Ndoa ya Barak Obama mashakani

Status
Not open for further replies.
Ndoa za kijinga mtu usicheke na mwanamke wala kumkumbatia wakati wa salam kwa hadhi ya urais, ni ujinga bora ndoa ife kuliko kuishi kwa uoga wakati hutendi uzinnzi
 
Ndoa za kijinga mtu usicheke na mwanamke wala kumkumbatia wakati wa salam kwa hadhi ya urais, ni ujinga bora ndoa ife kuliko kuishi kwa uoga wakati hutendi uzinnzi

images (9).jpg images (10).jpg

Binafsi sioni ubaya katika picha maana ni social ya kawaida, vinginevyo amekuwa na sababu nyingine hivyo anatafuta pa kuanzisha sokomoko. Hawa wanawake wa kimarekani taabu tupu.
 
View attachment 129766 View attachment 129767

Binafsi sioni ubaya katika picha maana ni social ya kawaida, vinginevyo amekuwa na sababu nyingine hivyo anatafuta pa kuanzisha sokomoko. Hawa wanawake wa kimarekani taabu tupu.

Huyo mwanamke anaonekana ana gubu kweli,hapo anataka kukomba umaarufu wa mwisho mwisho apewe chake aanze.kuna kosa gani Obama kuchat na mwanamke mwingine.yaani ina maana kwasababu wameenda wote basi ni waongee wawili tu?too low
 
Huyo mwanamke anaonekana ana gubu kweli,hapo anataka kukomba umaarufu wa mwisho mwisho apewe chake aanze.kuna kosa gani Obama kuchart na mwanamke mwingine.yaani ina maana kwasababu wameenda wote basi ni waongee wawili tu?too low

Unaweza kugundua kitu kwamba Obama kila aendako naye yupo bega kwa bega, anaonekana ana wivu usio wa kawaida.
 
Unaweza kugundua kitu kwamba Obama kila aendako naye yupo bega kwa bega, anaonekana ana wivu usio wa kawaida.

Yaah na Obama alimwendekeza tu shughuli zingine angekua anamwacha hm tu.na inaelekea ni mbishi kweli akiambiwa we kaa nyumbani naenda kikazi narudi
 
Yaani habari za ndugu zake Shigongo wa USA sijui, unazileta hapa? Khaaaa!!!!!

Ndiyo hizi za 2Pac ameonekana mzima au Michael Jackson anafanya Shopping hapa SIKONGE.
 
Yaani habari za ndugu zake Shigongo wa USA sijui, unazileta hapa? Khaaaa!!!!!

Ndiyo hizi za 2Pac ameonekana mzima au Michael Jackson anafanya Shopping hapa SIKONGE.

Iliwekwa jukwaa jingine lakini waratibu wa majukwaa wameihamishia hapa. Hata hivi hizi si habari za kudharau, kuna viashiria vingi na hata unaweza kusoma picha jinsi Michele Obama alivyofanya reaction katika tukio lile.
 
Picha zinadanganya sana. Hebu angalia Video....

Last edited by a moderator:
Huyo mwanamke anaonekana ana gubu kweli,hapo anataka kukomba umaarufu wa mwisho mwisho apewe chake aanze.kuna kosa gani Obama kuchat na mwanamke mwingine.yaani ina maana kwasababu wameenda wote basi ni waongee wawili tu?too low
Umeambiwa hiyo ndoa iko juu ya mawe tangu siku nyingi na makaratasi ya kuachana yalishatengenezwa na watu walishatengana vyumba vya kulala; hayo ya kwa mandelea yametia tu chumvi kidonda na kumfanya mkewe aone kero hata kumstahi kwa ajili ya mitoko ya kisiasa. Wanavumiliana kwa ajili ya watoto na mitoko ya kisiasa zaidi ya miaka miwili sasa haijaanza leo.
 
WASHINGTON - Michelle Obama has had enough. According to a bombshell new report, the First Lady and Barack Obama are sleeping in separate White House bedrooms. Michelle is also preparing to boot her hubby of 21 years out of their ritzy Chicago home - and seriously discussing divorce.

"The smart money says the marriage is doomed," a source told the National Enquirer. "Barack and Michelle have had a rocky go for years and mainly stayed together for their daughters and his political career. "But now Michelle is mad AS hell. She feels violated in front of the whole world, and screamed at him, ‘I've had enough.' "She's met with divorce lawyers and told Barack that she wants a life apart from him. "Michelle will stay in the White House for the rest of Barack's term for appearances' sake, but she made it clear they'll be leading separate lives.

