Usiokote mwanamke mkuu hao unao wazungumzia ni wale wa kuokota haujamfahamu vizuri unakimbilia kuoa kisa mzuriTatizo lipo kwenye malezi tunayoyapata cku hizi. Unakuta mwanamke hamuheshim hata mama yake mzazi, atakuheshim wew mliyekutana chuoni na kuoana?
Bongo saiv kama ulaya. Ndoa magumashi!!
unatushaurije sisi makapera?Ndoa tamu na hasa umpate mwanaume Mwenye kujua nini maana ya ndoa.
Hao wanaosema wanatamani kutoka waongo tu wanaishia kusema ila hawatoki, lakini pia mkuu mtu akishindwa biashara ukaenda kumuomba ushauri unafikiri atakuambia kuwa biashara inafaida?Waliopo wanatamani watoke ambao hawapo hawapo wanatamani waingie
BTW SOMO ZURI SANA MKUU
shida sio kupata mtu...mtu sahihi unampataje..unaweza ukasema huyu ni sahihi kumbe ameficha makuchaMakapera msiogope ndoa, tafuta mtu sahihi utafurahia ndoa yako
Mbona ndio hawa kila siku wanalalamika hapa JF mkuu..ndoa si mchezoHao wanaosema wanatamani kutoka waongo tu wanaishia kusema ila hawatoki, lakini pia mkuu mtu akishindwa biashara ukaenda kumuomba ushauri unafikiri atakuambia kuwa biashara inafaida?
Hao hao ndo wana weka mabango ya kutafuta mke/mume si ndio mkuu, hao wanaosema ndoa hazifai wanaishiaga kusema atalalamika mume kafanya hivi au mke kafanya hivi husikii akileta taarifa kuwa amevunja ndoa yakeMbona ndio hawa kila siku wanalalamika hapa JF mkuu..ndoa si mchezo
Yeah ni kweli kabisa...ila wengine wanazivunja kimyakimyaHao hao ndo wana weka mabango ya kutafuta mke/mume si ndio mkuu, hao wanaosema ndoa hazifai wanaishiaga kusema atalalamika mume kafanya hivi au mke kafanya hivi husikii akileta taarifa kuwa amevunja ndoa yake
sijatofautiana sana na hivyo ulivyoainisha hapo juu mkuu..ila sasa kumpata ndio mziki wenyeweLabda nikuulize mwanamke sahihi kwako ni yupi maana vigezo tumetofautiana yakhe
Hahah... Do you think at the end of the day I will come around?You won't pass
Oeni msiogope, Tafuta unayeendana NAYE khulka zenu ziwe sawa au mtofautiane kidogo Sanaunatushaurije sisi makapera?
anhaaa japo ni kazi kumpataOeni msiogope, Tafuta unayeendana NAYE khulka zenu ziwe sawa au mtofautiane kidogo Sana
Ukiamua kumpata wamejaa mbonaanhaaa japo ni kazi kumpata