ASIWAJU
JF-Expert Member
- Nov 18, 2022
- 1,938
- 1,632
“Wanaume wasio jiamini” katika nini ?Asilimia kubwa ya Wanaokataa ndoa Ni wanaume wasiojiamini
“Wanaume wasio jiamini” katika nini ?Asilimia kubwa ya Wanaokataa ndoa Ni wanaume wasiojiamini
Mwanamke sahihi ni yupi na asiye sahihi ni yupi ?Ndoa Hadi upate mwanamke sahihi ukikosea kuoa umepoteza Dira ya maisha mi chapachapa tu ain't be going married na mwanamke mpuuzi