Ndoa ya Malkia Elizabeth imefikisha miaka 70 leo

Ndoa ya Malkia Elizabeth imefikisha miaka 70 leo

They say been born with a silver spoon in your mouth.
Not only with a silver spoon in his mouth but also with a bullet directed to his forehead! Unafikiri taifa likiingia vitani, kwa mfano Kim akielekeza makombora yake UK, target namba moja ni nani? Ni Buckingham Palace; wananchi wakigoma mitaani huko hakuna mikate madukani target ni nani? Ni familia ya kifalme. With more powers comes more responsibilities!
 
Waingereza ni wajanja, serikali inaongozwa na waziri mkuu, malikia ni final say tu.

Lakini Uingereza ni moja ya monarchs zenye nguvu duniani na wanapenda iwe hivyo kutofautisha na nchi nyingine kama Marekani.

Kim anaweza kuwapiga kwa kuwa kumpa wazungu.
 
Actually hii imeweka record; katika kumbukumbu za Jumba la Kifalme hakuna kumbukumbu zozote za vizazi vinne vya urithi wa kiti cha kifalme kukutana kwa pamoja; yaani kuwa hai kwa wakati mmoja kama ilivyo sasa kwa Queen => Prince Charles => Prince William => Prince George. Taz. picha.

View attachment 634746
Ivi kwanini Prince Harry hayupi hapo wakati ndiye anayemfuatia prince willam?? Wajuzi nijuzeni
 
Ivi kwanini Prince Harry hayupi hapo wakati ndiye anayemfuatia prince willam?? Wajuzi nijuzeni
Brother; hao unaowaona hapo kwenye picha wana hadhi ya juu zaidi ya Prince wa kawaida; kila mmoja hapo ni CROWN Prince; yaani ni mfalme mtarajiwa pale aliyemtangulia atakapoacha kiti; they are potential kings na haiwezekani kukawa na zaidi ya crown prince/princess zaidi ya mmoja katika level ileile moja kwa kuwa mfalme/malkia ni mmoja tu. Wengine nje ya CROWN Prince ni prince/princess wa kawaida kama alivyo Harry ambao hawana nafasi ya ufalme.
 
_98767234_pa-4472984.jpg

View attachment 634455
blogs-aisle-say-queen-elizabeth-wedding-2.jpg

Ilifungwa tarehe 20. November 1947.

images

Picha ya kumbukumbu ya miaka 70 ya ndoa yao leo.
Hivi bado wanavunja chaga hawa?
 
natilia shaka viungo vya miili yao vilishabadilishwa kwa kupandikizwa viungo vya vijana kama vile ilivyofanyika kwenye movie ya Get Out
 
Yule alikuwa mkwe wao mke wa zamani wa prince Charles mtoto mkubwa wa hawa vizee ambaye alitarajiwa kurithi kiti.Ila utamu wa Pamela Parker hauku muacha salama taji linaenda kwa William mjukuu mtoto wa kwanza wa Charles na Diana unaye muulizia
Pamela parker = Camilla Parker Bowles
 
Diana si aliuawa?kumbe alikua ashazaa mtoto na charles!!!
Mmmh shoga angu uko nyuma asee!

Diana kaacha watoto wawili William ( William kaoa na ana watoto wawili huku akiexpect third child from his sweetheart preg wife) na Harry wakubwa tu now!

Huyo Harry ndo habaree ya mjini coz anataka kumuoa Meghan toto la kiafrica na ufalme hautaki, while moyo wa Harry umedondokea hapo....
 
Ila mam kubwa. Ni mvumilivu kweli.
Huyo mzee kichwani chenga
 
Back
Top Bottom