Chungu tamu, kwa wale wanaoamini Mungu na wapenda shetani

Dr wa Kaliua

JF-Expert Member
Sep 20, 2020
1,636
3,806
Kifupi mafaniko sio rahisi.
Ukimtegemea Mungu utachelewa sana kuitwa tajiri ila kwa upande wa ushirikina ni haraka na zaidi.


Chaguo ni lako
Maisha sio Lele mama
Umri unaenda muda si mrefu utakuwa mjumbe wa nyumba 10.
 
Hawa wanamuamini mungu wa CCM
20230917_175439.jpg
 
Kifupi mafaniko sio rahisi.
Ukimtegemea Mungu utachelewa sana kuitwa tajiri ila kwa upande wa ushirikina ni haraka na zaidi


Chaguo ni lako
Maisha sio Lele mama
Umri unaenda muda si mrefu utakuwa mjumbe wa nyumba 10
Vipi ukiambiwa kumtoa mtoto wako wa kuzaa, maana kina mama na wake mnawatoa tu kama hamna uchungu, mtoto wako je? Iwapo unaweza basi unakua hauko sawa kiakili

Huo uchawi pia ili ukupe utajiri si shaka lazima upitie uchungu ambao hautakuacha mpaka unakufa au utajiri unakufa na ukajuta sana tu baadae
 
Back
Top Bottom