Ndoa yangu imezaa tunda la nne


Suprise

Suprise

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2012
Messages
2,697
Points
1,195
Suprise

Suprise

JF-Expert Member
Joined Nov 2, 2012
2,697 1,195
duuh kumbe wazungu nao wanazaa watoto zaidi ya wa.................................................................................
 
Evelyn Salt

Evelyn Salt

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2012
Messages
48,323
Points
2,000
Evelyn Salt

Evelyn Salt

JF-Expert Member
Joined Jan 5, 2012
48,323 2,000
Hongera sana...!!!
 
farkhina

farkhina

Platinum Member
Joined
Mar 14, 2012
Messages
14,491
Points
2,000
farkhina

farkhina

Platinum Member
Joined Mar 14, 2012
14,491 2,000
Hongera mama

Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums
 
N

nsee a muro

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2012
Messages
241
Points
0
Age
40
N

nsee a muro

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2012
241 0
mmh! mama wa watoto 3 bado tu unatangaza mimba??
 
Jodoki Kalimilo

Jodoki Kalimilo

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2012
Messages
10,072
Points
2,000
Jodoki Kalimilo

Jodoki Kalimilo

JF-Expert Member
Joined Feb 12, 2012
10,072 2,000
Hapo bado watoto 2, family size inapendeza kuwa watoto 6 maana kila mtoto anakuja na ridhiki yake
 
N

nsee a muro

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2012
Messages
241
Points
0
Age
40
N

nsee a muro

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2012
241 0
chezeyya mudhungu mweuthi wewe
ina maana anatangaza mimba hadharani? je siku akiumwa uchungu si atatuwekea picha hapa na akizaa basi huyo mtoto atabandikwa kwenye mbao za matangazo?

wanawake mna kazi
 
BADILI TABIA

BADILI TABIA

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2011
Messages
31,004
Points
2,000
BADILI TABIA

BADILI TABIA

JF-Expert Member
Joined Jun 13, 2011
31,004 2,000
hongera muke ya muzungu
 
B

Bibigula

Senior Member
Joined
Jul 15, 2012
Messages
142
Points
195
B

Bibigula

Senior Member
Joined Jul 15, 2012
142 195
Mungu akutunzie mwaya mana mimba mana mimba za sikuhizi mmh
 
N

Natalia

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2011
Messages
3,664
Points
1,250
N

Natalia

JF-Expert Member
Joined Jul 3, 2011
3,664 1,250
duuh kumbe wazungu nao wanazaa watoto zaidi ya wa.................................................................................
Mwanaume wangu anataka 5 .huyu wa nne baada ya Miaka 2 watano.hii christmas ni zawadi tosha
 
N

Natalia

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2011
Messages
3,664
Points
1,250
N

Natalia

JF-Expert Member
Joined Jul 3, 2011
3,664 1,250
ina maana anatangaza mimba hadharani? je siku akiumwa uchungu si atatuwekea picha hapa na akizaa basi huyo mtoto atabandikwa kwenye mbao za matangazo?

wanawake mna kazi
I share with my friends hujui labda kuna malaika na mungu Kati ya wana jamii forum
 
N

Natalia

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2011
Messages
3,664
Points
1,250
N

Natalia

JF-Expert Member
Joined Jul 3, 2011
3,664 1,250
Umepewa na mmeo lakini?
Wewe hamna mwanaume anaeweza kuzaa na Mimi
Zaidi ya dr Rutherford .mwanaume Ana stahili mchochomeo na kupendwa.
My hubby heals me
 
Ruttashobolwa

Ruttashobolwa

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2012
Messages
46,078
Points
2,000
Ruttashobolwa

Ruttashobolwa

JF-Expert Member
Joined Feb 22, 2012
46,078 2,000
Hongera sana mutoto ya fisadi/mutoto ya muzungu!
Sipati picha kitumboo! Vipi kule umeweka pics nikacheck?
Hongera sana Natalia
ila siwezi kuacha kukutania kidogo rafiki, umezaa kama unaishi mbagala rangi tatu!

ngoja niwaite wanafunzi wenzangu na walimu wangu waje kutoa pongezi hapa
mwaJ andaa bembea ya mtoto
Kaizer andaa toys
mwl snowhite andaa pipi ya mtoto
Mwlgfsonwin andaa pads

alaf BADILI TABIA we ndio tuta kutuma New yok ukamuangalie mtoto!

Jamani mungu asifiwe mashallah Nina tegemea mtoto nimefurahi Vipi .I will be a mother of 4 children
 
Last edited by a moderator:
N

Natalia

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2011
Messages
3,664
Points
1,250
N

Natalia

JF-Expert Member
Joined Jul 3, 2011
3,664 1,250
Hongera sana mutoto ya fisadi/mutoto ya muzungu!
Sipati picha kitumboo! Vipi kule umeweka pics nikacheck?
Hongera sana Natalia
ila siwezi kuacha kukutania kidogo rafiki, umezaa kama unaishi mbagala rangi tatu!

ngoja niwaite wanafunzi wenzangu na walimu wangu waje kutoa pongezi hapa
mwaJ andaa bembea ya mtoto
Kaizer
mwl snowhite andaa pipi ya mtoto
gfsonwin andaa pads

alaf BADILI TABIA we ndio tuta kutuma New yok ukamuangalie mtoto!
familia siiwekagi Kwenye blog yangu.keep my blog private sitaki wabongo na haters Kule
 
Last edited by a moderator:

Forum statistics

Threads 1,285,566
Members 494,675
Posts 30,866,915
Top