Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 18,204
- 17,560
- Thread starter
-
- #221
Hahahahaha mapambio ππππUnajua wengi wanaenda kwenye ulokole baada ya kupigika huko duniani, lakini walioanzia humo hawana shida hizo wewe fanya utafiti utasikia nimezunguka sana kwa wataalamu mara kwa babu sasa ulokole na wataalamu wapi na wapi, unajua hata waoaji wakilokole wanachumbia wanaofahamiana nao humo humo sio umetoka huko eti unakuja kutafuta mme kwa walokole utaishia kuimba mapambio
Sent using Jamii Forums mobile app
We nawe umeokoka?! π
Hizo kifungu haziendani na Uzi huu we mtotoWewe ni mfundaji kama waswahili wengine tu. Sasa unasema msimpe shetani nafasi, wakati hujui hata misingi ya ndoa ya kikristo. Unachofundisha hakina msingi wa Kristo wala hakukufanyi ufurahie tendo la ndoa, ni upofu tu wa kiroho. Unahitaji kumpokea Kristo maishani mwako.
2 Wakorintho 4
Β―Β―Β―Β―Β―Β―Β―Β―Β―Β―
Β³ Lakini ikiwa injili yetu imesitirika, imesitirika kwa hao wanaopotea;
β΄ ambao ndani yao mungu wa dunia hii amepofusha fikira zao wasioamini, isiwazukie nuru ya injili ya utukufu wake Kristo aliye sura yake Mungu.
Amina.
Sent from my SM-A720F using Tapatalk
Hahahaha bwana usiwaambie wenzio habari ya sodoma na gomora NI dhambi, sio Kwa walokole Tu hata sie wataenda dhambiAu mnaingiliana nyuma?
.... and the list goes on.
Sent from my SM-A720F using Tapatalk
Sawa mpendwaLeta mstari unaosema estther alikua ana onyesha mapaja kama hayo yako.
Usilazimishe maisha yako yawe ya wengine.. kama wanafurahia ndoa zao wewe inakuhusu nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mngekuwa hamna muda na ishu zangu wewe usingekuwa hapa unajidhalilisha na kucomment vitu ambavyo vipo obvious na ulimwengu wote unawafahamu fikaπππMbona unasakama sana walokole..? Shida yako nini? Si waache wateseke? Mbona wao hawana muda na issue zako?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao waongo sasa, mbona wachungaji wenyewe wanakula kondoo wao?Wao wanamwambia hata uvunguni Kuongea maneno machafu ya kusimamisha dude NI dhambi, maana huko uvunguni Mungu anakusikia
Good, na Mungu ajibu maombi yako ili nikuone unavyoungua kwenye tanuru la Moto kama Kuni.
Mwombe Mungu akupe Neema ya kuwa na akili ya ziada
WiFi Mungu anakuoooona
ππWanashukuru wapi?!
Woi labda kanisani kwao ili sadaka zitolewe lakini ukweli WA Mungu angeshuka Mungu akaweka bayana ukweli WA Mambo, ungewapigia makofi wenye dhambi wenye ndoa zao
Me nakwambia walokole tunakutana NAO huku kwenye misele, disko, 5stars hotel wametoka kudunya mademu WA watu tena vitoto vya Miaka 25 mpaka 26, Ila MKE hajui anamshukuru Mungu Kwa ajili ya mumewe na kujitamba mume wangu mzuri, ananipenda, hachepuki, mwisho wa siku wanakuja kuletewa watoto wa nje washakuwa wakuubwa wanasoma vyuo vikuu
We anti embu ongea practicability na sio theory, utachekwa na Jamii
Cc: Bujibuji Smart911 KENZY kabanga
ππMngekuwa hamna muda na ishu zangu wewe usingekuwa hapa unajidhalilisha na kucomment vitu ambavyo vipo obvious na ulimwengu wote unawafahamu fikaπππ
Maskini, uwanja WA shetani umenoga eee?! Unaona usogee sogee labda utahubiri ππππππ
Jihubirie kwanza wewe, kabla haujaondoa boriti ya hicho langu, hakikisha kibanzi chako kimekaa Sawa anti
kabanga Bujibuji KENZY Smart911
Wanashukuru wapi?!
Woi labda kanisani kwao ili sadaka zitolewe lakini ukweli WA Mungu angeshuka Mungu akaweka bayana ukweli WA Mambo, ungewapigia makofi wenye dhambi wenye ndoa zao
Me nakwambia walokole tunakutana NAO huku kwenye misele, disko, 5stars hotel wametoka kudunya mademu WA watu tena vitoto vya Miaka 25 mpaka 26, Ila MKE hajui anamshukuru Mungu Kwa ajili ya mumewe na kujitamba mume wangu mzuri, ananipenda, hachepuki, mwisho wa siku wanakuja kuletewa watoto wa nje washakuwa wakuubwa wanasoma vyuo vikuu
We anti embu ongea practicability na sio theory, utachekwa na Jamii
Cc: Bujibuji Smart911 KENZY kabanga
NI sheedah
Mume wangu anafaidi kuliko maelezo ππππ
Hizo lugha za mlima wa moto ni hatari kweli kweli. Anyway, nilikuwa najaribu kuona ni aina gani ya mtu najadili naye. NitarudiHizo kifungu haziendani na Uzi huu we mtoto
Embu naomba tafuta maandiko yaku-back up huu Uzi, usijilipue kama MTU aliechanganyikiwa
Unataka kuisaidia Jamii au kuokosoa Lete risiti zilizoshiba tuchuane
Nipo boss
YouTube yangu ni moneystarstv njoo
Skuhizi nashinda kwenye website yangu kumenoga mastori kama yote
Can I get an Aaaaaaamen, somebody πππ
Unamshushua mtu wa watu!
Hao wanaoleta ulokole kwenye mapenzi nawakemea kwa ukali!..
Wanatunyima haki za msingi raha ya Lile tendo kuwa na uhuru wa uwili.
Wala, wananitendea wap wakati me maswali Lutheran?? ππππππ
Walokole wanakesi nawewe si bure!
Kuna mkasa upi wamekutenda..?