"She's moving into one of the vacant bedrooms in the family's private living quarters, and she's preparing to move his clothes and personal things out of their million-dollar house in Chicago." Michelle was left furious after Barack was photographed brazenly flirting with Denmark's dishy female prime minister, Helle Thorning-Schmidt, during the service for former South African president Nelson Mandela. Obama, 52, laughed and whispered with the 46-year-old Danish beauty throughout the solemn ceremony, at one point cavalierly caressing her shoulder. "Barack already had enough headaches with his public approval rating plummeting after the disastrous rollout of his ‘Obamacare' health plan. Now he's walked smack into the worst marital crisis of his life," said the White House insider.

Hakika yake hakuna hata mmoja mwenye furaha katika hii dunia tufanyeje sasa nduguzanguni? je tujiuwe? je tulowee ulevi? tufanyeje basi?
 
Picha zinadanganya sana. Hebu angalia Video....

Pamoja na ukweli fulani kuhusu hilo, mood ya Michele ina dalili nyingi za wivu wa kike kwa mumewe. Binafsi sioni ubaya alifanya obama ni social activity tu, lakini kwa wanawake wa kimarekani balaa usiombe vinginevyo ukiambua kuwa naye basi hakikisha upo chini ya himaya yake full kifungo vingienvyo makubwa kama haya yataibuka bila matarajio.

Nilipokuwa huko masomoni na pia kuchakarika na kupata cha mlo baada au kabla ya darasa, wakisha kukufahamu wanajaribu kila njia kukuingiza kwenye line, hawaoni haya kukutongoza na kabisa kukutamkia ndoa kabisa. Wakishindwa hata familia inafanya jitihada kukuingiza kwenye line. Binafsi nilikwepa mitego hiyo kwa njia zote na nikafanikiwa. Walionasa wengi wao wanajutia.

Kuna jeuri nyingine ni kukutegeshea mahusiano kisha uzae mtoto au watoto kwani kwao ni biashara inalipa sana, maana licha ya za kutoka serikalini kwa matunzo ya mtoto kama hana kipato cha kutosha, child support nayo ni deal, mtu mzima mzima unafanya kazi na kwenda kuzipeleka kila wiki kwa mama mmlarekani. Balaa sana hawa watu.

Namshukuru Mungu nilishinda vita hivyo, maana wakiona una kibarua na kidogo unaonekana kuwa na mvuto hutakosa urimbo wa ndege kuja kujasa kila kukicha kukichwa.
 
Last edited by a moderator:
Hii habari ina ukweli, obama muda si mrefu itabaki historia na michelle!

I believe in my heart Obama is gay .Anashabikia Sana gay life .Ukiona CNN ,fox news wana Wink ujue somebody is leaking the info kuona reaction ya watu .My heart goes out to Michelle Yaani " obama akiamua kusema gay itakuaje?
 
Nawanajua revenge wewe wewe.Hapo Obama ajipange haswaaaa.michelle atansafisha haswaaaa na atamkomesha.wanatunga story hao .Ndio maana black American man walio na pesa wanaoa mataifa mengine .Wanapenda kuomba pesa mtumeee.
 
I believe in my heart Obama is gay .Anashabikia Sana gay life .Ukiona CNN ,fox news wana Wink ujue somebody is leaking the info kuona reaction ya watu .My heart goes out to Michelle Yaani " obama akiamua kusema gay itakuaje?

Yalishatokea kwa Governor wa NJ
image-1-1297454.jpg
[h=1]Former New Jersey Gov. Jim McGreevey, who resigned from office in 2004 amid gay sex scandal, says his life is 'wonderful, honest, authentic' now[/h][h=2]McGreevey is the subject of Alexandra Pelosi's new HBO documentary 'Fall to Grace.' He's in a relationship with Mark O'Donnell and works as a spiritual adviser at the Integrity House rehab center in Kearny, N.J.[/h] image-1-1297453.jpg
[h=4]Former New Jersey Gov. Jim McGreevey pictured with his partner Mark O'Donnell at the premier of "Fall to Grace." Also seen McGreevey giving his infamous resignation speech in 2004 and him more recently counseling imprisoned women.
[/h]

Jim McGreevey is a completely different man these days.
The former New Jersey governor - who resigned in 2004 after a sex scandal, publicly declaring: "I am a gay American" - has since turned his life around. He now even wears bands with his partner, Mark O'Donnell.

[h=4]Former N.J. Gov. Jim McGreevey is the subject of HBO documentary "Fall to Grace."[/h]
"It's a personal commitment," McGreevey told Confidenti@l about his relationship and ring.
Of his life now as an openly gay man, he tells us: "It's wonderful, it's honest, it's authentic."

haka kameseji nimekatoa denimark sasa hivi katika kutafuta ukweli wa stori hii. Yule mama hata kwao ilileta shida. alipohojiwa na waandishi alisema hivi!

"Eti ingekuwa kakaa karibu na Obama alafu akatoa macho kwa woga wangesemaje ??"

Ha ha ha! This is a mere fabrication.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom