Otorong'ong'o
Platinum Member
- Aug 17, 2011
- 39,534
- 30,086
Hongera sana...
Your jelousy of rich people .kabebe ndoa ya maji .baba angu mmarekani yes alikuwa na mzazi wengi Egypt baba angu professor my mom alikuwa mwanafunzi chuoni hapo wakapendana na nikazaliwa binti mzuriiiiiii Natalia .napendwaje na mume wangu na ninampendaje .Niko nabahati (mungu alivoniumba alinipa pumzi akasema natalia hutopata shida na sitopata shida ng'ooo) nawaonea huruma watu Kama nyie wenye chuki na watu msiowajua .inaelekea your mind kutwa unawaza destruction .its not my fault una negative mind .Sorry you had difficult child hood .its not my fault blame God for poor parents.