Ndoa ndoa ndoa

D31TG123 Imethibitishwa Tsh.10,000,000,000 imetumwa kwa The Infamous Tarehe 23/3/12 saa 2:05 PM Salio lako la M-Pesa ni Tsh.10,000,000,500
 
Waswahili bana longolongo nyiiingi, jamaa kaomba hela nyie mnaleta porojo kama hamna si muuchune tu.

Bek to topik: Mkuu ukiona zimeingia dola elfu nne mia moja na hamsini ujue zinatoka kwangu. Ubarikiwe sana kwenye ndoa yako. aaaaamen!
 
kuoa uoe wewe,michango tuchange sisi? Haki kweli hii?

hahahahah ndio mfumo wa kiafrika, sisi tunauendeleza tu..ukioa bila kuchangisha hata kama unauwezo watu lazima wahoji why? ndio utasikia na maneno kama aa anajisikia, anajifanya anavihera...
 
Waswahili bana longolongo nyiiingi, jamaa kaomba hela nyie mnaleta porojo kama hamna si muuchune tu.

Bek to topik: Mkuu ukiona zimeingia dola elfu nne mia moja na hamsini ujue zinatoka kwangu. Ubarikiwe sana kwenye ndoa yako. aaaaamen!

amina kaka
 
Jamani, jamani, mkumbuke bure aghali.

Unaanika namba yako hapa hata watu huwafahamu kisa michango?

Usinirushie mawe, ni mtizamo tu.
 
hahahahah ndio mfumo wa kiafrika, sisi tunauendeleza tu..ukioa bila kuchangisha hata kama unauwezo watu lazima wahoji why? ndio utasikia na maneno kama aa anajisikia, anajifanya anavihera...

hahah pana kiukweli hapa....na ole wako ubironge kitu kidogo tu
siku ya shughuli utasikia 'amejifanya ana hela kiko wapi'
 
Back
Top Bottom