Ndoa ya Barak Obama mashakani

Status
Not open for further replies.
gossip manaake majungu, afu nawe umeikomalia lol. Michelle ana ujanja upi wa kuondoka whitehouse, Saaeeee!!!
 
Kwa hilo jicho ’bama analomwangalia huyo mama wa kichina, naapa kama hajapiga laaazma atapiga! Bisha usibishe.

Huyo mama ni mfupi kwa obama so obama lazma ainame kidogo ili waweze kukutanisha macho na sifa nzuri ya mazungumzo na mtu ni kumtazama usoni kuonyesha unamjali na kujiamini. Hapo hakuna tatizo kabisa
 
OBAMA, MICHELLE WADAIWA KUTENGANA

attachment.php

Barack Obama na mkewe

Michelle kila mmoja akionekana kuwa kivyake.

attachment.php

Obama akimshika begani Waziri Mkuu wa Denmark, Helle Thorning-Schmidt, wakati wa mazishi ya Mandela nchini Afrika Kusini. Kulia ni Michelle Obama akiwa amenuna.

RAIS wa Marekani, Barack Obama na mkewe Michelle wanadaiwa kutengana. Habari zinadai kuwa wawili hao wanalala katika vyumba tofauti kwa sasa ndani ya Ikulu ya Marekani 'White House'.

Mgogoro baina ya wawili hao ulianza zamani na wameweza kuendelea kuishi pamoja kwa sababu ya watoto wao wawili wa kike Sasha na Malia na kulinda heshima ya urais.

Michelle anadai amechoka na atakutana na mwanasheria wa masuala ya talaka ili aweze kuachana na rais huyo wa 44 nchini Marekani. Michelle ataendela kuishi Ikulu 'White House' kwa muda wote uliobaki katika kipindi cha utawala wa Obama, ila ameweka wazi kuwa watakuwa wakiishi vyumba tofauti.

Anataka kuishi katika chumba kimojawapo cha familia kilichowazi na anajiandaa kuhamisha nguo zake na kila kilicho chake kutoka kwenye jumba lao la kifahari la mamilioni ya dola lililopo Chicago.

Michelle alichanganyikiwa zaidi baada ya Obama kupiga picha za kimahaba akiwa na Waziri Mkuu wa Denmark, Helle Thorning-Schmidt, wakati wa mazishi ya marehemu Nelson Mandela nchini Afrika Kusini.

Obama mwenye miaka 52, alikuwa akifurahi, kunong'enezana na kumshika begani mrembo huyo mwenye umri wa miaka 46 ambaye amekuwa Waziri Mkuu wa Denmark tangu Oktoba 3, 2011.

CHANZO: http://www.nation.com.pk/entertainment/25-Dec-2013/obama-michelle-l...

Credit.
OBAMA, MICHELLE WADAIWA KUTENGANA - Global Publishers
 
Attachments

  • obama  michelle.jpg
    obama michelle.jpg
    44.4 KB · Views: 1,106
  • obamas  mandela_funeral.jpg
    obamas mandela_funeral.jpg
    39.4 KB · Views: 1,086
Mkuu MziziMkavu hii habari haina ukweli wowote.

Niliikuta hii habari saluni nikacheka jinsi ambavyo tunatekwa na media. Sijui kwa nini hatuelewi kuwa in couples kila mtu anahitaji personal space hata ya 5 minutes, azame nafsini mwake.
 
