Mkereketwa_Huyu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 10,586
- 7,976
Mnachukia mzungu kiasi hicho that is racism
Mbona sichukii wazungu, kwani vipi?
Mnachukia mzungu kiasi hicho that is racism
Jamani mungu asifiwe mashallah Nina tegemea mtoto nimefurahi Vipi .I will be a mother of 4 children
Jamani mungu asifiwe mashallah Nina tegemea mtoto nimefurahi Vipi .I will be a mother of 4 children
Hongera sana mutoto ya fisadi/mutoto ya muzungu!
Sipati picha kitumboo! Vipi kule umeweka pics nikacheck?
Hongera sana Natalia
ila siwezi kuacha kukutania kidogo rafiki, umezaa kama unaishi mbagala rangi tatu!
ngoja niwaite wanafunzi wenzangu na walimu wangu waje kutoa pongezi hapa
mwaJ andaa bembea ya mtoto
Kaizer andaa toys
mwl snowhite andaa pipi ya mtoto
Mwlgfsonwin andaa pads
alaf BADILI TABIA we ndio tuta kutuma New yok ukamuangalie mtoto!
familia siiwekagi Kwenye blog yangu.keep my blog private sitaki wabongo na haters Kule
Hongera sana mutoto ya fisadi/mutoto ya muzungu!
Sipati picha kitumboo! Vipi kule umeweka pics nikacheck?
Hongera sana Natalia
ila siwezi kuacha kukutania kidogo rafiki, umezaa kama unaishi mbagala rangi tatu!
ngoja niwaite wanafunzi wenzangu na walimu wangu waje kutoa pongezi hapa
mwaJ andaa bembea ya mtoto
Kaizer andaa toys
mwl snowhite andaa pipi ya mtoto
Mwlgfsonwin andaa pads
alaf BADILI TABIA we ndio tuta kutuma New yok ukamuangalie mtoto!
blogu yako yaitwaje?
mpunga tuje kuula lini? Twataka biriani na sio wali mweupejamani mungu asifiwe mashallah nina tegemea mtoto nimefurahi vipi .i will be a mother of 4 children
mpunga tuje kuula lini? Twataka biriani na sio wali mweupe
mmh! mama wa watoto 3 bado tu unatangaza mimba??