Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,380
- 56,078
Habarini za jumapili
nna rafiki yAngu km ndugu yangu ameolewa huu ni mwaka wa tano ana watoto 2
ameenda chuo mwaka jana maana na alikosa mkopo mumewe ndo msomeshaji
mume ana wivu hatarii kipnd
yuko likizo mmewe kakuta msg kutoka kwa mwanachuo mwenzie,mume kapaniki mke nae akaja juu badala ya kuomba msamaha
mume akampa option 3 aache chuo afu ajiunge na OPEN this year au aombe ajira za serikali afanye kazi ajisomeshe mwenyewe mana ana stashahada ya ualimu ila alivyomaliza hakuenda gvt alienda private kumfata mmewe
Ya tatu watengane
mme kamkatalia katu kurudi chuo
my friend kaniambia yuko tayari kutengana mana hawezi kumnyenyekea tena
mi nimemwambia endelea kuomba msamaha tu my friend kasema kamuomba ila jamaa hataki
mi sijamshauri kutengana ilA nimemwambia kua mvumilivu yataishA
vyuo wanafungua hv karibuni but still mme amekomaa mdada kanambia yaani hana mda wa kunyenyekea MUNGU mtu tena elimu kwanza...
Mana kashapoteza sana
jamani naombeni mawazo yenu ili huyu dada na mmewe wasiachane tafadhalini