Ndoa ya kilokole, jamani mnafeli wapi wapendwa?

Yaani nimecheka Mimi.
Hivi haya magauni ya Yesu Ni mwamba ndio yapi jamani?
SI ajabu na Mimi ninayo mengi tu ila ni vile sijui jina lake[emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app

yaaani na mi niko nawaza sjui alimaanisha haya madera [emoji23][emoji23][emoji23] sjui ni yale magauni ya marinda sielewi alikua anamaanisha nini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Me nimeongelea wanandoa waliookoka sio wasioolewa au kuoa
Plz read between the lines basi mama
 
Ok
 
ahahaha imekaa poa sana....Ule ndo mchezo pekee aloutengeneza Mungu mwenyewe Kwa Mwanadamu sasa lazima Muucheze Vyema bhana Sio muda wa chakula Umevaa gauni gumu kama Unaenda kuhubiri aah bwana

Shamba Boi
 
Nlishawaambia walokole wapi biblia imesema usikate uno? Wapi imesema style gani itumike kudinyana? Wapi imesema denda marufuku? Msisingizie biblia bana raha ya mapenzi uyajue uyapende na uyafanye ipasavyo.
 
akakuwowa!uzi tayari
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…