Ndoa ni tamu sana

Ndoa ni tamu sana

Ndoa ya wazazi wangu ndo blueprint yangu..

Tatizo ndoa siku hizi kama unacheza biko au 3 mzuka vile
 
Wanawake mbona wako wengi? Takwimu zinaonyesha wanawake ni wengi kuliko wanaume unakosaje hapo? Tafuta wa vigezo vyako kulingana na uwezo wako
Kuna wanawake ila wake/wife hawapo mkuu wachache mno..!
 
Asante ndoa ina raha jamani haswa kama kuna upendo na kuvumilia. Hata kama ikitokea mmepishana sio kukalipiana au kotoleana maneno machafu.
Wachache wanaelewa hili, kuna wanawake wana ukarimu hadi nawaoneaga wivu waume zao. Unakuta wife anampa courage mumewe kwamba asiumie mambo hayajaenda sawa kesho atapata tu.
 
Una maana gani katika hili, hebu fafanua kidogo mkuu hilo la kujua maana ya ndoa? Mme aweje?
ajue majukumu ya mwanaume katika ndoa .Yeye kama kichwa cha familia, majukumu kwa mke wake. Sio kutoa tu matumizi useme natimiza wajibu Wangu majukumu ya ndoa ya mwanaume ni zaid ya matumizi kwa mke wake.
 
Wachache wanaelewa hili, kuna wanawake wana ukarimu hadi nawaoneaga wivu waume zao. Unakuta wife anampa courage mumewe kwamba asiumie mambo hayajaenda sawa kesho atapata tu.
Like me 😛
 
siku zote tukielewa kuwa sisi tu wanadamu...... na tukielewa kuwa usimfanyie mwenzako usichopenda fanyiwa
tukielewa na KUMTEGEMEA MUNGU KAMA KIONGOZI maishani mwetu hakika hakuna litakalo kushinda......
 
ajue majukumu ya mwanaume katika ndoa .Yeye kama kichwa cha familia, majukumu kwa mke wake. Sio kutoa tu matumizi useme natimiza wajibu Wangu majukumu ya ndoa ya mwanaume ni zaid ya matumizi kwa mke wake.
Hahaha nmeelewa sasa
 
siku zote tukielewa kuwa sisi tu wanadamu...... na tukielewa kuwa usimfanyie mwenzako usichopenda fanyiwa
tukielewa na KUMTEGEMEA MUNGU KAMA KIONGOZI maishani mwetu hakika hakuna litakalo kushinda......
This is very true...Huu ndio upendo sasa unapoanzia!
Tatizo mtu anataka akufanye katuni kwa kivuli cha uvumilivu na hapo ndio majanga yanapoanzia.
 
Back
Top Bottom