Itendee nafsi yako haki, ongea nafsi yako inaamini ni kweli. Katika hili nina hakika unajua kuwa umechemsha
Wanao penda kulia na kudeka ni hao wakatoliki...!
MKuu kumbe uko kwenye chama la kina MS, JeyKey eeeh!!!
Ukitaka kujua ni kweli angalia profile yako below; umejiunga humu jana kuchafua hali ya hewa huku ukijua mna hali mbaya.
ANTIBAYOTIKIMember![]()
Join Date Tue Aug 2010
Posts 42
Thanks : 0
Thanked 0 Times in 0 Posts
Rep Power0
Katibu wa CUF keshajiunga na ccm chini ya maelekezo ya makamu mwenyekiti wa ccm. Hivyo kinachosubiriwa ni mwenyekiti wa CUF kumfuata katibu wake. Kwani kikao cha siri cha wenyeviti wa ccm na cuf viliisharipotiwa.
Yaani mleta mada anadhani kura laki sita atakazopata Lipumba ndio zingemwingiza ikulu? Acheni utani hebu sote kwa pamoja tuungane kumleta rais mpya ikulu 2010 Dr Slaa!!
Nahisi huyu ni kiongozi wa juu kabisa katika kafu kile chama cha zenji aka chama cha dini ile. Ningeweza kumtaja kwa jina lakini sheria inanikataza na naogopa ban:becky: Huwa namwona hapa jf kila ikifika uchaguzi.Jamani hii JF imevamiwa! Huyu Mwiba Katoka wapi tena....Hawa ndo mamluki hawa!
Kuna na dubo na jeykey na wangineo wamefumuka hii August balaa!!! Wachungulie uone wameingia lina hapa!! Bado ni njuka/ndama/protozoa/amoeba/dagaa/ you name all!! Haya ni majina ambayo enzi tukisoma tulikuwa tunaita newcomers wa kidatio cha kwanza!!Utasika we njuka njooo hapa!! Unakimbia kama umefukuzwa na simba!! Karibuni tuendeleze libeneke kwa heshima na taadhima za JF!! Kuna sheria za JF sijui mmezipitia?? Kuna moja inasema post ya kichochezi isiyo na mantiki ......nayo hufutwa na ukiendelea wanakuweka kifungoni!!!

Hata huyo Slaa ni cha mtoto mbele ya JK.Si umesema mwenyewe katibu wa CUF Kisha ona anapoteza muda wake.Hata huyo Slaa yuko njiani very soon utasikia Kumbuka huko ndiko ukweni kwake.Msipoteze muda kumpa kura.Mtajuta
Udini huooooooooo? unachipua taratibu. Pastor nchi yetu haina dini.Hahahahha baeleze baambie hii mitu ya Madrasa sul
Unajua, ukitaka kumwua nyoka unampiga kichwani. CCM itasambararika wakishapoteza nguvu ya dola na nguvu ya dola itapotea pale Kikwete
atakaposhindwa katika uchaguzi. Dr Slaa ndiye tumaini pekee la Tanzania tunayoitaka.
.Wapenzi wa CCM safari hii hadi mnatia huruma tofauti na mwaka 2005, mngekuwa mnajiamini msingekuwa mnakesha kwenye mitandao kama hivi wakati huu mngekuwa mmelala.
kaka au dada? na wewe kuna siku moja ulikuwa mgeni katika jukwaa hili la JF na sisi wa zamani tukakushangaa. Je ulipokuwa njuka/ndama/protozoa/amoeba/dagaa/ you name all!! ulijisikiaaaaje?
M
Mbona unakuwa mkali, jibu hoja kwa hoja Pastor, unapoteza uelekeo au ndiyo dalili ya kulemewa
kwani wewe umeshaleta mada yeyote toka ujiunge au kazi yako ni kupet pet yaliyoandikwa na wengine.
.
kwani JF ni ya mgombea yupi hadi una mashaka na wanaCCM kuwemo humu?