Ndoa na kazi ipi bora?

Ndoa na kazi ipi bora?

Kazi ndiyo ndoa, hizi za kanisani na bomani ni mbwembwe tu. Kazi ndio msingi wa maisha ila ndoa sio msingi wa maisha. Penda kazi yako, kama ndoa inaleta pingamizi "piga ndoa chini ".
 
Kazi ndiyo ndoa, hizi za kanisani na bomani ni mbwembwe tu. Kazi ndio msingi wa maisha ila ndoa sio msingi wa maisha. Penda kazi yako, kama ndoa inaleta pingamizi "piga ndoa chini ".
Kazi ikiisha hapo inakuwaje?
 
Ume ongea ki uchungu Sana, beside ulikuwa below 24 ehh?.

Maana inge kuwa sasa hivi nadhani usinge lipa
Unawaza vibaya san
Hapana nilikuwa 28, umri wangu unasogea sasa

Sipendi kudaiwa nikiwa na deni siwezi lala. Kwani kuoa nililadhimishwa?

No one forced me, I have no regrets. Team Ndoa number moja niko hapa.
 
Kumekuwa na malalamiko ya wanandoa wengi walioajiriwa kuwa mbali na wapenzi wao, ambapo mke/mume anakuwa mbali na mwenzie kutokana na mazingira ya kazi.

Mmoja anaweza kuwa mbali ki wilaya, mkoa au nchi tofauti na mwenzie na kupelekea ugumu wa kuonana mara mara na mwenzake.

Hii imekuwa ikiathiri taasisi ya ndoa na kupelekea upendo kupungua na kuongeza dhambi ya uchepukaji ndani ya ndoa.

Waume wamekuwa wakimaliza hamu zao na kuzaa nje huku pia wake zao nao wakimaliza hamu zao pamoja nakuzaa watoto nje.

Mwisho wa siku ndoa inakuwa na doa.

Sasa tuchague, ndoa ama kazi ipi ni bora?

View attachment 3423245
Changamoto
 
Hela kwanza jombaa, mke ni mdudu gani aisee .

Unaweza ukaoa Mama wa nyumbani halafu ukakutana na shavu la Marekani ,China au Ujerumani .

Piga ya huwezi kuondoka nae na hata ikilazimu hivyo nilazima itachukua muda ili kuukamilisha mchakato wa kumuhamisha .

Kabla hujamuamisha unashangaa wahuni wameshamdonoa na hana tena mzuka wakuja ulipo , tunafanyaje hapo sasa?

Acha aolewe utaoza mwingine au wacha aoe utaolewa na mwingine then case closed.

Conclusion:Mahusiano ya umbali mkubwa yanachangamoto nyingi.
 
Rafiki yangu ni daktari ,mkewe ni mwalimu ..Hapo mwanzoni anamuoa kama miaka 6 nyuma ,alikuwa anasema atanisaidia kiuchumi ila sasa ni balaa mke kapigwa Mbeya ,jamaa yuko Moro.

Kuonana tu anatuma nauli ,au atumie nauli kwenda , ukizingatia wana mtoto 😂😂😂...
Vipi lakini ndoa yao si ina amani?
 
Hela kwanza jombaa, mke ni mdudu gani aisee .

Unaweza ukaoa Mama wa nyumbani halafu ukakutana na shavu la Marekani ,China au Ujerumani .

Piga ya huwezi kuondoka nae na hata ikilazimu hivyo nilazima itachukua muda ili kuukamilisha mchakato wa kumuhamisha .

Kabla hujamuamisha unashangaa wahuni wameshamdonoa na hana tena mzuka wakuja ulipo , tunafanyaje hapo sasa?

Acha aolewe utaoza mwingine au wacha aoe utaolewa na mwingine then case closed.

Conclusion:Mahusiano ya umbali mkubwa yanachangamoto nyingi.
Kuna umuhimu wa kuwa na mke/mme?
 
Back
Top Bottom