Last edited by a moderator:
WASHINGTON -Michelle Obama has had enough. According to a bombshell new report, the First Lady and Barack Obama are sleeping in separate White House bedrooms. Michelle is also preparing to boot her hubby of 21 years out of their ritzy Chicago home - and seriously discussing divorce.
"The smart money says the marriage is doomed," a source told the National Enquirer. "Barack and Michelle have had a rocky go for years and mainly stayed together for their daughters and his political career. "But now Michelle is mad AS hell. She feels violated in front of the whole world, and screamed at him, ‘I've had enough.' "She's met with divorce lawyers and told Barack that she wants a life apart from him. "Michelle will stay in the White House for the rest of Barack's term for appearances' sake, but she made it clear they'll be leading separate lives.
"She's moving into one of the vacant bedrooms in the family's private living quarters, and she's preparing to move his clothes and personal things out of their million-dollar house in Chicago." Michelle was left furious after Barack was photographed brazenly flirting with Denmark's dishy female prime minister, Helle Thorning-Schmidt, during the service for former South African president Nelson Mandela. Obama, 52, laughed and whispered with the 46-year-old Danish beauty throughout the solemn ceremony, at one point cavalierly caressing her shoulder. "Barack already had enough headaches with his public approval rating plummeting after the disastrous rollout of his ‘Obamacare' health plan. Now he's walked smack into the worst marital crisis of his life," said the White House insider.

obama.png

Source: The nation
 
president-obama-helle-thorning-schmidt.jpg View attachment 129746​ Helle-Thorning-Schmidt-po-009.jpg images (5).jpg images (7).jpg president-obama-helle-thorning-schmidt.jpg images (14).jpg images (12).jpg images (11).jpg
American women are fragile handle with care like and egg

WASHINGTON - Michelle Obama has had enough. According to a bombshell new report, the First Lady and Barack Obama are sleeping in separate White House bedrooms. Michelle is also preparing to boot her hubby of 21 years out of their ritzy Chicago home - and seriously discussing divorce.

"The smart money says the marriage is doomed," a source told the National Enquirer. "Barack and Michelle have had a rocky go for years and mainly stayed together for their daughters and his political career. "But now Michelle is mad AS hell. She feels violated in front of the whole world, and screamed at him, ‘I've had enough.' "She's met with divorce lawyers and told Barack that she wants a life apart from him. "Michelle will stay in the White House for the rest of Barack's term for appearances' sake, but she made it clear they'll be leading separate lives.

"She's moving into one of the vacant bedrooms in the family's private living quarters, and she's preparing to move his clothes and personal things out of their million-dollar house in Chicago." Michelle was left furious after Barack was photographed brazenly flirting with Denmark's dishy female prime minister, Helle Thorning-Schmidt, during the service for former South African president Nelson Mandela. Obama, 52, laughed and whispered with the 46-year-old Danish beauty throughout the solemn ceremony, at one point cavalierly caressing her shoulder. "Barack already had enough headaches with his public approval rating plummeting after the disastrous rollout of his ‘Obamacare' health plan. Now he's walked smack into the worst marital crisis of his life," said the White House insider.
 
Attachments

  • images (6).jpg
    images (6).jpg
    7.3 KB · Views: 386
Umeunganisha story...hii imeishakuja kule MMU..katafute picha za waziri mkuu mrembo wa Thailand. ..
 
Ha ha ha! This is a mere fabrication.

alabama.jpg images (2).jpg images (3).jpg images (4).jpg
Kila mtu na kionjo au mwono wake binafsi sioni uurembo wa huyu mama
Wanawake wa kimarekani kazi kweli. Ukiwa naye kama kuna mwingine anakatiza mbele yenu jitahidi kumkumbatia kuonyesha upendo kwake, vinginevyo utaonekana hujamtendea haki mbele ya mwingine asiye wako. Ukijaribu kukodolea macho au kumwongelesha mwingine wakati upo na mkeo makubwa vinginevyo tahadhari ya maneno na hakikisha muda huo umemshika mkono na kumtambulishwa kulinda heshima yake. Ndio maana kwao ndoa za kanisani chache sana ni waumini wachache wanaofunga za makanisa yenye msisitizo wa kutofunguliwa kama Catholic. Wengi ni mikataba kwa majaji, wachungaji wa assemble of God, na kuna vijikanisa vinavyofanya biashara ya kufungisha ndoa tu ni shauri ya kuwapigia simu na mnaingia na kufungushwa bila matangazo wala nini. Full mzuka.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom