Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,871
- 155,840
kuishi kwenye nyumba ya kuonyesha na kidole
Ndahani shida sio kumpata ndugu yangu! Hebu mfuatilie Natalia uone ni binti wa namna gani. Shida hapo ni kwamba alidanganya kuwa ana nyumba na pesa na wakati wa kujulikana huo uongo wake umekaribia. Natalia anasema mume bila pesa na nyumba usijiite "mume" jiite "deadbeat"! Ha ha ha haaa! Hii picha imenifurahisha sana!Haaahaaa! Nimecheka mbavu sina...sio analia haamini kama amempata jumla jumla?
Ndahani shida sio kumpata ndugu yangu! Hebu mfuatilie Natalia uone ni binti wa namna gani. Shida hapo ni kwamba alidanganya kuwa ana nyumba na pesa na wakati wa kujulikana huo uongo wake umekaribia. Natalia anasema mume bila pesa na nyumba usijiite "mume" jiite "deadbeat"! Ha ha ha haaa! Hii picha imenifurahisha sana!
Huyu analilia utamu baada ya kuzungushwa siku nyingi bila ya kuupata mpaka harusi.