dudus
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 24,859
- 56,849
Diana aliolewa tu katika nyumba ya kifalme sawa sawa na ilivyo kwa Prince Philip ambaye alioa katika nyumba hiyo; actually sio mwoaji wa kawaida bali alimwoa Malkia mwenyewe na ndio maana hakumbeba kupeleka kwao bali ilibidi yeye (mume) "ahamie".Nijibu kuhusu hilo swali la mwisho kuhusu Diana