Ndoa ya kilokole, jamani mnafeli wapi wapendwa?

Bro kuna watu wameokoka wakiwa wameoana jamaaa
Sijaongelea wanandoa ambao ni walokole kabla hawajaona
Plz continue to read between the lines son
 
Wasio walokole wamefanya hayo yote pengine na zaidi lakini bado waume zao wamechepuka..

Achana na walokole, ndoa zao hazikuhusu, Mungu wanaye mwomba ndio analinda ndoa zao.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeona eee tena wengi walio makungwi hawana hata ndoa wamezikimbia, ila walokole wanashikiwa mabango ya ndoa, mwingine kauliwa huko kisa mme alimkimbia mwaka mzima karudi mke kamwambia tukacheck afya zetu kamuua

Naona Mlokole nimekugusa
Hongera Kwa kuumia Ila ukweli umeupata

Nawaomba plz Kwa jina la Yesu Kristo alie jai, nyie walokole pamoja na wewe mkereketwa WA walokole au PR WA walokolea Fanyeni KAZI kama walokole wa kwenye Biblia, acheni uvivu jamaa mnaboa na mnamhuzunisha Sana Mungu na kumfurahisha shetani
hatukumsoma Esther kwenye Biblia akiwa mvivu kitandani, lakini alimkatia mauno mfalme ahasuero mpaka akamfanya malkia Kwa Neema ya Mungu

Yesu Kristo alikuwa fundi seremala

Paulo alikuwa fundi cherahani, alishona maturubai na tents

Na nikisema uvivu Ninamaanisha kwenye sekta zote za maisha sio kwenye Unyumba Tu

Umeskia na wewe Ulweso ?!

Cc: mahondaw Smart911 KENZY Extrovert yuzazifu
 
Umeona eee tena wengi walio makungwi hawana hata ndoa wamezikimbia, ila walokole wanashikiwa mabango ya ndoa, mwingine kauliwa huko kisa mme alimkimbia mwaka mzima karudi mke kamwambia tukacheck afya zetu kamuua

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna watu Wana shida ya kuolewa kama walokole?!
Kuna watu Wana shida na ajira kama walokole
Kuna watu wanateseka kwenye ndoa sahivi kama walokole?!

Walokole ilikuwa wakati wetu bwana Miaka ya 70 mpaka 80, ukiona ndoa ya Mlokole unatamani uipate muda huo huo, ilikuwa Raha, Amani, furaha, wakweli, wanaupendo

Sio sasa hivi uncle, Kwanza hamna MTU sahivi ana hamu na walokole Kwa taarifa yako, basi Tu hujui watu walivyowachoka

Cc: Smart911 KENZY Pablo mahondaw Daudi Mchambuzi yuzazifu
 
Wanakua walokole baada ya shida kuwakaba koo. Nje mlokoke roho imejaa uchu
 
We machepele usitutukania walokole wetu mi ninae mmoja anaitwa Saint Anne anapigilia ile mishono ya yesu ni mwamba๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Wanakua walokole baada ya shida kuwakaba koo. Nje mlokoke roho imejaa uchu
Eti uchu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Jamani walokole ilikuwa zamani, labda Kwa kuwa nyie mmezaliwa Miaka ya 80
Miaka yetu ya 60 mpaka 80 ukikutana na Mlokole kama umekutana na Malika WA Mbinguni, akikuombea unapona Mazima
Akikubariki unabarikiwa
Hawakuwa na tamaa kabisa, walikuwa na roho Safi, wanatembea na nguvu za Mungu, akipita karibu yako kama Una midhambi unaanza kutetemeka Kwanza Kwa hofu

Sio hawa WA skuhizi mpaka wakusukume uanguke ndo wanajiita wanaupako๐Ÿƒ๐Ÿƒ๐Ÿƒ๐Ÿƒ
 
We machepele usitutukania walokole wetu mi ninae mmoja anaitwa Saint Anne anapigilia ile mishono ya yesu ni mwamba๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Natamani ungezaliwa Miaka ya 50 au 40 ungewaona walokole WA zAmani walivyokuwa wakweli kuanzia ndani ya roho zao mpaka nje kwenye matendo
Yani hata Mungu hajui awafanyaje hawa WA sasa jamani, wamezidisha mapicha na usanii na uongo Sana,
Me Kila siku namwambiaga Yesu arudi Tu, maana imeshakuwa too much
Watu wanaacha ulokole sahivi wanarudi kwenye dini zao maana wamechoka mapicha
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