Ndoa sio lele mama

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,457
154,323
374947_4781230767589_649416270_n.jpg
 
Kwi kwi kwiiii bwana harusi analia kabla hata hawajaenda nyumbani. Hapo anawaza huyu Natalia sijui nitamfikishia wapi jamani maana sina nyumba.

Ha ha haaa! snowhite, Ciello na King'asti njooni huku mmpe moyo na maujanja mdogo wenu kafunga ndoa na Natalia kwa nyumba ya kuoneshea kwa kidole!
 
Last edited by a moderator:
Hizo ndoa hasara za kulazimishwa kuoa mtu usiyempenda.
Au usikute ni yale mambo unampenda mdogo mtu halafu umeshapeleka posa halafu siku ya ndoa wanakupa dada mtu
ukimuuliza baba mkwe kwanini amefanya hivyo anakujibu "Ooh kwa mila yetu hairuhusiwi mdogo mtu kuolewa kabla ya dada mtu, kwahiyo ni lazima dada aolewe kwanza ndipo mdogo aolewe."
 
anawaza kama ataweza kutimiza majukumu ya kiume kwenye familia ikiwemo......!
 
Kwi kwi kwiiii bwana harusi analia kabla hata hawajaenda nyumbani. Hapo anawaza huyu Natalia sijui nitamfikishia wapi jamani maana sina nyumba.

Ha ha haaa! snowhite, Ciello na King'asti njooni huku mmpe moyo na maujanja mdogo wenu kafunga ndoa na Natalia kwa nyumba ya kuoneshea kwa kidole!

Haaahaaa! Nimecheka mbavu sina...sio analia haamini kama amempata jumla jumla?
 
giLESi mbona kutukatisha tamaa ndugu!??/ daah...
 
Last edited by a moderator:
Unakuta suti yenyewe ya kuazima halafu hana hata godoro bado kuna madeni
 
Haaahaaa! Nimecheka mbavu sina...sio analia haamini kama amempata jumla jumla?
Ndahani shida sio kumpata ndugu yangu! Hebu mfuatilie Natalia uone ni binti wa namna gani. Shida hapo ni kwamba alidanganya kuwa ana nyumba na pesa na wakati wa kujulikana huo uongo wake umekaribia. Natalia anasema mume bila pesa na nyumba usijiite "mume" jiite "deadbeat"! Ha ha ha haaa! Hii picha imenifurahisha sana!
 
teh teh teh....hayo yanawakumba ndege wajanja MwaJ...ukiingia kichwa kichwa lazima ukopwe penzi.
 
Huyu analilia utamu baada ya kuzungushwa siku nyingi bila ya kuupata mpaka harusi.
 
Kwi kwi kwiiii bwana harusi analia kabla hata hawajaenda nyumbani. Hapo anawaza huyu Natalia sijui nitamfikishia wapi jamani maana sina nyumba.

Ha ha haaa! snowhite, Ciello na King'asti njooni huku mmpe moyo na maujanja mdogo wenu kafunga ndoa na Natalia kwa nyumba ya kuoneshea kwa kidole!

na huyu KABUGI MEEN!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom