MBITIYAZA
JF-Expert Member
- Jan 22, 2017
- 14,947
- 26,082
Hamna lolote...ya mume wangu tamu zaidi. Basi tu mafeelingssssss
heheheheh sawa mama
Hamna lolote...ya mume wangu tamu zaidi. Basi tu mafeelingssssss
Shetani anapitaga!heheheheh sawa mama
Mke Wangu alikuwa idara zingine zoote yuko vizuri lakini malaya ni hatari nilimshauri aache tabia hakuweza baadaye aliondoka mwenyewe kuendeleza fani yake nimemwona mahali juzi kanenepa mithili ya mbuyu.
Bibie mambo! yakwako vipii tamu eh? maana aisifiaye mvua ujue imemnyea!vipi tamu?
Michepuko sio mitamu hata ukitaka kugundua hilo umwa mwezi mzima uone kama mchepuko wako atasogea, lakini mume/mke atakuwa na wew began kwa begaNdoa ni tamu sana. Na michepuko ni mitamu balaa!
Tatizo ni pale unapogundua mwenzako amechepuka au pale ambapo utafumaniwa
Wacha weeee mambo si ndo hayo kila sehemu kuna changamoto zake lakin ukiziweza una enjoyMiaka ya mwanzoni ndoa ni chungu maana mnakuwa bado hamjajuana vizuri..mkiweza kuvuka hiyo miaka mitatu au minne ndoa inakuwa nzuri. Kuna kipindi nilichukia ndoa maana vurugu zilikuwa nyingi mno, hata sasa sijui nilivukaje kile kipindi. Ila now am happy, mume wangu ni kila kitu kwangu...haondoki mtu hapa tutabanana hapa hapa!
Ni kweli. Utamu upo wa aina nyingi.Michepuko sio mitamu hata ukitaka kugundua hilo umwa mwezi mzima uone kama mchepuko wako atasogea, lakini mume/mke atakuwa na wew began kwa bega
Hahahahaha aiseee pole sana alikuwa amezoea mihogo ya aina tofauti tofauti na hii ni changamoto kwa wanawakeMke Wangu alikuwa idara zingine zoote yuko vizuri lakini malaya ni hatari nilimshauri aache tabia hakuweza baadaye aliondoka mwenyewe kuendeleza fani yake nimemwona mahali juzi kanenepa mithili ya mbuyu.
Hapa failures ni nyingi sanaHabari wanakijiji wenzangu, matumaini mko salama kabisa, bila kupoteza muda nielekee kwenye mada
.........kwanza mfanye mke au mume kuwa rafiki yao ambaye unaweza kushare mambo yote yawe ya Furaha au huzuni hii itamfanya mwenzako kuwa huru kushauri lolote kwa kauli nzuri,..
Big up!Umenena vyema. Sijawahi jutia katika hili. Pia inapunguza uzinzi
Ni kweliWaooh kwa mara ya kwanza sijui mara chache watu kusifia ndoa. Safi sana mi sijajuta na sitaki kujuta kuolewa am happy kuwa na familia. Sasa na ww mtoa mada umeharibu pale uliposema "mchepuko mstaarabu" hakuna mchepuko mstaarabu kama angekua mstaarabu asingeingilia ndoa ya mtu. Kwani wanaume hamuwezi kukaa bila mchepuko but nadhani wapo wastaarabu japo hawawezi kusema mbele ya watu kuwa hawachepuki.