Tabu leleee! Wote tuseme leeee!

Game ya mwisho mnamaliza cairo, hakika uto mnataabika sana nayule mido kisheti wetu tabu lelee ameupiga mwingi mno mpaka ukamwigika, muda wote namwona yeye tu uwanjani.

Hakika tutatinga final za champions league kwa hiki kiwangu kikubwa cha tabulele.

Wananchi TABU LELEEEEEEE!

Wote tuitikie LELEEEEEE
Bila namba 9 yenye weledi wa kutosha? Sikupi kibwagizo changu
 
Jaman mi nauliza Kwan Simba group lake nalo jepesi au washakubali kua nao ni wahovu so njia ya kujifariji ni kuiponda yanga? Mara mia mechi za yanga 1)Cr home 2)madeama home/away mechi ambazo ni saizi kabisa kama Gamond ataacha ujinga. Sasa kwa mtani mechi ambazo iwe kufa au kupona kumfikisha robo ni wydad home/away au apate sare then 2 za janweng na asec ashinde🤣🤣🤣 ngoja tuone. Ila kulwa na doto wote wajipange hamna mwenye nafuu
 
Game ya mwisho mnamaliza cairo, hakika uto mnataabika sana na yule mido kisheti wetu tabu lelee ameupiga mwingi mno mpaka ukamwigika, muda wote namwona yeye tu uwanjani.

Hakika tutatinga final za champions league kwa hiki kiwangu kikubwa cha tabulele.

Wananchi TABU LELEEEEEEE!

Wote tuitikie LELEEEEEE
Unateseka ukiwa wapi? Wenzako tumetulia huku tukiwa hatuna presha ya aina yoyoye ile. Tutolewe, tusitolewe! Kwetu ni sherehe tu.
 
Timu yenye viongozi vimbelembele na wapenda sifa ila uwezo ndo sofuri? yaan unaleta kina tabu lelee aje kutumbuiza, hilo ni tamasha? eti unaupa mchezo jina la mchezaji, bacca day uliona wapi? upuuzi tupu.
sasa ingekuwa serious si ungepigwa 10? Si ushukuru.
 
Back
Top Bottom