Ndoa ya CCM na CUF ilifanyika lini?

Subirini mtakapo lia na kusaga meno, ndio mtajuwa kuwa maharage kuwa ni mboga.

Wanaolia lia ni wale ambao kila siku wanakesha na kulia lia kuwa wameonewa na wakatoliki (kasome ile mada ya mohamed said)
 
Msianze kupindisha thread...!
Na wewe unaita hii thread, thread isiyo na miguu wala kichwa, huyu tunamjua ni mzee wa kutunga mashairi sasa dawa yake ni kumwimbia ngonjera. Sema tu siku hizi tumezuiwa kupakua tungemletea mzee wa meza adakue.
 
Haya ndiyo mavazi rasmi ya chama, mimi nataka kujiunga CUF lakini sijawahi kuvaa kanzu sijui nitafanyaje keykey yuko wapi anishauri ila jambia nimeshanunua tayari.

ha ha ha,

Mods pain killer atakuja sasa hivi hapa kufuta hii thread. Hataki kabisa Kikwete na Lipumba watokee wakiwa pamoja.

Hicho kikao kilikuwa siri na nyie mnakiweka wazi?
 
Wanaolia lia ni wale ambao kila siku wanakesha na kulia lia kuwa wameonewa na wakatoliki (kasome ile mada ya mohamed said)
Wanao penda kulia na kudeka ni hao wakatoliki...!
 
Wanao penda kulia na kudeka ni hao wakatoliki...!

ha ha ha ... mifano please?!

Mfano wangu nimekupa wa kwenye ile mada ya mohamed said jinsi mujahidina wanavyolia lia kila siku
 
Subirini mtakapo lia na kusaga meno, ndio mtajuwa kuwa maharage kuwa ni mboga.
Hivi wewe hujaenda kwenye kampeni kumdaka mzee maana sarakasi zake hazitabiriki at any time t utashangaa miguu juu.
 

Wengi maana yake ni kwamba siyo wote. Mwaka 1995 na mwaka 2000, CHADEMA hawakusimamisha mgombea wa Urais, badala yake walimsapoti Lipumba, lakini NCCR Mageuzi, TLP na UDP walisimamisha wagombea wao. Kama CHADEMA wamegeuka U-Turn, ni chama gani kingine kinamsapoti Lipumba sasa?


Madai kuwa walikuwa wamekubaliana siyaamini kwa sababu wasingefanya hivyo kisiri sisiri kufikia makubaliano hayo bila kuyatangaza hadharani, vile vile vyama hivyo visingeweza kukaa kimya iwapo mwenzao CHADEMA angewakuwa amewasaliti. Lipumba mwenyewe hakulalamika, badala yake alisema Slaa anakubalika lakini hata yeye ataingia tu kwenye kinyang'anyiro hicho kwa madai kuwa hakujua kuwa CAHDEMA wangemsimamisha Slaa.
 
Hivi wewe hujaenda kwenye kampeni kumdaka mzee maana sarakasi zake hazitabiriki at any time t utashangaa miguu juu.
Ungejuwa kuwa sina mpango na siasa usingesema hayo!
 
kwani wewe umeshaleta mada yeyote toka ujiunge au kazi yako ni kupet pet yaliyoandikwa na wengine.
Hiyo tu haitoshi kwa maana hata anayojibu wala hayaendani na post husika... :confused2:
Na aache uongo ujitenge palipo na ukweli.
Nina wasiwasi naye sana .....Great thinker... CHADEMA itawashughulisha sana
Tegemeeni makubwa mwaka huu...
 

mawazo ya kijinga sana haya
 

Hii attitude ndio inafanya hata Wakenya na Waganda wakija kwenye interview wanawaburuza Watanzania vibaya sana. Watanzania tumekosa kujiamini na kudhani kuwa kila kitu hakiwezekani. Hivi lini unadhani upinzani utaishinda CCM, kama kila siku unaamini hawawezi? why not this coming election, kipi kinakosekana? Kwani ni kitu gani kinafanya Karatu, Tarime etc kuwachangua wapinzani? Wale wangekuwa na woga na mazoea kama ya kwako na wengine wanaosema kuwa wapinzani hawewezi kushinda nchi hii isingekuwa na mpinzani hata mmoja

Uwe na imani na chukua hatua, kura yako mpe mpinzani, na uilinde, then utaona matokeo yake.Lakini ukishajikatia tamaa kabla hata hujaenda kwenye sanduku la kura then upinzani hauwezi kushinda

Halafu huyo ndugu aliyetoa mada nadhani amekaa na kufikiri upupu akaamua kuja kuumwaga hapa. Watu wengine bana, sijui hawajasoma? Hii JF inasomwa na watu wenye akili, huwezi kutunga ujinga na upupu then unaamua kuja kuumwaga hapa.Hata kama wewe ni CCM au CUF, nadhani it is just too low-- , watanzania hawadanganyiki tena--isipokuwa wewe, haha haha
 
M

Mbona unakuwa mkali, jibu hoja kwa hoja Pastor, unapoteza uelekeo au ndiyo dalili ya kulemewa

Lisemwalo lipo...!

Hivi na busara zenu mnaamini kuwa laiti JK na CCM wangekuwa na uhakika wa ushindi wangehangaika kuchangisha bilioni 50 kwa ajili ya kampeni?Au kubwa zaidi,laiti JK angekuwa na uhakika wa kushinda kirahisi angeanguka Jangwani kwa panic?
 
Ama kweli hao ndio wana mageuzi. Kutwa kutafuta visingizi.Leo hili kesho hili.Hawaoni hiyo ni dalili ya kukata tamaa.Kwamba wamekwisha kubali kushindwa.Ni nafuu mmalizie kwa kusema, sizitaki mbichi hizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…