Ndoa sio lele mama

Ndoa sio lele mama

Hahahah tumshauri nn? Analo hilo jamaa anajijua chokambaya walet haisom afk anamwoa nata....alomwambia nata anataka mwanaume surual nan? Afu nahis huyo ni King'asti nata hawez olewa na african guy kwan wana hard looking...
Kwi kwi kwiiii bwana harusi analia kabla hata hawajaenda nyumbani. Hapo anawaza huyu Natalia sijui nitamfikishia wapi jamani maana sina nyumba.

Ha ha haaa! snowhite, Ciello na King'asti njooni huku mmpe moyo na maujanja mdogo wenu kafunga ndoa na Natalia kwa nyumba ya kuoneshea kwa kidole!
 
Last edited by a moderator:
Hahahah tumshauri nn? Analo hilo jamaa anajijua chokambaya walet haisom afk anamwoa nata....alomwambia nata anataka mwanaume surual nan? Afu nahis huyo ni King'asti nata hawez olewa na african guy kwan wana hard looking...

Ha ha haaaa haaaaaa haaaaaaaa! Hard looking what?
 
Babu kakoleza mno. C ndo ndoa zetu cku izi mpaka kamati ya ufundi mabinti hawatoki. We mcheki huyo kishankupe maco makavu . Ngoja afike ndani, jeuri juu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom