati (mungu alivoniumba alinipa pumzi akasema natalia hutopata shida na sitopata shida ng'ooo) nawaonea huruma watu Kama nyie wenye chuki na watu msiowajua .inaelekea your mind kutwa unawaza destruction .its not my fault una negative mind .Sorry you had difficult child hood .its not my fault blame God for poor parents.
 
Kama ndiye yeye basi Natalia ni Mzuri Bana.
Hongera kwa yote Mamii, Na Mungu akubariki pamoja na kiumbe chako kitarajiwa.
10427_137350446511_536506511_3060053_1946980_n.jpg
 
You are a racist get a life

Natalia kama nilivyosema awali, una matatizo ya kujichanganya ama kuchanganya vitu. Ni kitu gani kinachokufanya uhisi kuwa mimi ni racist? Sijamtukana mumeo ila unahisi nimemtukana, inakuja kichwani kweli hii? Naona anayebidi ku get a life is YOU, tena you need to get uelewa wa elimu dunia.
 
mh! kaazi kwelikweli, hongera sana, ila du sipati picha mimba ya kwanza uliitangaza vip.
 
Watanzania Cheka tu lakini sio kufanya nao biashara ni watu wanaroho mbaya.maendeleo ya mtu ni kilio cha mtu.wameharibia maisha ya watu haswa wa USA hapa.I don't fool around with them at all.siendagi Kwao na siwataki Kwangu .wazushi wambea ,nakaa Kwenye neighborhood they can't afford even the town .ni marakumi wabongo walio Tanzania wametulia.so my blog ni ya fashion yes nauza designer clothes and shoes .kwenye pesa si deal na wabongo .yaani nilikuwa nauzaga zamani simu tanzania ah watu wakaanza kukopa mwisho wa mwezi ukifika hawaleti.well I was done with them

sijapata kuona mtz unaochukia watz wenzako kama wewe huko uliko
wakat weus wakionana haijalishi mtz au mkenya wanachangamkiana??
I swear una matatizo wewe.
Let me give you 2 examples.Mama mara ya kwanza kwenda huko ulipo alichelewa ndege na treni mwenyeji wake akaondoka ila kwa vile mwenyeji wake mtz anaishi na watu vizuri ile anashuka eapoti tu akaulizia treni zilipo akapanda bahat akawa anakumbuka kituo anashuka kituoni kuangaza angaza akaona ngozi nyeusi akamfata na kumchangamkia akamuuliza yule mtu anamjua mwenyeji vizuri sana mdada wa watu akampeleka mpaka nyumbani kwake.Sasa imagiine mwenyeji angekuwa na majivuno kama weye ingekuwaje??
Mfano mwingine alipoenda scandinavian country akasikia mji aliopo kuna watz wanakuja kwa ajili ya kufundisha kiswahili.Mama wa watu akachukua gari akajaza mafuta mpaka eapoti kuwapokea watz wenzake na akawakaribisha kwake na mmoja wao akaishi nae hao walikuwa malecturer wa udsm.
Natamani watz mnaoishi huko muwe na moyo wa kupendana kama huu.
Siyo kukalia chuki za *******,kusemana kwenye mablog kuringishiana mabwana wa kizungu.
I am 100% wewe Natalia umekulia kwenye umaskini mtu aliekuta hela kwenye familia na mwenye hela hana mashauzi kama yako.yani wewe bogus kabisa.zero sijui hata hiyo familia unaiendeshaje na uelewa wako mdogo sana.
Yaani unanichefua sana unavyowachukia watz wenzako na kuwatukuza wazungu.
Na hiyo laana itakutafuna.
Mshenzi wewe watz wanasaidiana wanahifadhiana nchi za watu,unapoiona ngozi nyeusi unafurahi sana kwani unahisi upo na familia yako.
Wewe kukalia kuongea uporoto tu humu huna haya gubegube mkubwa.
Yaani leo umenikera mpaka basi.
Thankx TANMO kwa picha uliyoiweka.
Na huyo mzungu ataishia kukula 0713 eti anakuspoil kwa taarifa yako hakuna watu wanaojua bajeti na hawana matumizi ya kijinga kama hao wazungu.

Natamani nikuzabe makofi.
 
Last edited by a moderator:
Kama ndiye yeye basi Natalia ni Mzuri Bana.
Hongera kwa yote Mamii, Na Mungu akubariki pamoja na kiumbe chako kitarajiwa.
View attachment 74930

hana uzuri wowote sura ndefu utafikiri mkate wa wapemba wa kulia supu.
Hapo alikuwa hajazaa ziwa hilo limeanguka imagine sasa amezaa
uje kwenye pua sasa.
Hata kitako tu hana.
Amepigwa pasi.
Nguo aliyovaa very cheap eti mwenyewe kajipamba na pozi kaweka mfyuuuuuu

Miguu utafikiri mchimba kaburi
 
Aisee!!!
 
Mnahangaika na picha Za watu huyo sio Mimi.
 
Back
Top Bottom