Ndoa ya CCM na CUF ilifanyika lini?

lipumba.jpg

Mhh,

Naona Hamad keshaboeka na maneno ya Lipumba
 
Hawa jamaa wa CUF wamekwisha malizwa na CCM we cant trust them anymore, cha ajabu Prof Lipumba anajidhalilisha sana kwani sio mtu makini hata kidogo nadhani mnakumbuka kuwa alijitia kimbelembele kukimbilia ikulu kuhudhulia sherehe za kusaini sheria ya maadili ya uchaguzi bila hata kujua kilichomo pamoja na CUF kuwa na wawakilishi kibao bungeni kutoka zenji ambao hawana tija lakini DR. SLAA akawambua wote JK na Lipumba kwa kuainisha kuwa kulikuwa na vipengele vilivyoingizwa kinyemela bila kujadiliwa na kupitishwa na bunge.

Hawa jamaa wa CUF ni dhahili kabisa hiyo serikali ya mseto na vyeo hewa watakavyopewa vimewafanya wawasaliti wazanzibari waliomwaga DAMU zao kupigania Mageuzi ya kweli na mwenyezi mungu atawalaani vibaya sana na tutawasha moto na nchi itarejeshwa na ikiwezekana hat Gwanda zitavaliwa nchi nzima! CCM ni opportunist sasa wanatumia weakness ya viongozi wa CUF kuendelea kuitafuna nchi kwa group la watu wachache! Wazanzibari wamepigwa bao moja hatari sana, ninachoweza kuwapongeza CUF walifanikiwa zanzibar kutokana na kutumia mbinu za CCM za kuwagawa wazanzibari, wapemba na waunguja! na huku bara wakatumia udini!

Hivyo hatushangai kuwa Lipumba anajua dhahiri kuwa Presidency for him is a longshot! lakini bado ni king'ang'anizi! kama CUF wameweza kufikia makubaliano na CCM chama pinzani na kilichonyanyasa wanachama wao na wengine kupoteza maisha yao, inakuwa vipi Lipumba ashindwe kuona potential za Dr. Slaa? na ku forge coallation ya ushindi? CHADEMA imekuwa na historia nzuri ya ku support vyama vya upinzani na CUF ni chama mojawapo kimewahi na kinaendelea kupata endorsement ya CHADEMA mpaka leo hii kwenye maeneo inapoona haina nguvu ya kutosha.

Tunaomba viungozi wa CUF waache kupuuza sacrifies za watanzania waliokufa wakipigania Haki na kumbe wamekufa kwa ajili ya ULAJI WA VIONGOZI WAO........................................
kumbukeni hamtaishi milele duniani hapa! na adhabu ya betrayers ni.......................................................................................................
 
Hii kitu ipo, kuna habari za uhakika nilizopata toka kwa mtu wa karibu na uongozi wa juu wa CUF(mjumbe). Aliniambia baada ya CUF na CCM kukubaliana kufanya kazi pamoja Zanzibar CUF wakashauri kwanini pasifanyike pia bara? mleta habari akaniambia ilionekana ni ngumu sana kuingiza makubaliano ya aina hiyo bara kwa vile CUF haina support kubwa huku ingeleta manung'uniko kwa vyama vingine, lakini CUF wakawa na assurance kama watashirikiana wakati wa uchaguzi CCM inaweza kutenga angalau wizara moja ikawa chini ya CUF. Naomba msiniulize ushaidi zaidi lakini hiyo habari ni ya uhakika 100%.
 
Na niniyi si mlishafanya "makubaliano" ya siri na Kanisa Katoliki na Pengo kaahidi kumsaidia Slaa na kuikomboa nchi kutoka kwa waislamu, tatizo lipo wapi hapo?
 
Hii kitu ipo, kuna habari za uhakika nilizopata toka kwa mtu wa karibu na uongozi wa juu wa CUF(mjumbe). Aliniambia baada ya CUF na CCM kukubaliana kufanya kazi pamoja Zanzibar CUF wakashauri kwanini pasifanyike pia bara? mleta habari akaniambia ilionekana ni ngumu sana kuingiza makubaliano ya aina hiyo bara kwa vile CUF haina support kubwa huku ingeleta manung'uniko kwa vyama vingine, lakini CUF wakawa na assurance kama watashirikiana wakati wa uchaguzi CCM inaweza kutenga angalau wizara moja ikawa chini ya CUF. Naomba msiniulize ushaidi zaidi lakini hiyo habari ni ya uhakika 100%.

Mnageuza JF kijiwe cha kahawa sasa eeenh!. Hizi ni stori za wanywa kahawa wao kila kitu wanaanza na "kuna habari za uhakika nimezipata"
halafu wanaangalia wanywa kahawa wenzao watasemaje?. Huwezi fanya kampeni za uchaguzi kwa style hii, tueleze utafanya nini?. Nimevutiwa na Dr. Slaa katika kugombea urais na nina imani kuwa he's fit to be C-I-C lakini sasa naanza pata wasiwasi kuwa yanayosemwa juu ya CHADEMA huenda yana ukweli fulani. Maana naona watu wa CHADEMA wamejiandikisha kwa ID kumi kumi na ku-flood thread za kizushi zisizokuwa na supporting documents.
 
Mkuu si suala la udini na sisi hatuko huko (simsemaji wa Mwafrika) hii issue ni kubwa si nyepesi kwa ustawi na maendeleo ya nchi yetu. Tutaweka hapa hold on wakati muafaka. Soma maneno yangu

Sasa Mkuu wewe unadhani muda gani mwafaka zaidi ya kabla ya uchaguzi ili tufahamu wengine tusio na chama wapi pa kuelekea wewe hufahamu msemo unaosema mchawi mpe mtoto aleee!!! Wewe tuonyeshe mchawi tumpe jukumu la kukalia benchi ajifunze kwa waadilifu.
 
Na niniyi si mlishafanya "makubaliano" ya siri na Kanisa Katoliki na Pengo kaahidi kumsaidia Slaa na kuikomboa nchi kutoka kwa waislamu, tatizo lipo wapi hapo?

Ha ha ha,

Hakuna tatizo lolote maana makubaliano ya kanisa katoliki na serikali yalikuwa ya wazi na sio ya siri.
 
What the F is this? when was that? when did they get married?
Jitizame vizuri inawezekana una homosexual elements ambazo hazijatoka kabatini...:confused2:
Sina maana ya kutusi, bali hao ni wanaume hivyo huwezi fikiria wala kutoa mfano wa ndoa kama maelezo hayo ya mwanzo hayana ukweli.
 
Ninaomba wanaopinga watoe maelezo ya hii Picha. Naomba msiniambie kwenye Hafla fulani au msikitini kwasababu kwa vyovyote vile hii picha imekaa kisiasa sana. tena sana.
 
Back
Top Bottom