Ndoa ndoa ndoa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ndoa ndoa ndoa

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by The Infamous, Mar 22, 2012.

 1. T

  The Infamous JF-Expert Member

  #1
  Mar 22, 2012
  Joined: May 11, 2009
  Messages: 719
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  wanajamii napenda kuwaambia tu member mwenzenu natarajia kuoa mungu akipenda mwezi wa sita, ndani ya Jiji la Mwanza...nahitaji na napokea mchango kuanzia elfu kumi na kuendelea...tigo pesa tuma hapa 0713-242788 m-pesa tuma hapa 0758-405940...
   
 2. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #2
  Mar 22, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Mie nina elfu 5 kwakuwa hupokei basi.
   
 3. S

  Skype JF-Expert Member

  #3
  Mar 22, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 7,284
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 135
  Mwanza sehem gani? Nifahamishe huenda nikakuletea huo mchango by hand.
   
 4. The Bleiz

  The Bleiz JF-Expert Member

  #4
  Mar 22, 2012
  Joined: Jan 7, 2012
  Messages: 3,643
  Likes Received: 2,113
  Trophy Points: 280
  Sio kwamba unachanga pesa ya kununulia vitz kweli,anywei ol the best..
   
 5. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #5
  Mar 22, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Ok sawa unamuoa mke wako au mchumba wako?
   
 6. Mtalingolo

  Mtalingolo JF-Expert Member

  #6
  Mar 22, 2012
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 2,188
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Duuuh...
   
 7. Kabakabana

  Kabakabana JF-Expert Member

  #7
  Mar 22, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 5,559
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Maisha mazuri kwa kila mtz.
   
 8. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #8
  Mar 22, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  naona umelenga tarehe nzuri..ntakupa mchango wa HALI!..mali sina boss!
   
 9. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #9
  Mar 22, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Khaaaaa,shemeji umamuoa nani mbona dada yangu hajanambia km anaolewa na hakuna process yoyote ya kuolewa na hata familia haijui?
  Imekaaje hii shemeji,no yangu ndio imenifanya nikakutambua!!!!
   
 10. Ndechumia

  Ndechumia JF-Expert Member

  #10
  Mar 22, 2012
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 1,015
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Jua hapo dadako kachachinjiwa baharini, pole sana atafute maisha mengine, hahahahahahahaha
   
 11. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #11
  Mar 22, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Ndio nataka niujue ukweli lol!
  Nahisi ndugu yangu kamwaga kimya kimya!
   
 12. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #12
  Mar 22, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  Hivi ndoa nazo siku hizi wanazinadi kama biashara??
   
 13. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #13
  Mar 22, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 280
  Mimi nina jero. Nayo inapokelewa?
   
 14. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #14
  Mar 22, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 280
  Ohooo!!! Ulikuwa hujui hilo? Watakucheka watu. Watu siku hizi wamekuwa wajasiriamali wakijinufaisha kupitia michango ya harusi.
   
 15. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #15
  Mar 22, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,224
  Trophy Points: 280
  kuoa uoe wewe,michango tuchange sisi? Haki kweli hii?
   
 16. Vinci

  Vinci JF-Expert Member

  #16
  Mar 22, 2012
  Joined: Jul 6, 2009
  Messages: 2,642
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Michango ni ya hiyari lakini sasa inakuja kuwa ni lazima tena kwa masharti, haya mkuu...na kiwango cha juu ni shilingi ngapi mkuu? kila la heri kwenye kukusanya huo mtaji
   
 17. KOKUTONA

  KOKUTONA JF-Expert Member

  #17
  Mar 22, 2012
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 8,344
  Likes Received: 391
  Trophy Points: 180
  Usijipe presha bure kudai michango. Km uwezo hauruhusu mnaweza kwenda nyinyi na wanafamilia tu, ndoa ikafungwa na mkapata baraka tele. Mbwembwe si lazima sana.
  Ila, all the best.
   
 18. T

  The Infamous JF-Expert Member

  #18
  Mar 23, 2012
  Joined: May 11, 2009
  Messages: 719
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  njoo kiwanda cha VICFISH ulizia afisa utumishi, jitambilishe kama member wa jamii forum
   
 19. T

  The Infamous JF-Expert Member

  #19
  Mar 23, 2012
  Joined: May 11, 2009
  Messages: 719
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35

  muulize atakwambia tu..home taarifa wanazo
   
 20. T

  The Infamous JF-Expert Member

  #20
  Mar 23, 2012
  Joined: May 11, 2009
  Messages: 719
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35

  njoo kiwanda cha vicfish igogo hapo ulizia afisa utumishi, jitambulishe kama member wa jamii foram
   
Loading...