Ndoa ya Malkia Elizabeth imefikisha miaka 70 leo

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
58,639
Reaction score
220,411
_98767234_pa-4472984.jpg

upload_2017-11-20_18-28-35.jpeg
blogs-aisle-say-queen-elizabeth-wedding-2.jpg

Ilifungwa tarehe 20. November 1947.

images

Picha ya kumbukumbu ya miaka 70 ya ndoa yao leo.
 
Aisee!handsome boy Prince Phillip amebaki makinikia sasa,hayachenjuliki.
Happy anniversary kwao Mungu awajaalie wagonge diamond jubilee.
 
Leo bibi akiondoka nani atakuwa next kwa throne? Wajuzi plz nieleweshen
 
_98767234_pa-4472984.jpg

View attachment 634455
blogs-aisle-say-queen-elizabeth-wedding-2.jpg

Ilifungwa tarehe 20. November 1947.

images

Picha ya kumbukumbu ya miaka 70 ya ndoa yao leo.
ukiona ndoa zimefika mda mrefu basi tambua watu katika nafsi zao walikubali na kulizia kuishi pamoja kwa jambo lolote.sio wa sasa imekuwa kama kutaka kushika iphone na wewe uonekane tu kwa mda
 
Hawa wana kila kitu
Na yule princess Diana ndio alikua mtoto wa hawa au??
 
wana kila kitu kipi,hii ndio inafanya ndoa kuvunjika,ndoa kudumu sio kuwa tajiri hata masikini naye.
vijana au watu wa sikuizi uona kuwa na kila kitu ndo ndoa yako hitadumu sio kweli,unaweza kuwa wa kawaida,fukara,tajiri au kilema kama mkiliziana mtakaa miaka mingi mpaka kifo kitakapo wa kuta.
 
Nijibu kuhusu hilo swali la mwisho kuhusu Diana
 
Back
Top Bottom