TheCombination
JF-Expert Member
- May 21, 2021
- 370
- 727
Hata kama sina 10 mimi mpke hawez kuniendesha kihivyo aisee..Haita itòkee never asilani..No way.....
Ili akopee hiyo nyumba signature ya mkewe inahitajika, unahisi mkewe atasahini??Mke wako mjinga yaani kahakikisha kaua biashara yako ili awe na dharau hivyo daah
Badala ya kuiuza jaribu kuitumia kukopea sehemu yoyote kwa pesa yenye dhamani sawa na hio nyumba ili hata ukishindwa kurudisha mkopo watakuuzia wao bila mkeo kuleta tafrani. Kwa sasa huwezi kuiuza atakupa matatizo makubwa
Swali zuriSasa mkuu ulikuwa home all day wife karudi unamuuliza kuhusu Msosi? Vipi home hakukuwa na kitu chochote hata cha kuchemsha ?
Ili akopee hiyo nyumba signature ya mkewe inahitajika, unahisi mkewe atasahini??
Ni nyumba wanayoishi usisahauKama ameandikisha majina ya wote hapo sawa ila kama ina jina lake pekee yeye ndo mwenye mali so anakopa vizuri tu
Ni nyumba wanayoishi usisahau
Hapo kwenye kuuza anawez tumia nguvu akauza mkuu,, ila kwenye kukopa procedure ziko strict zaid anawez akaambiwa hiyo nyumba kwa Sababu ndo wanayoishi haiwezekan kuwekwa dhamana ama ikahitajika signature ya huyo mke wake.Mkuu soma uzi vizuri mwenyewe ana wazo la kuuza nyumba afanye biashara so ana uhakika wa kuweza kuiuza nyumba ndo maana nikatoa ushauri akopee badala ya kuiuza