Ndoa ya kilokole, jamani mnafeli wapi wapendwa?

Kuna dada ana chnl yake inaitwa Tamtam huwaga anatoa bonus tunaona hata mapaja, fanya kama yeye TCRA hawatakusumbua.
Aisee
Me nimeokoka naenda Mbinguni,
Labda Mungu ahairishe kuwa hatuendi Mbinguni nitaonyesha 😂😂😂
 
Mlokole anatakiwa kuanza mautundu jikoni sijui bafuni kabla ya kiolewa?
Kwanza mkichumbiana si amtakiwi kukaribiana?
Mautundu mengi au viungo kungwi wanaume huja kukulalamikia shoga yangu?
Halafu ndoa hainaga fundi kwakweli, ni kushukuru Mungu ukimpata chaguo lako/lake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

[emoji38] utabinukia nini hicho mpaka mbinguni?
 
Upo na mkeo nyumbani halafu nguo anazo vaa ni Yale magauni marefu wana yaita " Yesu ni Mwamba"
HELL NOOOOO!!!!

Uzuri wa kuwa na MKE nyumbani awe nusu uchi nusu uchi

Magauni peleka Kwa Baba ako mzazi
Yesu ni mwamba[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119]

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…