Huruma siyo malezi
JF-Expert Member
- Jul 18, 2020
- 2,032
- 4,394
Mimi Imani yangu juu ya hawa viumbe ni ndogo saana, akishahama wilaya nyingine najua sina changu
Umemjibu vizuri huyo cha upepo sidhani kama atarud tena na assumption zake.Kudanga ni tabia ya mtu,wala haihusiani na shida ya maisha,kudanga ni sawa na tabia ya wizi,mtu mwizi hata akiwa na hela ila ataiba tu,
Kufa ni jambo la siri,ukiwaza kifo tu basi huwezi kufanya jambo lolote lile hapa Duniani,
What if Mke atangulie kufa? What if wafe kwa pamoja kwa ajali?
Kwanini Wanawake wengi huamini kua Mume ndio atatangulia kufa?
Anyway kila mtu ana utashi wake katika familia yake,maoni yangu sio formula.
Rafiki yangu ni daktari ,mkewe ni mwalimu ..Hapo mwanzoni anamuoa kama miaka 6 nyuma ,alikuwa anasema atanisaidia kiuchumi ila sasa ni balaa mke kapigwa Mbeya ,jamaa yuko Moro.Mimi Imani yangu juu ya hawa viumbe ni ndogo saana, akishahama wilaya nyingine najua sina changu
Hatuamini kwamba mwanaume ndio atatangulia, lakini je kama akitangulia?? Ndio maana hata sisi wazazi tunawajengea watoto msingi imara tukiamini kuna siku tunaweza tusiwepo waweze kujitegemea , lakini mbona wakati mwingine watoto wanatangulia wanaacha wazazi?Kudanga ni tabia ya mtu,wala haihusiani na shida ya maisha,kudanga ni sawa na tabia ya wizi,mtu mwizi hata akiwa na hela ila ataiba tu,
Kufa ni jambo la siri,ukiwaza kifo tu basi huwezi kufanya jambo lolote lile hapa Duniani,
What if Mke atangulie kufa? What if wafe kwa pamoja kwa ajali?
Kwanini Wanawake wengi huamini kua Mume ndio atatangulia kufa?
Anyway kila mtu ana utashi wake katika familia yake,maoni yangu sio formula.
Si kwa akili unadhani akiwa karibu yako huchepuki eti nimesikia umehamia dar kijijini . HongeraNa je kama unachepuka, hapo itakuwaje?
Naona unakiwinda kiinua mgongo changuSi kwa akili unadhani akiwa karibu yako huchepuki eti nimesikia umehamia dar kijijini . Hongera
Sasa bossy mkeo si alikataa kwenda huko dar ameamua kuendeleza biashara zake hapo mjini wadada wakijijini siutawalamba kwelinwoteNaona unakiwinda kiinua mgongo changu
Hivi kwanini huwa mnadhani hilo swali linamaanisha kwamba mwanaume ndio atatangulia kufa ni uelewa mdogo au shida ni nini, hebu eleweni hilo swali maana yake ikitokea mume akitangulia kufa kama mke ni mama wa nyumbani yeye na watoto wataishije haina maana kwamba ni lazima mume ndio atangulie, ikitokea mke ametangulia wote tunajua mume hawezi kupata shida kiuchumi maana yeye ndiye mtafutaji sana sana atatafuta tu mwanamke mwingine wa kumlelea watoto wake sasa ninyi mlitaka swali liwe mke akitangulia kufa mume atafanyaje wakati tayari jibu linajulikana hapoKudanga ni tabia ya mtu,wala haihusiani na shida ya maisha,kudanga ni sawa na tabia ya wizi,mtu mwizi hata akiwa na hela ila ataiba tu,
Kufa ni jambo la siri,ukiwaza kifo tu basi huwezi kufanya jambo lolote lile hapa Duniani,
What if Mke atangulie kufa? What if wafe kwa pamoja kwa ajali?
Kwanini Wanawake wengi huamini kua Mume ndio atatangulia kufa?
Anyway kila mtu ana utashi wake katika familia yake,maoni yangu sio formula.
Kuna mmoja hapa kijijini anataka nikate moto mapema kwa preshaSasa bossy mkeo si alikataa kwenda huko dar ameamua kuendeleza biashara zake hapo mjini wadada wakijijini siutawalamba kwelinwote
Kwa mazingira haya, hela ni muhimu zaidi kuliko mahusiano.Hivi kwanini huwa mnadhani hilo swali linamaanisha kwamba mwanaume ndio atatangulia kufa ni uelewa mdogo au shida ni nini, hebu eleweni hilo swali maana yake ikitokea mume akitangulia kufa kama mke ni mama wa nyumbani yeye na watoto wataishije haina maana kwamba ni lazima mume ndio atangulie, ikitokea mke ametangulia wote tunajua mume hawezi kupata shida kiuchumi maana yeye ndiye mtafutaji sana sana atatafuta tu mwanamke mwingine wa kumlelea watoto wake sasa ninyi mlitaka swali liwe mke akitangulia kufa mume atafanyaje wakati tayari jibu linajulikana hapo
Acha uongo na fake picha yako leta originalKuna mmoja hapa kijijini anataka nikate moto mapema kwa presha
View attachment 3423333
Tunachukulia poa lakini kama wanandoa wanakosa muunganiko Kwa ajili ya kutoa malezi sahihi tusitegemee kizazi chenye maadili kilichostarabikaRafiki yangu ni daktari ,mkewe ni mwalimu ..Hapo mwanzoni anamuoa kama miaka 6 nyuma ,alikuwa anasema atanisaidia kiuchumi ila sasa ni balaa mke kapigwa Mbeya ,jamaa yuko Moro.
Kuonana tu anatuma nauli ,au atumie nauli kwenda , ukizingatia wana mtoto 😂😂😂...
Kwa hiyo wenye kazi wasiolewe?Suluhisho rahisi,unaona huwezi kukaa mbali na mkeo oa mama wa nyumbani,ukihama unahama nae!!
Za hao wanawake wapumbavu na wadangaji au mafeminist wanapenda kutumia huo msemo as if kama lazima mwanaume ndiyo anapaswa kutangulia kufa aiseeKudanga ni tabia ya mtu,wala haihusiani na shida ya maisha,kudanga ni sawa na tabia ya wizi,mtu mwizi hata akiwa na hela ila ataiba tu,
Kufa ni jambo la siri,ukiwaza kifo tu basi huwezi kufanya jambo lolote lile hapa Duniani,
What if Mke atangulie kufa? What if wafe kwa pamoja kwa ajali?
Kwanini Wanawake wengi huamini kua Mume ndio atatangulia kufa?
Anyway kila mtu ana utashi wake katika familia yake,maoni yangu sio formula.
Waolewe na wanaume wanaojielewa!Kwa hiyo wenye kazi wasiolewe?
Umeona kifaa?Acha uongo na fake picha yako leta original
Kama mimi au sio?Waolewe na wanaume wanaojielewa!