Ndoa yangu imezaa tunda la nne

Natalia kama nilivyosema awali, una matatizo ya kujichanganya ama kuchanganya vitu. Ni kitu gani kinachokufanya uhisi kuwa mimi ni racist? Sijamtukana mumeo ila unahisi nimemtukana, inakuja kichwani kweli hii? Naona anayebidi ku get a life is YOU, tena you need to get uelewa wa elimu dunia.
I'm sorry for that,I didn't mean to hurt your feelings.sorry Nina mimba I got some attitude.Hug
 
mh! kaazi kwelikweli, hongera sana, ila du sipati picha mimba ya kwanza uliitangaza vip.

Mimba ya kwanza Eeh fireworks kwa sana na kumuona mwanangu Lyn ilikuwa Lazima physical check up na flue shot.walinikomajeee
 
sijapata kuona mtz unaochukia watz wenzako kama wewe huko uliko
wakat weus wakionana haijalishi mtz au mkenya wanachangamkiana??
I swear una matatizo wewe.
Let me give you 2 examples.Mama mara ya kwanza kwenda huko ulipo alichelewa ndege na treni mwenyeji wake akaondoka ila kwa vile mwenyeji wake mtz anaishi na watu vizuri ile anashuka eapoti tu akaulizia treni zilipo akapanda bahat akawa anakumbuka kituo anashuka kituoni kuangaza angaza akaona ngozi nyeusi akamfata na kumchangamkia akamuuliza yule mtu anamjua mwenyeji vizuri sana mdada wa watu akampeleka mpaka nyumbani kwake.Sasa imagiine mwenyeji angekuwa na majivuno kama weye ingekuwaje??
Mfano mwingine alipoenda scandinavian country akasikia mji aliopo kuna watz wanakuja kwa ajili ya kufundisha kiswahili.Mama wa watu akachukua gari akajaza mafuta mpaka eapoti kuwapokea watz wenzake na akawakaribisha kwake na mmoja wao akaishi nae hao walikuwa malecturer wa udsm.
Natamani watz mnaoishi huko muwe na moyo wa kupendana kama huu.
Siyo kukalia chuki za kisenge,kusemana kwenye mablog kuringishiana mabwana wa kizungu.
I am 100% wewe Natalia umekulia kwenye umaskini mtu aliekuta hela kwenye familia na mwenye hela hana mashauzi kama yako.yani wewe bogus kabisa.zero sijui hata hiyo familia unaiendeshaje na uelewa wako mdogo sana.
Yaani unanichefua sana unavyowachukia watz wenzako na kuwatukuza wazungu.
Na hiyo laana itakutafuna.
Mshenzi wewe watz wanasaidiana wanahifadhiana nchi za watu,unapoiona ngozi nyeusi unafurahi sana kwani unahisi upo na familia yako.
Wewe kukalia kuongea uporoto tu humu huna haya gubegube mkubwa.
Yaani leo umenikera mpaka basi.
Thankx TANMO kwa picha uliyoiweka.
Na huyo mzungu ataishia kukula 0713 eti anakuspoil kwa taarifa yako hakuna watu wanaojua bajeti na hawana matumizi ya kijinga kama hao wazungu.

Natamani nikuzabe makofi.

Your wrong by the way I'm hiring for a dish washer
 
Last edited by a moderator:
Hongera sana bibie, Mungu akulinde na kukupigania ukilete kiumbehicho duniani salama u salmini.
 
227379_10150190104391865_570381864_6960531_5680580_n.jpg


Lazima utakuwa kati ya hao wawili.

Kama ni yule wa kulia, basi blogu lako ni hili

TANZANITE GLAMOUR
 
My blog is for rich people only.

hivi wewe ukifa utazikwa angani wewe?hta wewe ni maskini ndio sababu ukifa unaondoka na empty hand haahahahahah,My blog is for rich people only.hahahahahah
 
huwa unasikiliza hata matangazo ya uzazi wa mpango barabarani " incase hapo home hakuna redio ama TV?
 
Eeh bwana eeh! Hutujui lakini, au matajiri hawapatikani JF?

pimbi @work waswahili walisema maskini akipata **** hulia mbwata **** la Natalia linalia mbwata sasa hivi hahaahahahah
 
Last edited by a moderator:
wakuu,hv nae huyu natalia pia ni great thinker?nisamehewe ka na mm tu sijamzoea.namuombea mungu hao watoto anaofyatua ka b@t@ wasirithi hayo 'm@kam@si' kichwan mwake. nitangulie mwnyw kusema Amen!
 
Watanzania Cheka tu lakini sio kufanya nao biashara ni watu wanaroho mbaya.maendeleo ya mtu ni kilio cha mtu.wameharibia maisha ya watu haswa wa USA hapa.I don't fool around with them at all.siendagi Kwao na siwataki Kwangu .wazushi wambea ,nakaa Kwenye neighborhood they can't afford even the town .ni marakumi wabongo walio Tanzania wametulia.so my blog ni ya fashion yes nauza designer clothes and shoes .kwenye pesa si deal na wabongo .yaani nilikuwa nauzaga zamani simu tanzania ah watu wakaanza kukopa mwisho wa mwezi ukifika hawaleti.well I was done with them

alihapo kwenye blue ni english gani hiyo natalia?
 
Your wrong by the way I'm hiring for a dish washer

Mi hapa sijaelewa. Umemaanisha unaajiri waosha vyombo au we mwenyewe ndo umeajiriwa kuosha vyombo?? Unisamehe lakini maana na mimi nahitaji hiyo ajira kama vp nifanyie mpango.
 
Back
Top Bottom