Ndoa ya Barak Obama mashakani

Status
Not open for further replies.

Lukolo

JF-Expert Member
Dec 2, 2009
5,147
2,000
Ndoa ya Rais wa Marekani Barak Obama na Michelle Obama ipo hatarani kuvunjika kufuatia kitendo cha Obama kuonekana katika picha za kimahaba na waziri mkuu wa Thailand Shinawatra. Inasemekana picha zenye kutiliwa shaka pia zilipigwa kati ya Obama na waziri mkuu wa Denmark.

Habari za ndani zinaeleza kuwa tayari Michelle ameshaanza kulala kwenye kitanda cha peke yake, na anajiandaa kuondoka Ikulu na kuhamia kwenye nyumba yake binafsi. Taarifa zinaeleza zaidi kwamba hadi hivi sasa, wawili hawa hawapo kwenye ndoa, bali wanajaribu kuwa pamoja kwa ajili ya watoto na kwa ajili ya kulinda status ya Obama. Hata hivyo taarifa zinaeleza kwamba Michelle anaonekana kushindwa kabisa kuvumilia kuwa kwenye mahusiano ya mke na mme na Obama kwa kuwa anahisi kudhalilishwa vibaya kufuatia kitendo hicho cha Obama kupiga picha za kimahaba hadharani. Tayari Michelle anajadiliana na mwanasheria wake kuona kama anaweza kudai talaka.

Hii itakuwa ni aibu kubwa kwa Obama iwapo mkewe ataamua kuomba talaka na kuondoka white house kabla ya Obama kumaliza muda wake wa Urais. Washauri wanajitahidi kumtuliza Michelle ili asubiri hadi Obama amalize muda wake madarakani. Japo jambo hili limeelezwa kuwa ni siri kwa muda mrefu, tayari taarifa za mifarakano ya wawili hawa zimeshavuja kwenye vyombo vya habari vya marekani.

View attachment 129339

Kwa taarifa zaidi soma hapa:

Obama, Michelle
Celebrity Gossip and Entertainment News: First Lady Furious Over President's Flirting with Thai Prime Minister
 
ChescoMatunda

JF-Expert Member
Jan 7, 2009
1,189
1,500
Hii Nayo itakuwa imechangia timbwili timbwili
 
Attachments

  • 1388316863519.jpg
    File size
    65.5 KB
    Views
    999

engmtolera

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
5,151
2,000
Ndoa ya Rais wa Marekani Barak Obama na Michelle Obama ipo hatarani kuvunjika kufuatia kitendo cha Obama kuonekana katika picha za kimahaba na waziri mkuu wa Thailand Shinawatra. Inasemekana picha zenye kutiliwa shaka pia zilipigwa kati ya Obama na waziri mkuu wa Denmark.

Habari za ndani zinaeleza kuwa tayari Michelle ameshaanza kulala kwenye kitanda cha peke yake, na anajiandaa kuondoka Ikulu na kuhamia kwenye nyumba yake binafsi. Taarifa zinaeleza zaidi kwamba hadi hivi sasa, wawili hawa hawapo kwenye ndoa, bali wanajaribu kuwa pamoja kwa ajili ya watoto na kwa ajili ya kulinda status ya Obama. Hata hivyo taarifa zinaeleza kwamba Michelle anaonekana kushindwa kabisa kuvumilia kuwa kwenye mahusiano ya mke na mme na Obama kwa kuwa anahisi kudhalilishwa vibaya kufuatia kitendo hicho cha Obama kupiga picha za kimahaba hadharani. Tayari Michelle anajadiliana na mwanasheria wake kuona kama anaweza kudai talaka.

Hii itakuwa ni aibu kubwa kwa Obama iwapo mkewe ataamua kuomba talaka na kuondoka white house kabla ya Obama kumaliza muda wake wa Urais. Washauri wanajitahidi kumtuliza Michelle ili asubiri hadi Obama amalize muda wake madarakani. Japo jambo hili limeelezwa kuwa ni siri kwa muda mrefu, tayari taarifa za mifarakano ya wawili hawa zimeshavuja kwenye vyombo vya habari vya marekani.

Kwa taarifa zaidi soma hapa:

Obama, Michelle
Celebrity Gossip and Entertainment News: First Lady Furious Over President's Flirting with Thai Prime Minister

anachotakiwa Michelle ni kuwa mvumilivu,mme wake ni rais na hawezi kukwepa kupiga picha na viongozi ama kutabasamu na anaokutana nao,litakuwa ni jambo la ajabu sana kila mahala aendapo Rais Obama awe ni mtu wa kukunja ndita,kukasirika na kutopiga picha na kiongozi ama makundi ya akinamama,
Michelle kuwa mpole,wivu upo sawa,lakini uvumilivu nao unatakiwa wakati huu mumeo akiwa Rais na kama itatokea kuachana pia si shida sana kwani hata Rais wa Russia bwana Putin ameachana na mkewe hivi karibuni.hata mzee madiba pia aliacha na kuoa mke mwingine.
 
mkada

JF-Expert Member
Nov 14, 2011
1,203
2,000
Marais wengi husaliti/wanasaliti ndoa zao, Obama is not an exception ,na wake zao hulijua hilo ila hawawezi kuomba talaka coz of status..anyway ni binadamu kama wewe lakini.They feelings and emotions.
 
Ukwaju

JF-Expert Member
Oct 19, 2010
12,996
2,000
barack%2BYingluck%2BShinawatra

UDAKU mwingine jama ni kiboko sasa hapo kuna picha gani mbaya
Maana huyo mdada kuSmile kwao ni jadi hata alipokutana na Kikwete.
sasa wameshamzushiwa Michelle wa Obama kuwa anaondoa Ikulu.
Ni KITU KISICHOWEZEKANA
 
aminangalo

JF-Expert Member
Aug 31, 2013
974
0
Kwahiyo juzi walipopiga picha hapo south ndiyo ilianzia hiyo ishu au ??

Maana naona hapa jfk umeshaapafanya kiu ijumaa na sani sasa
 
Status
Not open for further replies.

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom